Ally Salum Hapi @AllyHapi
Farmer 🇹🇿 Dar es Salaam, Tanzania Joined March 2013-
Tweets4K
-
Followers47K
-
Following288
-
Likes5K
Kwa miaka 62 sasa, Tanzania na Misri zimejenga uhusiano wa kihistoria na ushirikiano imara. Ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Mheshimiwa Abdel Fattah El-Sisi nchini Tanzania leo ni kielelezo cha uhusiano huo na dhamira yetu ya kuuimarisha kwa maendeleo ya watu wetu, kama walivyokusudia waasisi wetu. Misri ni miongoni mwa wawekezaji wakubwa nchini Tanzania. Leo tumekubaliana kuimarisha zaidi ushirikiano katika sekta za kimkakati, zikiwemo biashara na uwekezaji, kilimo, uchukuzi, afya, elimu na nishati. Kwa kuanzia, nchi zetu zimesaini hati mbili za makubaliano ya ushirikiano na tutazindua Jukwaa la Biashara ili kuchochea fursa na ustawi wa pamoja. Nimewaelekeza mawaziri na wataalamu wetu kuhakikisha makubaliano yote tuliyofikia yanatekelezwa kwa ukamilifu na kwa wakati. Wananchi wanataka kuona tija ya makubaliano haya kwenye maisha yao.
Ninaipongeza Klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mara ya tano mfululizo. Mafanikio haya ni ushahidi wa juhudi, nidhamu na kujituma kwa wachezaji, benchi la ufundi, uongozi pamoja na mashabiki. Aidha, ninazipongeza klabu zote zilizoshiriki Ligi Kuu msimu huu kwa ushindani mzuri uliofanya mchezo wa mpira wa miguu nchini Tanzania kuendelea kukua, kuvutia na kuongeza hamasa kwa mashabiki pamoja na wadau wa mchezo huu.
Ninawatakia Watanzania wote heri ya Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Muungano wetu ni lulu na urithi wa kipekee tulioupokea kutoka kwa waasisi wetu. Hivyo, nasi tuna wajibu wa kuutunza, kuulinda, na kuuimarisha ili tuurithishe kwa vizazi vijavyo ukiwa salama na imara kama tulivyoupokea. Ninatoa wito kwa Watanzania kuendelea kushirikiana, kufanya kazi kwa bidii, na kuimarisha uzalendo wetu, ili tujenge Tanzania moja, imara zaidi, yenye umoja na maendeleo jumuishi kwa kizazi cha sasa na kijacho. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ubariki Muungano wetu.
Novemba 14, 2025 nikifungua Bunge la 13 niliahidi tutaimarisha uvuvi wa Bahari Kuu na kukuza uchumi wa buluu. Leo ninafuraha kuwa tumetekeleza hilo kwa kupata meli ya kwanza ya uvuvi wa Bahari Kuu ambayo nimeizindua mkoani Dar es Salaam. Meli hii itaongeza uzalishaji wa samaki wa Bahari Kuu, itatoa ajira, itakuza sekta ya uvuvi na mchango wake katika Pato la Taifa (GDP). Uwepo wa meli hii utatuwezesha kunufaika na uvuvi wa Bahari Kuu ambao kwa miaka mingi umefanywa na meli na kampuni kutoka nje ya nchi. Kwa kutambua kuwa takribani wananchi milioni 6 wanategemea sekta hii, tumeboresha mazingira ya uvuvi kwenye maziwa kwa kuwezesha upatikanaji wa mitaji, utaalamu, vifaa na miundombinu. Aidha, tumejipanga kujenga bandari ya uvuvi Bagamoyo, baada ya ile ya Kilwa, kununua meli nne za uvuvi na moja ya mafunzo na boti za doria. Ili tufanikishe malengo yetu nimesisitiza: 1. Tuendelee kudumisha amani na usalama 2. Nimeielekeza Wizara ya Mifugo na Uvuvi kutunza mitambo tunayoinunua, na iwawezeshe wavuvi wadogo kwa masoko, vifaa, mitaji na elimu ya ujasiriamali na utunzaji fedha. Pia idhibiti uvuvi haramu na iimarishe ushiriki wa sekta binafsi kwenye uvuvi.
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Askofu wa Jimbo Katoliki Kondoa, Askofu Bernadin Francis Mfumbusa kilichotokea Aprili 14, 2026 jijini Dodoma. Pamoja na kuwatumikia wananchi kiroho, tutamkumbuka kwa umahiri wake uliochangia kukua kwa sekta ya mawasiliano nchini kupitia mafunzo na ulezi kwa wanahabari, uongozi na utafiti. Ninatoa pole kwa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Askofu Wolfgang Pisa, Maaskofu, Mapadri, Watawa, familia, ndugu, jamaa, marafiki, waumini wa Kanisa Katoliki na Watanzania wote kwa msiba huu. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina.
Mapema leo katika Dua Maalum ya Kumwombea Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mwasisi wa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, na mmoja wa waasisi wa Taifa letu. Leo ikiwa ni kumbukizi ya miaka 54 tangu kifo chake, tunamuenzi kwa ushiriki wake katika kazi kubwa ya kuweka msingi wa ujenzi wa jamii bora yenye amani, umoja, ustawi na maendeleo yanayogusa maisha ya wananchi wote.
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali ya moto ulioteketeza Soko la Mawasiliano (Simu 2000) lililopo katika Kata ya Sinza, Wilaya ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, jana Aprili 4, 2026. Ninatoa pole kwa wafanyabiashara waliopoteza mali zao na wananchi wote walioathirika na ajali hiyo kwa namna mbalimbali. Nimeziagiza mamlaka za uchunguzi kufanya kazi ya kubaini chanzo cha moto huo, kufanya tathmini ya madhara na hasara iliyotokea na kuchukua hatua stahiki haraka.
The shooting down of two American warplanes was the most serious example of Tehran’s ability to raise the cost of the war for Washington on.wsj.com/4dsk5vp
Leo nimeshiriki maziko ya marhum kaka wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, marh. Capt Abbas Mwinyi yaliyofanyika Mangapwani, Unguja. Allah amjaalie kauli thaabit. Inna Lillah wa Inna Ilayhi Raajiuun.
Hongera sana Prof. Janabi.
Congratulations to Professor Mohamed Yakub Janabi for being elected the World Health Organization Regional Director for Africa, for the term 2025-2030. With decades of expertise and experience in the health sector, I have every confidence that you have all that it takes to
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Raajiuun.
Taarifa ya kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa David Cleopa Msuya, kilichotokea leo katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Dar es Salaam. Ninatoa pole kwa ndugu, jamaa, marafiki na Watanzania wote. Apumzike kwa Amani.
Mapokezi ya vijana wa TK Movement walionialika kufungua semina yao ya viongozi wa wilaya na mikoa yote Tanzania jijini Dodoma 🇹🇿
Boniface Jacob @ExMayorUbungo
583K Followers 9K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal Council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov. Ubungo councilor 2010-2020 BAEd Udsm CHADEMA CC MEMBER
Jokate Mwegelo @jokateM
1.2M Followers 1K Following Visionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, President’s Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadrid
Zitto MwamiRuyagwa Ka... @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
John Heche @HecheJohn
806K Followers 2K Following Vice Chairman Chadema Tanganyika, former Member of Parliament for Tarime rural constituency, a reformer.
Mwigulu Nchemba, PhD @mwigulunchemba1
549K Followers 339 Following Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi.
Ummy Mwalimu @ummymwalimu
951K Followers 775 Following 🇹🇿Presidential Advisor on Reproductive, Maternal & Child Health & Head of Secretariat, AU Champion for MCH / Minister of Health🇹🇿 2015 - 2020 & 2022 - 2024
Fortunatus Buyobe @fbuyobe
144K Followers 1K Following Pool of thoughts. A commander of the hand to mouth battalion. Environmental Pioneer. Social Engineer. #CertifiedMchapaUzi . Telegram: https://t.co/aEEOOryJWO
Twaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
325K Followers 4K Following .Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) 2019-2025 Prison graduate 133 days in jail. Human rights defender.
Tanzania Bound Buses @TBoundBuses
63K Followers 3K Following Safari yako ianzie hapa! 🚍 Kata tiketi ya basi mapema kuelekea mikoa mbalimbali Tanzania kwa Usalama, Haraka na Uhakika. WhatsApp/Call: 0756084459 | 0621877523
Sia Da Vinci💎 @siadevinci
46K Followers 4K Following Geopolitics and what's going on in the world from my own perspectives. Terrorising Misinformation. 🥵Hate Politicians!
Mark J. Mwandosya @MarkMwandosya
115K Followers 87K Following Mark James Mwandosya is a former Member of Parliament,former Minister in Tanzania and a retired Professor of Electrical Engineering University of Dar es Salaam
Batuli Actress @batuli_actress
44K Followers 1K Following Actress & CEO At BTL COLLECTIONS Instagram @batuliactresstz Facebook @batuliactress Snapchat @actress_batuli
Wizara ya Ujenzi @WizarayaUJ
153K Followers 6K Following Wizara ya Ujenzi (Aug. 2023)|Ministry of Works(Aug. 2023)|Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sept 2021-Aug 2023)
Mwamvita Makamba @Makambas
102K Followers 2K Following Technology for good proponent, innovator and investor #PanAfricanist - Founder of @mmconnectafrica -Published Author of #THINGSITELLMYDAUGHTER.
LEWIS NAICKER @king_lando66837
40 Followers 1K Following Hey, gorgeous! 😍✨ I’m excited to connect and engage in some thought-provoking conversations! Let’s explore and get to know each other in a fun way! 💬💖
Think Smart @ThinkSmartuu
32 Followers 812 Following
nicholaus_chipaga @Chipaga_II
9 Followers 378 Following
Dr Alexey Kulikov @KulikovUNIATF
63K Followers 51K Following Head of Partnerships and Operations, Deputy Head of Secretariat, @UN Task Force on #NCDs. Support @WHO countries achieve #health related #SDGs. PhD MPH MD.
Rashidi Mikidadi @RashidiMik8286
11 Followers 493 Following
Roby Michael @Robyboyy_
11 Followers 327 Following
Rais_Wa_Jobless🇹�... @rais_wa_jobless
87 Followers 508 Following
b boy @bboyxopy
14 Followers 491 Following
Ackley Justus @joseph_jus51775
6 Followers 176 Following
Kaburu Mndeme @MndemeDick32980
11 Followers 337 Following
Totham de mache @Tothamdemache
3 Followers 287 Following
MOSES MTONO @mtono255Mosesmt
2 Followers 287 Following
tevez mhada @tevezmhada23
2 Followers 144 Following
Isabella Santos @isabell4santos
192 Followers 3K Following BITCOIN JOURNALIST Send a Direct Message to Learn How To Make MONEY in BITCOIN. 🏠 🌍 WORK FROM ANYWHERE EARN ANYTIME YOUR FINIANCIAL FREEDOM STARTS HERE.
Stephano Dawite @DawiteStephano
56 Followers 651 Following
Emmanuel @mwabena_jr
99 Followers 459 Following
OGALO AGRI~World™ @StephenO39138
370 Followers 3K Following 🌾 Practical Agriculture Crop & Animal Science Smart Farming 🚜 Helping farmers grow better Feeding the future Just Farm to Fork 🍽️ 🇰🇪
I V A N @Ivan_Biswalo
431 Followers 584 Following @HUSTLE💰💰💰 “YESTERDAY IS NOT OURS TO "RECOVER" BUT TO MOROW IS OURS TO WIN OR LOSE.” #TRANSIT DRIVER
mworia Kelly @mworiaKellgx
24 Followers 511 Following
HEZRONI IKAYA MHERE @HEZRONIIKAYazun
21 Followers 303 Following
Dax shaib @Daxshaib
25 Followers 788 Following
Dr Pius Urassa. Md @Piusarnold11
59 Followers 562 Following Just a gentleman interested in medicine..
Askaka Mwakilembe @AskakaM11754
39 Followers 1K Following
MORRICE MICHAEL MIHAY... @MorriceMihayo
8 Followers 147 Following
Thisisgoddy @Thisisgodd46751
203 Followers 3K Following
Edwin F.M @EdwinMjeru
5K Followers 3K Following MSCA Research Fellow | EM Alumni 🇹🇿🇫🇷| Author| Business & Data Storytelling Coach| Learning & sharing lessons on Mind-Philosophy-Success & Failures.
Baba Alveiro @BabaAlveiro77
22 Followers 478 Following
Uswege Mwaigwisya @UswegeMwaih3ej
2 Followers 102 Following
אל-מגנטו @magnito_el
270 Followers 2K Following מדען ומהנדס חשמל המתמחה בבינה מלאכותית ובמערכות משובצות
Dee @makonde0
32 Followers 565 Following
John Revocatus @JohnRevocayhnm
8 Followers 425 Following
Ahmed Mohamed @AhmedMo400
7 Followers 356 Following
Tamimu Gau @TamimuHatibu
19 Followers 434 Following
🔞Arabic Gay 🏳�... @akhbar_rb36908
81 Followers 2K Following 🔞انضم لنا الي عالم المثاليه والتحرر والدياثه مرحبا بل السالب والموجب 🍑🍆👬🔞
Samia Suluhu @SuluhuSamia
1.8M Followers 29 Following Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzania
Boniface Jacob @ExMayorUbungo
583K Followers 9K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal Council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov. Ubungo councilor 2010-2020 BAEd Udsm CHADEMA CC MEMBER
Mfanyakazi Online Med... @MfanyakaziNews
462K Followers 0 Following UKWELI NA UWAZI : : [email protected]
Jokate Mwegelo @jokateM
1.2M Followers 1K Following Visionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, President’s Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadrid
Mwananchi Newspapers @MwananchiNews
1.1M Followers 296 Following
Zitto MwamiRuyagwa Ka... @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
John Heche @HecheJohn
806K Followers 2K Following Vice Chairman Chadema Tanganyika, former Member of Parliament for Tarime rural constituency, a reformer.
ikulu_Tanzania @ikulumawasliano
554K Followers 6 Following Ukurasa rasmi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu-Tanzania 🇹🇿
Mwigulu Nchemba, PhD @mwigulunchemba1
549K Followers 339 Following Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi.
Ummy Mwalimu @ummymwalimu
951K Followers 776 Following 🇹🇿Presidential Advisor on Reproductive, Maternal & Child Health & Head of Secretariat, AU Champion for MCH / Minister of Health🇹🇿 2015 - 2020 & 2022 - 2024
Flaviana Matata @FlavianaMatata
828K Followers 201 Following Fashion Model | Social Entrepreneur. @Lavy_Products @FMFound
Hussein M Bashe @HusseinBashe
563K Followers 360 Following Former Minister of Agriculture 🇹🇿 | MP - Nzega Urban Constituency | Farmer | Politician #TanzaniaKwanza
Lucas E. Malembo @MalemboLE
39K Followers 676 Following | CEO, @MalemboFarm ‘s | 🇹🇿Leading Sustainable Agribusiness & Nutrition for over a decade | AfCFTA Advocate | 2025 IVLP Alumnus 🇺🇸| Content with Enough.
Gerson Msigwa @MsigwaGerson
850K Followers 1K Following The Permanent Secretary of Information, Culture, Arts and Sports || Chief Government Spokesperson of Tanzania.
Chama Cha Mapinduzi @ccm_tanzania
880K Followers 9 Following Chama Cha Mapinduzi (CCM) - #Tanzania's governing party, founded on 5th February 1977. Membership: 15 million | https://t.co/KzE7LiVgt9
Mark J. Mwandosya @MarkMwandosya
115K Followers 87K Following Mark James Mwandosya is a former Member of Parliament,former Minister in Tanzania and a retired Professor of Electrical Engineering University of Dar es Salaam
Batuli Actress @batuli_actress
44K Followers 1K Following Actress & CEO At BTL COLLECTIONS Instagram @batuliactresstz Facebook @batuliactress Snapchat @actress_batuli
Iran Army @IranArmyStan
198K Followers 0 Following From battlefield to headlines. War updates | Military movements | Commentary account.~ Updates 📢 Promotions & Collaborations Available 📩 DM for Promotion
Israel eye's @Israilmilitary
53K Followers 14 Following Israel FIRST/Unofficial/War update/Current news
IRGC @IRGC_Global
17K Followers 252 Following An independent and unaffiliated platform; we cover field developments and military statements with absolute impartiality and objectivity.
Shehbaz Sharif @CMShehbaz
6.8M Followers 314 Following Prime Minister of Islamic Republic of Pakistan
Sky News @SkyNews
9.0M Followers 112 Following The full story, first. Free, wherever you get your news @skynewsbreak for breaking news. Live on the Sky News app - download here: https://t.co/NE20fhqoIQ
Al Jazeera Breaking N... @AJENews
2.6M Followers 167 Following Breaking news from around the world. Follow @AJEnglish for analysis, videos and more. Join us on Telegram for real-time updates: https://t.co/1kI7glEwwA
Iran Force @IranArmystan_
157K Followers 1 Following Updates | Strategy | Global Conflicts | Commentary Page // News Updates // Breaking War News 📩 DM for Promotion & Collaboration
Military Media @hehe_samir
296K Followers 11 Following Military media | Defence updates | Tactical insights
The Gulf Reporter @IR_News2
195K Followers 37 Following Middle East Specialist || Geopolitics || non-state Affiliated || Exposing the architect of War
Megatron @Megatron_ron
662K Followers 1K Following Breaking news | Geopolitics | War monitoring Support: https://t.co/z52M4ovE0C | https://t.co/JsTMGFACtV Tgram: https://t.co/hI2fMt3CAZ
THE ISLANDER @IslanderWORLD
75K Followers 946 Following Pro sanity and anti war. @realGerryNolan - Support our work: https://t.co/dfRD5KMxf1
NOVA 🇷🇺 @NOVA360HD
65K Followers 146 Following NOVA | World Pulse Global Trends, Tech & Economy. A mix of professional & viral content. Stay informed with every shift...
Sulaiman Ahmed @ShaykhSulaiman
847K Followers 885 Following https://t.co/L7BfZDskci https://t.co/L1qa0ouLiC
JM News Network @JMNewsNetwork_
104K Followers 3K Following Covering Islam, Faith, Culture, Revert Stories & More.
Huawei @Huawei
10.2M Followers 33 Following Welcome to the official Huawei X account. Huawei is a leading global provider of ICT infrastructure and smart devices.
khalifa said #SUDAN �... @ThatBoyKhalifax
58K Followers 2K Following writer and editor at @TheChanzo | politics & social justice | formerly at @TheCitizenTZ | socialist | rap | anti-imperialist | views are my own, not anyone’s.
TricyLove🦁 @amprincess9
73K Followers 5K Following CALL ME FAVOUR | Social Media Manager | Enterprenuer trainer & consultancy | @TricyDagaa_ | @lfc & 🦁 | Deuteronomy 28:1-19 |
Tanzania Railways Cor... @tzrailways
87K Followers 200 Following Official Twitter Account for Tanzania Railways Corporation | Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Shirika la Reli Tanzania | Toll Free 0800110042 for Enquiries
Middle East Observer @ME_Observer_
379K Followers 2K Following 🇱🇧 Galilean Middle East Analysis/History/Politics/Memes reporting Subtitling Videos for you Support the subtitling project here: https://t.co/7UPdbUoegq
Ramadan, Sr. @ShabaniFp
145 Followers 2K Following
Jackson Hinkle 🇺�... @jacksonhinkle
3.9M Followers 596 Following Follow: @ACPMain & @WelcomeTheGulag [email protected]
Anna Tibaijuka @AnnaTibaijuka
43K Followers 30 Following Retired 1. UN Under Secretary General & 2. Executive Director UNHABITAT 3. Tanzanian MP and Minister.
Palestine News @palestine
446K Followers 5K Following Latest news & commetarry on Palestine, aggregated from mainstream and not so mainstream media.
Iranian Armed Forces ... @ArmedForcesIR09
209K Followers 2 Following This Info/Commentary Account is concerned with publishing official news, updates, insights, press releases, and statements related to the Armed Forces of Iran.
𝐇 𝐀 𝐒 𝐒 �... @hassanhassan285
7K Followers 2K Following Mιʂʂ Yσυ Mσɱ | Dιҽ HαɾԃFαɳ~ ⚽ @arsenal 👻s/c #hassanhassan285 🇹🇿 𝐖𝐢𝐬𝐞 𝐌𝐚𝐧... ⁶🙏🏾 ᏕᎮᎧᏒᏖ⚽🏀 @ManUtd 🗑🚮
Philipo Mwakibinga @PhilipoMwakibi1
948 Followers 2K Following
GeraldinhoJr @AronMwakitwange
176 Followers 747 Following
Zuweina Farah @Zuw508
6K Followers 1K Following Cartographer of interestingness. Founder @SNDBX_space 🚀. Social Impact | Innovation | Art | Tech | Nature | Adventure
Berry Kim @berryk_outfits
18K Followers 3K Following ❤️Mother 👨👩👧👧/Wife 🕊 : R.i.p mom n Dad 👑 : Be a little morE yOu,n a Lot less theM ..Happy girl👧🏽 iam love ❤️ iam lighT💡
The Spectator Index @spectatorindex
3.5M Followers 0 Following News, media and data from around the globe. Covering politics, economics, science, tech and sport.
Iran Observer @IranObserver0
864K Followers 126 Following || Iran News || Geopolitics || non-state affiliated || DM for Business
Furaha Nzunda @furaha_nzunda
15K Followers 10K Following We all are Citizens of the World. What's good for you, Must be good for All. ☆I'm Catholic Christian☆ 2030 Member of Parliament URT 🇹🇿
Omar Kashera @Mjengaomar
5K Followers 4K Following Diplomat, National Defence College Graduate and Awardee of the Most Prestigous “ndc” Symbol on Security and Strategic Studies, UN International Staff, CEO-CIP.
Ahmed Salim @asalim86
11K Followers 1K Following Just trying to make moves. Proud @LehighU & @ColumbiaSIPA Alum. Views Expressed Are My Own.
Salim Ahmed Salim Dig... @DrSalimArchive
5K Followers 53 Following Official account of the SAS Digital Archive. Exploring Dr. Salim's life and service through a one-of-a-kind digital collection🌍 https://t.co/WlzGdzeuOZ
Every Movie Plug @everymovieplug
2.3M Followers 51 Following Let’s talk movies & TV shows 🎬 Hit our media tab for solid recommendations. Every Movie Plug 🔌 Only on X — not on other social platforms.
Hika Lyimo @iamthatfemale
91K Followers 2K Following A daughter,a sister,relying only on God.i am that female. You need shoes? follow https://t.co/UUedhtk2dK location: https://t.co/355KaXHNkI
Mandua🖤 @ClaraFundi
161K Followers 5K Following Football is my happy place // Yanga - 🏆 Five-Time Consecutive Champions 💛💚 🖤 // Chelsea 💙// Madrid 🤍
Jacqueline Lawrence @jackielawrencem
22K Followers 10K Following Highlands FM 🎙 | Using Media For Development | UN Fellow | MWF & Vital Voices Alumna | Laureate Global Fellow | TED speaker| | #NotreDameAlumna #Lastborn
Sophia Kessy @SophiaKessy
22K Followers 7K Following Journalist/ TV & Radio Personality @CMG: CEO #SophyTours #Finchafricasafaris #Drop4Honey🍯: Founder of Sophyfoundation!
Jason J. Kanan @jason_kanani
8K Followers 6K Following Agronomist|Farmer|Agriculture Consultant For Business Call https://t.co/cGcRrFlfyk
xpin4 @xpin4
2K Followers 687 Following - self employed. - i speak my mind. - i follow back & unfollow those who do just the same.
TzConnect @tzDiscovery
207K Followers 134K Following Get live Tweets of current issues and share with friends

























