Geological Survey of Tanzania @GeologicalT
The Geological Survey of Tanzania (GST) is responsible to acquisition, processing and storage of geoscientific data/information gst.go.tz Dodoma, Tanzania Joined June 2018-
Tweets463
-
Followers715
-
Following146
-
Likes423
Bodi ya GST imepitisha Mpango wa Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 ili kutekeleza miradi ya kimkakati ya kufanya Utafiti wa kina wa Jiofizikia kwa njia ya kutumia ndege ili kuongeza eneo lenye taarifa za kina za jiofizikia kutoka asilimia 16 za sasa hadi kufikisha asilimia 34.
*WAZIRI MAVUNDE APIGA MARUFUKU WAGENI KUINGIA KWENYE LESENI ZA UCHIMBAJI MDOGO* ▪️Awataka wenye Leseni kufuata taratibu za kisheria za msaada wa kiufundi ▪️Serikali kutunga kanuni za kuratibu wageni kwenye Leseni ndogo ▪️Awataka RMO kufanya ukaguzi katika maeneo yao ▪️Awaonya wachimbaji wanaoingiza wageni kinyemela *📍Morogoro* Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amepiga marufuku raia wa kigeni kuingia na kufanya shughuli kwenye leseni za uchimbaji mdogo; hii ni kufuatia changamoto zilizobainika katika uingiaji mikataba ya utoaji wa misaada ya kiufundi kati ya wamiliki wa leseni ndogo za uchimbaji madini na raia wa kigeni. Amesema hayo leo Februari 17, 2025 wakati akifungua Kikao Kazi cha kupokea maoni kutoka kwa wadau kuhusu mapendekezo ya kuandaa Rasimu ya Kanuni za Madini za Utoaji Msaada wa Kiufundi kwa Wamiliki wa Leseni Ndogo za Uchimbaji Madini za Mwaka 2025 kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Edema Hoteli Mkoani Morogoro. Aidha, Waziri Mavunde ametoa wito kwa washiriki wote wa Kikao Kazi hicho kutoa maoni yao kwa uhuru na uwazi ili kusaidia upatikanaji wa Kanuni nzuri na inayotekelezeka kwa lengo la kuongeza tija katika mnyororo mzima wa shughuli za Sekta ya Madini nchini na kutekeleza sharti la kifungu cha 8(3) cha Sheria ya Madini Sura Namba 123. "Katika kipindi cha muda mfupi tumeshuhudia mabadiliko makubwa kwenye Sekta ya Madini kutokana na utashi wa Rais wetu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye anatamani kuona wachimbaji wadogo wanafikiwa, ambapo leo naagiza ofisi ya Kamishna kuwasaidia wachimbaji wadogo ili waweze kuhitimu kutoka hapo walipo na kuendelea mbele" "Haiingii akilini, mgeni anakuja, anaingia kwenye leseni ya mchimbaji mdogo kupitia mkataba wa utoaji msaada wa kiufundi, wachimbaji wadogo hawanufaiki wala kuendelea zaidi kimatumizi ya teknolojia na mitaji, hili halikuwa lengo la Sheria katika kuweka sharti hilo ili kuendeleza wachimbaji wadogo", alibainisha Waziri Mavunde. Pamoja na mambo mengine, Waziri Mavunde ametoa onyo kwa wachimbaji wadogo kutowakaribisha wageni bila kufuata utaratibu katika leseni za uchimbaji mdogo wa madini ambapo itapelekea kufutiwa leseni kwa atakaye kiuka agizo hilo na kutoa angalizo kwa Maafisa Madini Nchini kudhibiti uingiaji wa wageni bila kufuata taratibu. Kwa upande wake, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo amesema Kikao hicho kimelenga kupokea mapendekezo ya wadau kwa ajili ya kuandaa rasimu ya Kanuni za Msaada wa Kiufundi kwa ajili ya wamiliki wa leseni za uchimbaji mdogo ambapo Wizara iko huru na tayari kupokea maoni ya kila mdau. Naye, Rais wa Wachimbaji Wadogo wa Madini Nchini Tanzania John Bina amempongeza Waziri Mavunde kwa uamuzi wa kuwashirikisha wadau wa Sekta ya Madini wakiwemo wachimbaji wadogo ili kuandaa rasimu ya Kanuni hizo kuliko kujifungia na kuandaa Wizara pekee. Kikao hicho kimewakutanisha wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wa Wachimbaji Wadogo kutoka mikoa yote nchini, vyama vya wachimbaji wadogo wanawake Tanzania na wafanyabiashara wa madini nchini.
repost from @tbc_online Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Yokbeth Myumbilwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST). Myumbilwa anachukua nafasi ya Prof. Justinian Rwezaula Ikingura ambaye amemaliza muda wake.
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde ameshiriki hafla fupi ya kuiaga Bodi ya Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) ambayo imefikia mwisho wa muda wake wa kuiongoza taasisi hiyo tangu kuteuliwa kwake mwaka 2022.
Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) na Taasisi ya Jiolojia ya nchini Uingereza (BGS) zimefanya mazungumzo ya namna bora ya kuanzisha mashirikiano katika tafiti za madini na kujengeana uwezo.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo ametoa wito kwa Wawekezaji kuchangamkia fursa za uwekezaji katika Sekta ya Madini ikiwemo kuwekeza kwenye kufanya tafiti za Jiolojia kwa kutumia Teknolojia ya Kisasa ili kuvumbua maeneo mapya ya uchimbaji madini.
𝑩 𝒊 𝒈 𝒊 �... @Poverty_Helping
18 Followers 34 Following develop touchscreen costume, data center, 7DHolographic GamingCube, sustainable satellite & earn-to-play API+Game of smart-NPC helping UtopiaCities & Candyland.
Abelkomba @abelthegreat13
5 Followers 92 Following
Lewis Kiogora @luizkiogora
896 Followers 6K Following
Letha Rempel @RempelLeth51378
109 Followers 5K Following
honorableanko @honorableanko
54 Followers 1K Following
Mwalusamba Samson @MwalusambaSams2
1 Followers 52 Following
Amanda McCallum @AmandaCMcCallum
2K Followers 3K Following Geologist | Educator | Explorer | Hiker Executive Director, Mining Industry NL 🇨🇦
UK in Tanzania @UKinTanzania
123K Followers 835 Following British High Commission Dar es Salaam / High Commissioner @MYoungFCDO
伊曼纽尔 @Rockboy28646812
16 Followers 459 Following
Michael Sarapion @MSarapionsafina
1 Followers 18 Following
Nicholaus Suya jr @suya270
2 Followers 27 Following
NovaX247 @Novax247
4 Followers 96 Following Explorer of life, passionate about Africa’s growth and nature. Driven by purpose, constantly learning, and striving for a better tomorrow. 🌏
ANDREW LYIMO @ANDREWLYIM
1 Followers 108 Following
Erick Ayo @ayo_7147
0 Followers 15 Following
G for Gold 🇹🇿 @GideonMich49709
89 Followers 2K Following Gold/Silver/Copper/Graphite/Coal in 🇹🇿 Tanzania
Sabrina SIWA ∞ @SabrinaSiwa
317 Followers 935 Following Host of the @SabrinaOnCast Podcast. For inquiries Email: [email protected]| Retweets+Following ≠ Endorsement| Opinions are mine.
Eng. Joseph Mulangi @JosephMulangi
143 Followers 372 Following Mtanzania mpenda maendeleo| Eng. in Telecom UDSM | Simba Fans | Gunners Developer Beginner...
Silvanus Mathias @Jiffsilvernus
36 Followers 825 Following
KALEBU PASCHAL @KalebuPaschal
0 Followers 18 Following
Denis Moshi @moshi75302
0 Followers 28 Following
Mariagoreth Charles @Mcgoreth
646 Followers 1K Following Knowledge Management Strategist I Brand Architect | Storyteller | Logophile I Speech Writer I Learner I Somedays I am a poet.
Taher Guzman @abdallahrash1
53 Followers 430 Following
Gwamaka Ambilikile @GwamakaAmb8814
8 Followers 594 Following
Spencer Hou @spencer67122213
6 Followers 29 Following
michael mwakihaba @michaelmwa79990
12 Followers 289 Following
H Simba @simbahd
3K Followers 1K Following Consulting (Telecom, Mining and Banking) BSc, MSc, CPSP-AU, MCIPS- 🇬🇧 Corporate Solutions and Government Relations
Dan Condon @DanJCondon
2K Followers 3K Following geologist at the British Geological Survey and National Environmental Isotope Facility. Parent 👨👧
Aloyce Chacha @aloyce_cha32613
2 Followers 48 Following
Abayo Adebayo @abayo_adebayo
30 Followers 418 Following
@I_am_chief_chiwegi�... @Chiwegijr
22 Followers 320 Following
Trumpet @Trumpets2050
612 Followers 943 Following Go now, write it on a tablet for them, inscribe it on a scroll, that for the days to come it may be an everlasting witness Isaiya 30:8
M A G I T E ⚙️�... @MAGITE3
270 Followers 539 Following Auto - Mechanical, Trainer, Businesses oriented. Report writing
🌋Saajeda🌋🌀�... @Saajeda_B
1K Followers 4K Following Tanzanian🇹🇿 Aspiring volcanologist🌋MSc & BSc in Natural Hazards, Woman in FCRM🌊 Flood Risk & Resilience🌊Passionate about natural hazards🌪🌊🌋
Holy @yose_hoza
161K Followers 32K Following Digital Inclusion | Telecommunication Engineer | #ElimikaWikiendi
Anthony Mavunde @amavunde
646 Followers 25 Following
Tukutech Company Limi... @Tukutech_
224 Followers 135 Following Specialized in providing drone-based services: -MiningIndustry:#GeophysicalSurveys. -AgricultureIndustry: #CropSpraying. -EnvironmentalIndustry: #MapMaking
UK in Tanzania @UKinTanzania
123K Followers 835 Following British High Commission Dar es Salaam / High Commissioner @MYoungFCDO
Mining Indaba @MiningIndaba
27K Followers 2K Following 8 - 11 February 2027 | Cape Town, South Africa #MI27
ikulu_Tanzania @ikulumawasliano
554K Followers 6 Following Ukurasa rasmi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu-Tanzania 🇹🇿
Branding Tanzania �... @tzbranding
16K Followers 3K Following A lifetime initiative established with a purpose to profile positive legacy & create compelling brand image on all aspects of 🇹🇿. #ProudlyTanzanian
Dr. Melissa Scruggs �... @VolcanoDoc
16K Followers 828 Following Volcano Scientist & Hardscrabble Woman w/ AuDHD. Interests include: SciComm, mafic enclaves, lava chemistry, phase-equilibria models & pizza.
Haki Ngowi @Hakingowi
438K Followers 9K Following 🌍 Official X(Twitter) Page Of Haki Ngowi ® 💻📱 Post(Tweets) From Haki Ngowi are signed hn+
BBC News (UK) @BBCNews
15.1M Followers 85 Following News, features and analysis. For world news, follow @BBCWorld. Breaking news, follow @BBCBreaking. Latest sport news @BBCSport. Our Instagram: BBCNews
Finance Tanzania @FinanceTanzania
160 Followers 398 Following Bringing the latest finance news from Tanzania and Africa
Beak Consultants GmbH @BeakConsultants
276 Followers 685 Following Beak Consultants GmbH offers consulting services in the field of applied geology, environmental management, GIS, cartography and information technology.
gpdnyc @gpdnyc
194 Followers 1K Following
HakiRasilimali @HakiRasilimali
11K Followers 435 Following The leading civil society coalition in Tanzania, advocating for #transparency and #accountability in the extractive industry (mining, oil, and gas).
Thamani Madini @ThamaniMadini
508 Followers 521 Following Official X Account: @ThamaniMadini Contact: [email protected]
Ofisi ya Waziri Mkuu @TZWaziriMkuu
85K Followers 4 Following The official Twitter page of the Prime Ministers’ Office Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Ofisi ya Waziri Mkuu
School of Mines and G... @DarusoSoMG
206 Followers 110 Following Official Twitter account of School of Mines and Geosciences (SoMG) - University of Dar es salaam (UDSM) (Students' Organization)
Uhondo TV @UhondoTV
1K Followers 242 Following ALL NEWS UPDATES For Ads 📲 +255625662364 / 📩 [email protected]
BBC News (World) @BBCWorld
42.2M Followers 17 Following News, features and analysis from the World's newsroom. Breaking news, follow @BBCBreaking. UK news, @BBCNews. Latest sports news @BBCSport
temesatanzania @temesatanzania
55K Followers 11K Following TEMESA Ni Wakala wa Ufundi na Umeme nchini na uko Chini ya wizara ya Ujenzi
Nature Geoscience @NatureGeosci
122K Followers 301 Following A monthly journal collating top-quality research across the Earth and planetary sciences. Bluesky: https://t.co/jpJH7aejPs Site notice: https://t.co/33f68FcEDQ
John Gama @gama_john
487 Followers 2K Following ACP EU Development Minerals Alumnus| Geoscientist | Ph.D. (Geosciences) l
TBC DIGITAL @TBConlineTZ
134K Followers 18 Following Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC). TBC kiganjani mwako, usipitwe #ukwelinauhakika
Wizara ya Elimu Tanza... @wizara_elimuTz
87K Followers 58 Following This is an Official page for the Ministry of Education, Science and Technology.
GSEU - A Geological S... @GeoServiceEU
243 Followers 114 Following Providing access to subsurface data, information and knowledge to boost and accelerate the green transition.
New Scientist @newscientist
4.3M Followers 278 Following The best place to find out what’s new in science – and why it matters.
GREEN WAVES MEDIA @greenwavestz
2K Followers 4K Following Green Waves Media Tanzania is a premier site for selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the world. We operate 24 hours a day.
Brenda Kisaka @brenda_kisakaH
472 Followers 530 Following
Wizara ya Maji Tanzan... @maji_mowi
48K Followers 135 Following Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira.
Kheri Mahimbali @MahimbaliK
3K Followers 1K Following #FundiMkuu #TemesaTanzania | Civil Servant| Personal Mantra: #GoBig or #GoHome
Barrick Mining Corpor... @barrick_mining
64K Followers 355 Following Barrick is a leading global mining, exploration and development company.
Maelezo News @maelezonews
29K Followers 9 Following Ukurasa Rasmi wa Idara ya Habari - MAELEZO ~ Information Services Department 🇹🇿
Okonkwo Unoka @okonkwo_unoka
15 Followers 69 Following Mchapakazi, Hodari asiyependa uonevu mahali popote.
Mufadal Zoher @MUFATHEGREAT
419 Followers 5K Following An unsure Earthling/Earthian, believer in E.T.s, movie lover, mercurial but okay
Roland Cassinga @RolandCassinga
753 Followers 3K Following Senior DRC Mining Expert|ASM Specialist|Mining Governance||Strategic Sustainable Mining|Critical Minerals|Responsible Minerals Trade|Traceability and clean Mine
Mjukuu wa mtume @MjukuuMtume
4 Followers 43 Following
Rwegoshora m Godfrey @RwegoshoraG
164 Followers 230 Following Geo &Gold hunter| Proudly of Nzega greenstone belt| @udsm Alumni
Agape Kimaro @AgapeKimaro
3 Followers 53 Following
Jo! @JustineMunisi
63 Followers 365 Following #Metallurgist, #GeologicalLaboratoryEngineer, #Manchester United fan❤️ (I LOVE this GAME😃😃)
Amy_lewis143 @amy_lewis143
175 Followers 325 Following PhD student at the University of Sheffield. Studying how basalt-amended soils could stabilise organic carbon.
Tanzania Mining Link @tanzamining
147 Followers 52 Following Linking Investors & Traders In Different Mining Opportunities In Tanzania
























