"Suala la vijana kupata ajira, kuwa na mtaala wezeshi ni moja ya upande unaotakiwa kuangaliwa lakini lingine kubwa ni kukua kwa uchumi wenyewe. Siku moja niliwahi kuwa kwenye Mkutano Nigeria na tunajadili hilihili kwamba mitaala ibadilishwe, mtu mmoja akasimama akasema hivi kama tatizo ni mitaala, hivi wakiletwa leo wahitimu kutoka vyuo bora duniani wakaletwa 2000 hapa Tanzania leo wanaweza kupata kazi? Tuliangaliana na hapakuwa na jibu la moja kwa moja kwahiyo tukarudi kusema wakati tunaenda kuangalia mitaala yetu upya ambayo ni jambo zuri, sisi watanzania tunapaswa kufanya kazi kwa bidii na kwa ubunifu ili tuweze kuzalisha ajira."
"Tunaanzisha viwanda vingapi ambavyo vitahitaji mtu kutoka Chuo kikuu? Nchi hii tuna viwanda lakini mfano kiwanda cha mabati, wa wananunua iron sheet kutoka China halafu wanakuja tu hapa wanaziwekea migongo halafu wanakata, sasa hapa muhitimu wa Chuo kikuu atafanya kazi gani? Ni kiwanda ndio lakini hiki kinahitaji mtu mwenye akili timamu tu bila kuwa na ongezeko kubwa la elimu."
Mimi kwa maoni yangu wanaosema tukibali tu mitaala tatizo litaisha wanapotosha. Niongeze pia kuhusu mjadala wa kutoka Vyuo vikuu kwenda VETA, ni sawa kule kuna ujuzi mahususi, lakini Nchi haiwezi kugeuka yote kuwa ya mafundi.Tukiwa nchi ya mafundi tu tutakuwa nchi ya aina gani"- Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Prof. Raphael Tihelwa Chibunda kwenye M/S Podcast leo Julai 15, 2026.
Ubalozi unashukuru kwa taarifa ya ndugu @DuniaSlaveDunia kuhusu Watanzania waliokamatwa nchini Afrika Kusini na kupelekwa Lindela Repatriation Center, kwa kosa la kuishi bila Vibali nchini Afrika Kusini.
Aidha, katika utaratibu wa kawaida wa Ubalozi, tarehe 19 Mei, 2026 Ubalozi ulitembelea Kituo hicho ili kubaini iwapo wapo Watanzania wenzetu wanaoshikiliwa. Zoezi la Utambuzi lilibaini uwepo wa Watanzania 60 wanaoshikiliwa katika Kituo hicho kwa kuishi nchini Afrika Kusini bila ya Vibali. Ubalozi uliwapa Watanzania hao Hati za Dharura za Kusafiria (ETD).
Mwisho, Ubalozi unaarifu kuwa namba alizoweka ndugu @DuniaSlaveDunia kwenye taarifa yake ni za simu ya mezani isiyo ya Ubalozi. Ubalozi unapenda kuarifu kuwa, namba sahihi ya Ubalozi ni +27 12 342 4371. Barua Pepe ya Ubalozi ni [email protected] au [email protected].
Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini
Leo tarehe 18.02.2026 nimempokea katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Bw. Ismail Seleman Mussa, Mshindi rasmi wa Tuzo ya Kimataifa ya Wanasayansi Chipukizi wa Nyuki Ulimwenguni (Panuwan Chantawannakul Award 2025).
Tuzo hiyo ya Kimataifa hutolewa na Shirika la Kimataifa la COLOSS. Bw. Ismail ni Mwafrika wa kwanza kushinda tuzo hiyo, na hivi sasa yupo nchini Afrika Kusini kutembelea Maabara za Nyuki katika Chuo Kikuu cha Pretoria, kwa ajili ya Utafiti unaohusu ulinzi w afya ya Nyuki.
Aidha, Bw. Ismail ni Mgunduzi wa Maziwa ya Nyuki Tanzania na Mwanzilishi wa Taasisi ya Apis Bee Tanzania inayo jihusisha na utafiti, elimu, mafunzo na huduma za uzalishaji, ubora na matumizi ya Mazao ya Nyuki kwa afya ya Binadamu. Mwanasayansi huyo Chipukizi amejikita zaidi katika tafiti za Afya ya Nyuki na Kemia ya Mazao ya Nyuki katika Chuo Kikuu cha Zhejiiang nchini China.
Wakati wa mazungumzo yetu, aliniarifu kuwa amefanikiwa kupata hadhi ya heshima nchini China kupitia ubunifu wake wa kudhibiti Wadudu hatarishi, kwa kutumia Kemikali wanazo tumia Nyuki kwenye mawasiliano yao (pheromones).
11K Followers 7K FollowingGraphic Designer || Upcoming MC🎤 || SDA Church || Simba Sc || Liverpool Fc || UDOM alumni 2019 || manager SILONET TRANSPORT 🇹🇿🇿🇲 || Villarreal Fc fan
11K Followers 10K FollowingWe can not control the wind, but we can direct the sails..
The African in America Movement...
+255692608572
https://t.co/d7bUfRnz9f
16K Followers 13K FollowingGlobal Health Professional. Young African Leader. Problem Solver. Alum - BYM 2015, YALI RLC EA, EALP 2018. YL4H Tanzania. YP-CDN. NextGen GHS. All views my own.
2K Followers 2K FollowingReinsurance Expert ( Treaty & Facultative Arrangements) , Risk manager, STOIC.
Living is easy with eyes closed, misunderstanding all you see….
834 Followers 946 FollowingUnataka Kusoma Vitabu Lakini Huna Muda? Usijali,
Nitakusaidia Hilo Kwa Kukupa Muhtasari Za Kiswahili Status Kwangu BURE. WhatsApp link👇🏾
2K Followers 7K FollowingVitu ambavyo mwanamke anaweza kunusa kwa usahihi
1#.Pesa
2.#Pesa Kibao
3. #Pesa nyingi
4#.Pesa nyingi sana
5.#Pesa nyingi nyingi nyingi sana
16K Followers 263 FollowingOfficial account of U.S. Ambassador to South Africa. Celebrating 97 years of diplomatic relations between the U.S. and SA. Terms of use: https://t.co/FuivbVwsGQ
42K Followers 7K FollowingUgandan Digital Journalist | Digital Amplifier & Influencer - Turning stories into reach on Social Media 🚀
DM for amplification & collabos
#ErichMboowaReports
872K Followers 804 FollowingThe official South African Government account managed by GCIS, offering easy access to public information and services. Tel: 012 473 0000
6K Followers 350 FollowingThe official account of The High Commission of Tanzania in Pretoria, South Africa. Also accredited to Botswana, Lesotho and SADC Secretariat.
15K Followers 8K FollowingOffice of the African Union CPAPS. Senior Advisor on International Partnerships-PAPS/AUC. Retweets not endorsements. All opinions my own.
160K Followers 19K FollowingInfectious Diseases doctor. Clinician-scientist.Officially the 1st person to use word #Covid. Strictly my personal views only.
11K Followers 7K FollowingGraphic Designer || Upcoming MC🎤 || SDA Church || Simba Sc || Liverpool Fc || UDOM alumni 2019 || manager SILONET TRANSPORT 🇹🇿🇿🇲 || Villarreal Fc fan
1.1M Followers 309 FollowingOfficial X account of the Office of the President of Rwanda. Your unique opportunity to follow the work of President Paul Kagame on a daily basis.
13K Followers 731 FollowingRich Uncle, No Kids | DILF | Enjoyment Minister | Tennis . Running . Gym | I will be humble about everything except my cooking | [email protected]
2K Followers 2K FollowingTanzania's High Commissioner to South Africa, Botswana & Lesotho | Dedicated to maintaining, sustaining & promoting friendly and mutual economic relations.