Mr Stan @KapsJr
A servant of Jesus/Preacher/A student of Bible/A mass communicator sirizabible.blogspot.com Dar es Salaam, Tanzania Joined August 2019-
Tweets4K
-
Followers417
-
Following334
-
Likes4K
Wanadamu anaweza kukushusha thamani lakini hawawezi kuamua hatma yako isipokuwa Mungu. Yeftha alikataliwa na ndugu zake, lakini mbele za Mungu alikuwa mwamuzi mkubwa wa taifa la Israel, shujaa aliyewatoa katika utumwa wa wageni. Mwanadamu hawezi kuamua kesho yako.
The world will change. Tukiwa na waandishi wenye akili na maarifa kama wewe. Mungu atunze akili yako. Be blessed.
Kwa nini unaumia mwenzako akifurahi? Umewahi kujiuliza swali hilo? Kwa nini inakusumbua mtu akiishi maisha yake? Umeona mwenzio kaenda Marathon hata mia hajakuomba, unaigeuza agenda ya kumsimanga. Umekaa mahali na mtu anakueleza namna mambo yalivyomnyookea unahisi kama anatamba.
Ukielewa neno la Mungu umeanza kumwelewa Mungu, ukweli ni kwamba Roho wa Mungu alinizuia nisiende kwa sababu uponyaji kwa yule mtu ulitenda usiku ule ule. Niliendelea na mambo mengine kwa sababu nilishajua ushuhuda utakuja wenyewe. Na ndivyo ilivyokuwa.
Kuna mtu aliumwa sana. Ghafla tu, alipima vipimo vyote hakuna ugonjwa. Akanipigia simu nikamwombea, nikamwahidi kwamba siku ya pili ningemtembelea kwa maombi zaidi. Lkn alfajiri katika maombi Roho akanipa andiko Lk 7:1-10, kwa hiyo sikwenda, saa 4 nikapokea meseji yake amepona.
Hausomi neno la Mungu, kutafakari wala kuchambua maandiko na unategemea kuelewa sauti ya Mungu. Mungu hawezi kuzungumza na wewe kama humwelewi. Mara nyingi sana Mungu amejaribu kuongea na watu lakini hawakumwelewa. Kaa katika maarifa ya neno utamwelewa Mungu (Zab 119:130)
@SamsonErnest_ Kabisa mtumishi. Ndiyo Remote Control
Ulimwengu wa roho ni kama akili ndani ya ubongo, ingawa akili haionekani lakini matokeo yake yanaonekana. Magari, ndege, pikipiki hivyo vyote ni matokeo ya akili. Vivyo hivyo ulimwengu wa roho huamua matokeo ya maisha ya watu hata ingawa hauonekani kwa macho ya nyama.
Yesu alisema kulikuwa na wakoma wengi katika siku za Elisha, lakini aliyeponywa ni Naamani pekee (mgeni), kwa neno la binti wa kazi aliamini na kufata muujiza. Siku moja ukiamka na kuacha kumdharau mchungaji wako, usiyaone mahubri yake kama kelele, Mungu atakuponya kirahisi sana.
Yesu ni Nuru, akikaa ndani yako hutaogopa giza kamwe. Aliposema nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani maana yake falme zote amezitiisha chini yake. Ukiwa na hii Nuru dhambi itaondoka, vifungo vitakuacha, magonjwa yatakimbia, wachawi watapita pembeni. Yesu ni Ushindi.
Ni jambo zuri kuombea moyo wako kuliko pesa na uchumi. Maana moyo mzuri humvuta BWANA akupe vyote. Moyo mzuri hutengeneza Moyo wa ibada ambao utakupa neema ya kutafuta ufalme wa Mungu, na hapo kanuni ya Mungu itakuinua na kukubeba sawa sawa na neno lake (Mt. 6:33).
Pamoja na kwamba Daudi alipakwa mafuta na Samweli kukaa mahali pa Sauli lakini hakuwahi kuacha kuchunga kondoo wa baba yake, kumtii Sauli kama mfalme na kubeba silaha zake vitani. Kila kusudi la Mungu lina majira na wakati wake. Unyenyekevu na utii ndiyo siri ya kuinuka.
Mwl. Onesmo Prosperity anasema "Kigezo kikubwa cha mtu kupokea baraka za Mungu ni moyo wake". Mungu anavutwa na moyo wako, sura ya mtu kwa Mungu siyo uso wako bali moyo. Maandiko yanasema Mathayo 5:8 [8]Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Mungu.
Hakuna kingine kinachoweza kumvuta Mungu kufanya mambo makubwa kwako isipokuwa moyo wako. Dan 1:8 [8]Lakini Danieli aliazimu moyoni mwake ya kuwa hatajitia unajisi kwa chakula cha mfalme, wala kwa divai aliyokunywa..... [9]Basi Mungu alimjalia Danieli kupata kibali na huruma..
Maono ndiyo huseti standard ya mke siyo mapenzi. Kila mwenye maono anajua mke anayatekiwa kuishi naye. Maono siyo picha ya mipango. Hakuna mwenye maono anayeshindwa kuchagua mke sahihi. Vision dictates criteria. Maono huamia vigezo. [Haimanishi watu hawabadiliki wanaweza kubadilika ila si kwa sababu umekosea, bali wameamua kubadilika].
Wale waliochagua kuambatana na Mungu, Bwana hufungua macho yao wanapohitaji kupata mahusiano sahihi ya ndoa. Ni kweli dunia imeharibika sana lakini Mungu akikupa macho ya rohoni utaona kisima katikati ya jangwa (Mwa. 21:19).
Unatamani sana kuacha maisha ya dhambi lakini huwezi. Jambo kubwa la kwanza litakalokutoa hapo ni maamuzi (Ufu. 3:15). Usikubali kuishi maisha ya dhambi kwa sababu mshahara wa dhambi ni mauti. Mruhusu Yesu aishi ndani yako, ukivaa Kristo, umeishinda dhambi.
Siri pekee ya kushinda dhambi ni kukaa sana katika neno la Mungu na fundisho. Uwe na kiu ya kijifunza kwa watumishi wa kweli. Fundisho moja la Mwalimu Mwakasege lilitosha kabisa kunitoa kabisa katika vifungo vya dhambi. Nimelitunza hadi leo kwenye diary.
Dickson Henry @DicksonHen7900
1K Followers 1K Following pastor/The gospel preacher 📢📢and singer.🎙 a composer and copyist✍ of the Christian⛪ instruction
lucy🌹 @luuhmamity
493 Followers 493 Following
Ray Kihaba @KihabaRay
2 Followers 45 Following
Mkumbo Boniface @MkumboBonibo
4 Followers 69 Following
King Smine @KingSminerlix
3 Followers 50 Following
Mtoto Wa baba @JWolf62325006
97 Followers 726 Following Because you are alive, nothing is impossible... 💪💪
shadow masterTZ @mastertz74432
85 Followers 1K Following
Rev. Sam Nkonina @PstNkonina
3K Followers 5K Following Jesus is the way,the truth and the life.john14:6.
Amedeus Shayo @AmedeusSha16871
48 Followers 838 Following
Yassin Mchondo @yassin_mch46769
34 Followers 383 Following
Godwin Godwin Kachemu... @GKachemu
1K Followers 5K Following BABA MARIGOLD,MKATOLIKI,MUHAYA-MLUGURU.
Mr Benga @MrBenga473986
390 Followers 3K Following Freedom fighter Living life on my own terms. Dealer of Sale CAR 🚙 Email 🌍East Africa . DM 📩
HoodVoice @ItsLaphez
959 Followers 2K Following dreamz are nt wat u see in ur sleep..drmz are thngz whch do not let u sleep👑
Senpai @Abraham69771424
568 Followers 5K Following
Juhudi Minde @JuhudiMinde
95 Followers 1K Following
Lawrence Manyenye @LawrenceManyen4
380 Followers 2K Following
梦魇FPG @FPG1675397
0 Followers 778 Following
Yusuphs @Yusuphsjr
1 Followers 29 Following
January Asagwile @AsagwileJa5460
164 Followers 1K Following
dajonoah @4df726063959451
40 Followers 461 Following
Mussa Njarita @MNjarita7464
851 Followers 7K Following
P.U.S.H @AREOPAGUS__
211 Followers 751 Following #WORD works, cheer up. #Annoited, Pointed and satan is disappointed #Rule, Occupy, TakeOver, Overtake
happyness poul @PoulHappyn95178
157 Followers 741 Following
Narh Simon @Combat_006
3 Followers 68 Following
Sarah Mwadala @MwadalaSar33817
59 Followers 71 Following
simkoko S.W.O @ESimkokp
12 Followers 162 Following Humanitarian assistant, Social welfare activist, Human rights activist, Gender activist, & Social pyschologist.
deoglas misango @DDeoglas
25 Followers 584 Following
Japheth Proneth @JProneth19376
124 Followers 837 Following
Issa Shoo @issa_shoo46430
70 Followers 405 Following
Mjomba @IgnasMgidange
661 Followers 1K Following
Chosenny 🇹🇿 @NgunoJr
1K Followers 2K Following I'm engineered for success and designed to have high level of self-esteem, self respect and personal pride I'm extraordinary Son of God Jesus my saviour 🙏
Musa @Musa0011987
24 Followers 110 Following
miryam jackson @miryam_jack
5 Followers 120 Following
Yeremia29:11 @KKalugaba24003
8 Followers 27 Following
🅱️ @bernfaza
19K Followers 3K Following Husband/Father/Brother/GenX/🌱🌽🌾Farmer/Chugganian/Entrepreneur/Lover of Trees 🌲🌳/I believe in God✝️/Jeremiah 29:11📖
Dickson Henry @DicksonHen7900
1K Followers 1K Following pastor/The gospel preacher 📢📢and singer.🎙 a composer and copyist✍ of the Christian⛪ instruction
Michael Kavishe @michael_kavishe
68 Followers 171 Following Ardhi University Alumni, Environmental Expert, GIS Expert.
JOSEPH DEO @JOSEPHDEOG57180
10 Followers 23 Following Author and content creator Capre Diem @vijanakona
Nicksonpacome977 @GentYungin
587 Followers 533 Following |i just wanna see the sunshine tommorrow. @Chelseafc @YoungAfricansSC
K I R I M I N D J A R... @kirimindjaro
616 Followers 687 Following Ticking ⏰... Raising Zeros | #🏳️IKAWE_KHERI🙏
Abubakari Sharif @Sharif1abubakar
7 Followers 107 Following
lucy🌹 @luuhmamity
493 Followers 493 Following
Dr Leopold @LeopoldMba80499
4 Followers 34 Following
Yassin Mchondo @yassin_mch46769
34 Followers 383 Following
Mr Benga @MrBenga473986
390 Followers 3K Following Freedom fighter Living life on my own terms. Dealer of Sale CAR 🚙 Email 🌍East Africa . DM 📩
lizzy @Lizzymic5050
9K Followers 4K Following Christian girl, ISAYA 60:11, ISAYA 46:4.🏨💉💊 Simba SC.⚾.
Godwin Godwin Kachemu... @GKachemu
1K Followers 5K Following BABA MARIGOLD,MKATOLIKI,MUHAYA-MLUGURU.
kims caliu @kimscaliu
188 Followers 1K Following The expert in anything was once a beginner.🤥🤥🤥| ☕ Powered by coffee, VPNs, and unstable ⚡ 🔌.
pol @paulwilfredowi1
76 Followers 661 Following
🅱️ @bernfaza
19K Followers 3K Following Husband/Father/Brother/GenX/🌱🌽🌾Farmer/Chugganian/Entrepreneur/Lover of Trees 🌲🌳/I believe in God✝️/Jeremiah 29:11📖
Denzo @DenzoMaesTro
13K Followers 5K Following -FOOTBALL FANATIC -ARSENAL DIE HARD FAN ||To Live is to Love&To Love is to Live||
Mussa Njarita @MNjarita7464
850 Followers 7K Following
Call Me Mr Beard @amAlexGeorge
89 Followers 393 Following Call Me Mr. Beard | Sound Engineer | FOH Mixing Engineer | Sound System Designer
Alfred @FrizohCrypto
148 Followers 566 Following Born of God. A believer in Christ, Blockchain enthusiast. IT guru with a passion for cryptocurrencies. Merging faith and technology. 🚀📡 #CryptoFaithTech
Luther Majoji @luthermajoji1
14 Followers 120 Following Loves Jesus,saved by Jesus' blood, serve Jesus
HoodVoice @ItsLaphez
959 Followers 2K Following dreamz are nt wat u see in ur sleep..drmz are thngz whch do not let u sleep👑
Issa Shoo @issa_shoo46430
70 Followers 405 Following
Mjomba @IgnasMgidange
661 Followers 1K Following
♥Isabella George �... @YellowCici
4K Followers 1K Following God's Favourite Child.,Wife & Mum 🥰 Here to blow out steam 😮💨 Don’t slide kwa DM 🙏🏼
LULO ☥ @LuloScott
1K Followers 1K Following Graphic Designer🧑🏾💻.Accountant with IT🧾. FXTrader📉.Arsenal❤️🤍.Barcelona💙❤️
Jimmy Jons @jimmy_jons11
72 Followers 143 Following 𝐕𝐢𝐬𝐢𝐨𝐧 • 𝐀𝐮𝐭𝐡𝐞𝐧𝐭𝐢𝐜 • 𝐏𝐫𝐨𝐠𝐫𝐞𝐬𝐬𝐢𝐨𝐧 ʟɪᴍɪᴛꜱ "ɢᴏᴅ || ᴅᴇᴀᴛʜ" ✟
Blongxt27 @blongxt27
35 Followers 127 Following
Be true to your self @JoeJr9752178421
95 Followers 194 Following
Mjukuu~Wa~Minja🦁�... @MjukuuWaMinja
764 Followers 795 Following There is but one true holy book, one true scriptures, one true living word; YOUrself. read thyself, study thyself, know thyself.👐👊✌😎#Ase'
Tabibu @TabibuW
2K Followers 3K Following Graduated in human medicine 💉• Gen Z • in memory of our fallen heroes 💔
THE LAZARUS @mchiziMonie
8K Followers 4K Following
AKON @robertmgulunde1
9K Followers 7K Following Workshop Engineer (Mechanical)/Product Support Sales Representative.
JOHN MIALANO @MialanoJoh35356
8 Followers 85 Following



























