Stanley Tech Mentor @ImStanleee
Helping self-taught developers level up • Real coding tips & hands-on workflows • Turn your skills into income 💻 • DM for mentorship & collabs Dar es Salaam, Tanzania Joined November 2019-
Tweets5K
-
Followers4K
-
Following3K
-
Likes8K
Changes can take years before it happens all at once. Usikate tamaa, ni ngumu kujengea tabia ambayo inakujenga wewe lakini ni rahisi zaidi kubomoa tabia iliyokujenga wewe. Developers wote duniani unao waona hawakuweza kuwa vile walivyo over 1 night, iliwagharimu kufika pale.
Take this ROAD MAP itakusadia na kukupa uwezo wa kujua programming. Jifunze nadharia kabla ya practical, jipe muda kujua maelekezo ya kila kitu. Elewa dunia ya tehama inafanyaje kazi ikiwemo internet, network, na computing device. Jifunze kuelewa lugha za computer kiundani.
Junior devs and Self-taught Developer! Kabla hujataka kuwa developer, lazima ujue kuwa dunia iko na ushindani wa hali ya juu. Lazima ujue kuwa hakuna kipya kwenye uwanda wa software development, lakini bado chance ya kutoboa ipo! Kivip? Be a REAL WORLD PROBLEM SOLVER. ASANTE!
Ni J4 nyingine tena ya kukumbushana kuwa pasipo NIA, JITIHADA, UVUMILIVU, NIDHAMU na MUENDELEZO mzuri juu ulifanyalo kutoboa itakuwa ngumu kwako. Jifunze kwa bidii mkali wade, usikate tamaa unapo pata changamoto, jifunze kushare na wakali wade wengine wakupe uzoefu juu ya hilo.
Wanangu TECH SKILLS zinalipa, mnazichukulia poa kujifunza kwa sasa ila hizo ndizo zinawapa watu maisha. Kwanini uogope kujifunza, ukicheki matajairi wakubwa duniani katika ile list ya Forbes pale wengi wanaongoza ni waanzilishi wa kampuni za teknolojia. Wekeza usiogope mkuu
Soln zote na unazi apply ila ngoma bado mbichi, hapo ndio utajua kuwa kuacha ndala hakuhitaji ukimbizwe. Ila CONSISTENCY huwa ndio kila kitu, hapo itakufunza kuto kukata tamaa, kuto kuacha kuumiza kichwa, utajifunza mengi sana kupitia consistency.
Linapokuja swala la CONSISTENCY wengi huwa wanashindwa kutoboa! CONSISTENCY inahitaji DISCIPLINE ya hali ya juu, yaani sio kwa kubahatisha mkali wade. Mfano, unagonga zako code, mara inatokea error kila ukisolve ngoma ngumu, unalala unaamka ngoma bado ngumu, hapo AI anakupa
Kwenye kujifunza kunahitaji mambo 3 nayo ni LENGO, UVUMILIVU, MUENDELEZO. LENGO - Jua kwanini unajifunza na kwa dhumuni gani. UVUMILIVU - Matokeo hayaji haraka hivyo ni muhimu kuto kata tamaa. MUENDELEZO - Kuna wakati utajihisi kuchoka ila kamwe usiache siku ipite.NEVER QUITY
What make you GREAT ON YOUR LEARNING, ni uwezo wa kufanya kila siku (practice). Mathematics sio ngumu, ila ugumu huletwa na kutokufanya kila siku, kuto kujipa mazoezi. Unapotaka kuwa developer bora, hakikisha kujifunza kila siku bila kuacha iwe sehemu ya maisha yako.
@godopetza Naam ndugu yang waje bana
Sasa wewe unajifunza CODING au UNAJIFUNZA KUWA DEVELOPER? Kuna tofauti kati ya kuwa DEVELOPER na kujifunza CODING, kujua CODE haikufanyi kuwa rated developer, hiyo ni sehemu ndogo mno ambayo hata mtoto wa darasa la 4 akifundishwa anajua. Real developer ni PROBLEM SOLVER! 🍺💻
Sifa moja wapo ya DEVELOPER yeyote duniani ambayo lazima awe nayo! Uwezo wa kufanya DEBUGGING! BISHA KWA HOJA! Hapa Junior Dev lazima wapagawe kidogo 😀😀, wakiona tu hawaelewi utaona prompt inasema. "Please finde the error on this code" 😂😂😂😂
@ommy_pythonc Naam unajikuta ukihostzig hausomi ila kwako fresh aghh hapo lazim uache ndala
Mwamangu kaza kuzijua FOUNDATION zile huwa zina maana kubwa! Unaidharau HTML,CSS NA JS sababu ya ujio wa AI, nataka nikwambie kuwa AI itaweza tekeleza kile umesema ila kama huna BASIC ya kile unachokitaka hapo lazima uache ndala. Uzuri kwenye tahasisi they need real developers.
SOMA HIKI KISA HAPA! Mtu unafanya kazi kuanzia j3 mpka ijumaa, unakuwa na siku 2 za mapumziko, na muda wa kurudi home ni saa 10 jioni hivyo bado una muda wa kupumzika. Kawanini katika siku hizo 2 usitumie kujifunza NEW SKILL, ili siku isiishe umelala tu. Unalala una raha gani?
Goodmorning Familia ! Moja ya vitu muhimu kama developer hupaswi kukosa, ni uwezo wa KUUZA PRODUCT YAKO. Ukiwa unaanza huwezi ajiri sellers sababu huna uwezo, lakini PRODUCT inatakiwa ifike sokoni, hapa lazima uwe na uwezo wa KUMARKET na SELLING. Kwa Africa kutoboa si mchezo.
Wewe ni Junior Developer? Mpaka sasa hamna seriously project yeyote uliyofanya? Bado una safari ndefu sana katika kujifunza, kwanini? As Junior Developer lazima ujue kitakachokujenga na kuwa bora na kufika leveles, ni kuwa na uwezo wa kumaliza ulichokianza. Sio rahisi kumaliza.
@Davioh76 Vigezo ni wewe kuwa na utayari wa kujifunza na sio kujaribu. Kuhusu gharama zinatokana na utayari wako mkuu, naweza kupa gharama lakini ikawa si lengo. Kwanza andaa mpango, unataka kujifunza nini? Unatak ufocus kwenye upande gani? BackEnd, FrontEnd au FULL-STACK. Karibu DM
Yoh unatamani kuwa web developer? Au na wewe ni SELF-TAUGHT DEVELOPER ambaye unahitaji MENTORSHIP? Karibu sana, kwangu utaweza kupata Effective road map. Effective learning skill. Effective challenge overcome. Finishing what you start. Lakini tutajifunza wote kwa pamoja.
#TOTTechs @TOTTechs
51K Followers 778 Following Jukwaa la washauri na wataalamu wa Teknolojia || Computers || Phones | Softwares || ICT Hardwares and Networking || ICT Security || IoT || AI and Robotics
Eng. James Munisi @NjiwaFLow
205K Followers 30K Following Creator & Innovator | Electronics & Telecom Engineer | Punter | Business Administrator | 1+1=11 | All about Techs | Founder @Njiwa_Store | We are @TOTTechs |
Fortunatus Buyobe @fbuyobe
144K Followers 1K Following Pool of thoughts. A commander of the hand to mouth battalion. Environmental Pioneer. Social Engineer. #CertifiedMchapaUzi . Telegram: https://t.co/aEEOOryJWO
Malkia Nyuki 👑 @nyuki_malkia
984K Followers 8K Following Movie, Tv series 🎬🎥 God is good always @ManUtd #Tumshauri
HabariTech @HabariTech
21K Followers 714 Following Ulimwengu wa Teknolojia kiganjani mwako. #HabariTech
M.D (🅨) @ReganTesla_
119K Followers 4K Following M.D 🌳 ✊🏿GOD 1st https://t.co/gGPpFQh0et 🏚️ APPLIANCES STORE. GENUINE PRODUCTS. TV, FRIDGE, AC, SOUNDBAR & ....... 📞 0716006808
Adventure-360 @Adventure_36
184K Followers 2K Following Lawyer, Human Rights Activists, @simbasportsclub @ManchesterUnited Fan, Buses Fun, Buses Reporter 🚌
Asat Ayo @asatayo
9K Followers 3K Following Husband | Father | Software Development Expert | Technology Enthusiasts | Security Analyst
ps-aux-grep root @AuxGrep
5K Followers 141 Following cybersecurity | Ethical hacker | Consultant | Linux Programmer 🇹🇿
emmajr @emmajrojh
20 Followers 376 Following
melanie ✨ @melaqyex
1 Followers 545 Following 18 💭 need a content partner this week 🌶 I only respond here ⬇️
Idrisa @Idrisazugi
18 Followers 313 Following
Train La X..🚂 (The... @Davioh76
5K Followers 7K Following Train La X is Travelling everyplace. Let's connect and Grow. Get Latest News, Mutual Connection and Engagers on X. #Treni_La_X #TheXTrain #Grok_Train
Muzumbe Technologies @FrancisMuzumbe
16 Followers 176 Following Networker | Programmer | Financial Markets Analyst
Adam pie @AdamMasung79819
216 Followers 2K Following
Crispin Clemence @CrispinCle2848
9 Followers 80 Following
Ndaka Haji @HajiNdaka70323
2 Followers 55 Following
Moses Mfalanyombo @Mfalamoses1
2K Followers 2K Following
MWAFRIKA @BillyP3772
150 Followers 1K Following THUG BOE🌵 MONEY CHASER 💸 DEAR MOM ♥️ ALWAYS REMEMBER TO PUT ON A HAPPY FACE.😎 LIFE IS SHORT
Ponsi Dkp 🎸 @DkpPonsi92
101 Followers 1K Following Manchester untd 📛 or yanga African 🔰 God did✝ Nampenda yeye tu ❣❣ Stay positive 🤝father or Mather😍
Ado @AdoDancho
4 Followers 287 Following
Is-haka Issa @binissytz
0 Followers 19 Following
Higs @mzawaMUFC
2K Followers 3K Following
Joseph Marandu @joseph_mar35982
17 Followers 247 Following
King Wisper @king_wispe58418
6 Followers 186 Following
⭐⭐⭐⭐⭐⭐ @humble_boy_og
12K Followers 2K Following Nobody cares,work harder.💦🤍✌🏿 #ARSENAL & #YANGA ❤️💚 | Officer 🛡️ | ICT Expert 💻 | Free Thinker 🧠 | יִצְחָק
I am Tired @URFUNNY255
21 Followers 295 Following
JOAN JOAN @lutaged66648
10 Followers 167 Following
ANDREW STEPHANO @S52550Andrew
0 Followers 22 Following
Wilma Gutmann @GutmannWil89682
73 Followers 3K Following
Taryn Wilderman @TarynWilde51341
79 Followers 3K Following
Kichakoro Master @NaivetyX
1K Followers 2K Following
Wilson.k.edward @Wilsone19941205
38 Followers 248 Following
Ally Hamad @AllyHamad534189
66 Followers 499 Following
Deo Officially 🇹�... @deo90788
699 Followers 2K Following Phone & PC Software | Flash, Unlock, IMEI Check | Safe & Legal Tech Support
Eererdou @Eererdou0454
92 Followers 3K Following
KOFI @obama_bara51153
9 Followers 85 Following
Trigger Trey @kavishe28260
7 Followers 133 Following
Baraka Mbonde @BarakaMbon29275
4 Followers 187 Following
Gauugea @Gauugea20554
43 Followers 626 Following
Xavier Burudi @XBurudi94189
19 Followers 45 Following
Kalokola @Kalokola7
36 Followers 822 Following
stanley von komba @VonKomba
44 Followers 217 Following
Y4boy @The4sharks
35 Followers 722 Following Arsenal,Simba &Barcelona fan/MNMA Alumn/HR by proffessional.
Junior Jr7 @gxtyr67899
0 Followers 18 Following
#TOTTechs @TOTTechs
51K Followers 778 Following Jukwaa la washauri na wataalamu wa Teknolojia || Computers || Phones | Softwares || ICT Hardwares and Networking || ICT Security || IoT || AI and Robotics
SANUKAnaCHAPO @chapo255
450K Followers 3K Following |Bongo Flava | Owner @usedpointtz 💻| Upande Shekh upande Ninja |
Martin Maranja Masese @IAMartin_
611K Followers 1K Following MMM | Sperm That Won The Race | Cogito, ergo Sum | Patria o Muerte, Venceremos |
Eng. James Munisi @NjiwaFLow
205K Followers 30K Following Creator & Innovator | Electronics & Telecom Engineer | Punter | Business Administrator | 1+1=11 | All about Techs | Founder @Njiwa_Store | We are @TOTTechs |
Swahili Times @swahilitimes
1.6M Followers 0 Following Habari | Elimu | Burudani | [email protected] | Maoni ya wasomaji si maoni ya Swahili Times | Simu/WhatsApp/Telegram: +255 743 778 779
George Ambangile @George_Ambangil
934K Followers 1K Following GeorgeAmbangile|FootballAnalyst|Supersport commentator
Spana & V.A.R Movemen... @spana_Konki
381K Followers 1K Following Spana Wolfgang Konki| Certified Spanaz & V.A.R 🔧 Spana Headquarters🏢. Spana & V.A.R Compilation. Ni-Tag penye Spana/V.A.R. JUMUIYA YA WAPIGA SPANA
millardayo @millardayo
3.1M Followers 478 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]
Nindi.Jr ㄷㄱㅑㅊ @Nindi_Jr
47K Followers 18 Following Nazungumzia Muvi & Series Kwa Utashi Wangu,✍🏽 Maandishi Yangu Ni Cinema | Founder @NindiJrTV
Simba Sports Club @SimbaSCTanzania
2.0M Followers 41 Following The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)
Zee la Vyeti (PhD) @babalao__
690K Followers 7K Following 𝗭𝗲𝗲 𝗕𝗮𝗯𝗮𝗹𝗮𝗼, 𝗣𝗵𝗗 , Zebedayo ✪Influencer ✪ Content Creator ✪
Boniface Jacob @ExMayorUbungo
583K Followers 9K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal Council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov. Ubungo councilor 2010-2020 BAEd Udsm CHADEMA CC MEMBER
Mfanyakazi Online Med... @MfanyakaziNews
462K Followers 0 Following UKWELI NA UWAZI : : [email protected]
EastAfricaTV @eastafricatv
2.1M Followers 6 Following Official EastAfricaTV (EATV) Twitter Email: [email protected]
Mohammed Dewji MO @moodewji
2.3M Followers 131 Following Pan-African Entrepreneur, President @MeTL_Group & @SimbaSCTanzania, Philanthropist @DewjiFoundation, Georgetown Alumni #Hoya
Train La X..🚂 (The... @Davioh76
5K Followers 7K Following Train La X is Travelling everyplace. Let's connect and Grow. Get Latest News, Mutual Connection and Engagers on X. #Treni_La_X #TheXTrain #Grok_Train
Muzumbe Technologies @FrancisMuzumbe
16 Followers 176 Following Networker | Programmer | Financial Markets Analyst
MWAMUBAMBE @fulgensi_r
391 Followers 191 Following Law Graduate ⚖️ Exploring law, society & accountability Writer | Graphic Designer
PerfectTech @tech_perfect1
95 Followers 893 Following Programmer || Developer || Cybersecurity specialist || Accountant.
CarolNdosi @CarolNdosi
36 Followers 2 Following Digital Inclusion Consultant & Founder @nyamachomafest @thelaunchpadtz @lpdigitaltz @techwomentz @sheroestanzania
Calvin Martin @Calvinho_07
509 Followers 3K Following Telecom Engineer 👷🏽♂️| Graphics Designer | Coder 👨🏻💻
Dr. Magreth @angelus_maggie
1K Followers 630 Following MD,MPH. Tanzania Chapter Leader @ncdaction Research & Training Officer - Shree Hindu Mandal| Youth Ambassador @Plan_tanzania Champion @africaCDC @AUBingwa
Qavan @EdwardSolon
161 Followers 685 Following
Higs @mzawaMUFC
2K Followers 3K Following
Charlie @Apson_Soft
311 Followers 535 Following Website Hosting System Analysis l Software Developer l Networking I Website Development I Data Analysis I SPSS DATABASE I Research Consultant
⭐⭐⭐⭐⭐⭐ @humble_boy_og
12K Followers 2K Following Nobody cares,work harder.💦🤍✌🏿 #ARSENAL & #YANGA ❤️💚 | Officer 🛡️ | ICT Expert 💻 | Free Thinker 🧠 | יִצְחָק
SHABANI I. SHAIBU @Kibindo_
642 Followers 2K Following Education officer|Counselor|Biologist|Chemist|Aspiring Pharmacist|Bookworm|Environmentalist|Philantropist|Pan African|Poet|جعفري
d3nyo @_denyoh
592 Followers 1K Following chelsea fan & Football fanatic | Spreading laughs & vibes | Always ready for a good match or a quick comeback | Living life kwa wastani
frank Emmanuel @FEmmanuel88236
9 Followers 170 Following
Utu💖 @UbinadamuKwanza
284 Followers 529 Following Kwako binadamu mwenzangu, kutofautiana kimtazamo na kifikra ni sawa.
Alex Nguyen @alexcooldev
66K Followers 665 Following Indie Hacker building AI apps: 370K users 🤙 $16K/mo (https://t.co/BOZvk1HA2n) 20K users 🤌 $9K/mo (https://t.co/wHZuITsNqP) partnered with @rork and @arcads_ai
Sultan 085 @085_sultan
27 Followers 16 Following
Google AI Developers @googleaidevs
116K Followers 51 Following AI for every developer. So what will you build?
Linus Lasway @LinusLasway
1K Followers 1K Following Spiritual Alchemist |Grow in stillness Live your purpose for online and offline entrepreneurs,business guys
⭕𝙨 𝙏𝙚𝙘�... @OsFadhirl
1K Followers 5K Following Bachelor of Law (LL.B)⚖️, Self Technician in prototyping Technological Stuffs,I Like Inverting ⚙️ Funny guy😀 I love The Great Serengeti & Zanzibar 😊
Said Mohammed @SaidMohamm93426
2 Followers 34 Following
Elias Raphael @EliasRapha67807
3 Followers 151 Following
mecqe @mecqe22
7 Followers 72 Following
VolatilityacrashBoomF... @VCBFxStocks
1K Followers 6K Following Trading Journal 💙 Market Enthusiasts 📉📈📊 💙 We are here to inspire traders 📊Synthetic Indices 📊Forex 📊Indices 💙 Track.Deriv Let's Trade🤍💸
Pablo @rafaasemboja
30 Followers 319 Following Ambition. I just wanna make money and make the world a better place. Cornciege at Dar es salaam Serena Hotel
okelo bernard @OkeloB95772
20 Followers 165 Following
elbert eliakim @hansboy182
38 Followers 477 Following
Iddi Iloko @IddiIloko41593
2 Followers 48 Following
[email protected] @Kipandajr06
3 Followers 99 Following
Ashirafu athuman @Ashirafuat29274
2 Followers 81 Following


































