D E E 🇹🇿 @LubonaJr
Animal health practitioner🩺👨⚕️(vet)| Worship GOD as only KING & Messi as G.O.A.T🐐| @FcBarcelona🔴🟣fan| @YoungAfricansSC🟡🟢fan| Email. [email protected] Dar es Salaam, Tanzania Joined February 2019-
Tweets20K
-
Followers7K
-
Following4K
-
Likes432K
Yo Bera Wochi Yua Baki Karibu Jangwani Chuga Boy🔰 #KimyaKimya #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Argentina just beat Spain at the 2026 World Cup final, 3-2.
Kabla ya Misa. Baada ya Misa.
HII NI KWA WANUNUZI WOTE WA MAGARI WATARAJIWA. Kununua gari sio rahisi. Watu wanasave kwa muda mrefu sana na wengine wanachukua mikopo ili kupata magari yao. Hata hivyo, sekta hii ina vikwazo vingi ambavyo mtu pekee anaeweza kumuokoa mteja ni huruma ya muuzaji wa gari. a Thread
Mentor wangu aliwahi kuni-challenge kitu ambacho kimenibadilisha kimtazamo kuhusu PESA. Mentor: "Edwin, ni kiasi gani cha pesa unahisi ungekuwa nayo sasa hivi ungeweza kufanya vitu unavyodhani kutokuwa na hela ndiyo kikwazo?" Mimi: "Hela nyingi tu". Mentor: Akacheka na kutabasamu kisha akasema, "Nyingi ni nini. Taja namba, shilingi ngapi?". Mimi: Shilingi, TZS. XYZ/- Mentor: "Je, Sasa hivi umeanza kujiwekaje kitabia, kimtazamo na kifikra kama mtu mwenye hiyo kiasi cha pesa. Unahisi wewe sasa hivi ulivyo, ukipatiwa hicho kiasi paaap....utaweza kufanyia hicho unachosema?" Mimi: Kimya kidogo, nikajibu kinyonge ndiyo naweza. Kwa sababu nina ideas nitaweka tu plans vizuri kisha nitaanza kufanya. Mentor: Nataka hizo plans, niambie utanfanya ABC. Mimi: Nataka kwanza nipate pesa afu ndiyo nitajua napangiliaje. Mentor: Akakaza sauti na kunichana, "You see hili ndiyo tatizo la vijana (watu) wengi. Mnasubiri mpate pesa kisha muanze kutafuta nini ufanyie hiyo pesa. Akaendelea..... Wengi wanasema, 'ningekuwa na hela ni ningefanya hiki na kile'. Lakini akiulizwa hela hii hapa nipe hiyo plan, anaanza kusema inabidi nitulie nifikirie na kupangilia vizuri. Akasema, "Akili ya milioni 1 haiwezi kupangilia milioni 10 nini cha kufanya. Zaidi ataiteremsha hizo mil 9 bila kujua imepita wapi afu akibakiwa na mil 1 ndiyo ataanza kufikiria afanye nini." Akani-challenge, "So Edwin, you got to raise your financial thermostat. Na kuanzia sasa hivi anza kuwaza kwa kiwango cha pesa unachotaka kuwa nayo na anza ku-plan na kutengeneza tabia za mtu ambaye anafanya hicho unachotaka kuwa au kufanya. Kwa sababu JUHUDI zako zitakusaidia kupata pesa ila TABIA zako na MWENENDO wako ndiyo inayoamua pesa zitumikaje". Mwisho kabisa akamalizia, "Work forward and not backward. Jenga tabia zitakozokusaidia ku-manage na kuzalisha pesa utakapopata. Yaani, pesa ikukute na STRUCTURE ya utekelezaji na si vinginevyo... ...Kwani, ukisubiri upate pesa ndiyo uanze kujifunza namna ya kupangia matumizi au kuzalisha, utakuwa kama mtu ambaye amecheza upatu. Always have a concrete financial GOALS, structure and plans kuwa utazifanyia nini. Pesa ikija una-direct tu iende wapi", Mwisho wa kunukuu. I hope umejifunza kitu. PS: Follow @EdwinMjeru tuendelea kujifunza kupitia mada mbalimbali nilizoainisha kwenye Bio yangu. Uwe na Weekend njema. Eid Mubarak kwa ndugu zetu Waislam wanaosherekea leo! EFM. Unlock and live your dream!
Uwekezaji na Biashara 15 za siri unazoweza kufanya na kutengeneza faida kubwa Pasipo muajiri na watu wa karibu kujua... Kama uko kwenye ajira isiyoruhusu biashara... ..... Unajua watu wa namna hii mara nyingi wanaangaika kuwa na vyanzo vingi vya kipato lakini hawajui nini wafanye.....
CHANZO CHA KUTENGANA KWA KOREA KUSINI 🇰🇷 NA KASKAZINI 🇰🇵 Ilianza hivi. Korea ilikuwa nchi moja tangu karne ya 7 means tangu miaka ya 1700 mpaka 1945. Karne za kutosha wamekaa pamoja chini ya HIMAYA YA SILLA, WANAITA SILLA DYNASTY.
Guys habari za asubuhi, Anayejua dawa ya vidonda vya tumbo anisaidie jamani, vinanitesa sana, nimetumia dawa za hospital naona hazijanisaidia.
Kuhusu faragha katika mawasiliano. Unapaswa kujua sio kila simu unaweza pokea na kufanya mazungumzo mbele ya hadhara; simu zingine ni nyeti mno, huna budi kujihakikishia faragha kabla hujaanza maongezi. Unakuta mtu anajibizana na mkewe wakiendeleza ugomvi wao walioughairisha...
UNAJUA CHIMBUKO LA UADUI NA UHASAMA WA IRAN, SAUDIA NA MAREKANI? Mwaka 1979 aliibuka mwanaume mmoja kiongozi wa kidini aliyeheshimika sana IRAN wa kuitwa Ruhollah Khomeini nchi za magharibi zina mtambua kama Ayatollah Khomeini
@AkonAnord @Buberwa_ una kitu utafika mbali
@danielstephen95 @moshi_elisonguo @muller_shirixx @kishoka_ hizi hapana ukizipiga ndani utalizwa swali moja tu “huo ujumbe unampa nani”
Unamtoto,,, hauamini kama ni kwako na hela ya kupimaa DNA Hauna fanya hivi Muite huyo mtoto muagize kitu kipo mbele yako distance fulani mwambie akakuchulie Alafu akigeuka wakati anaenda kuchukua huyo ni damu yako pure Ila asipo geuka hapo umepigwa na kitu kizito
KWENYE KILA FAMILIA KUNA YULE ALIYEANDALIWA KUVUNJA LAANA YA UKOO. Mara nyingi ni mtoto wa kwanza au wa mwisho. Wakati mwingine ni yule anayehisi kama hafit kabisa kwenye familia. Anayeonekana mkimya sana au tofauti sana. Anayeuliza maswali ambayo wengine hawapendi. THREAD 🧵
The ProCreator @TheProCreatorr
61K Followers 1K Following I share AI tools, tutorials & news. 📩 [email protected]
Simulizi Planet @simuliziplanet
156K Followers 3K Following Elimika na burudika kupitia simulizi nzuri za kusisimua kila siku ya j4, Alhamis na Jmosi
Boniface Chengula @bohny_chengula
119K Followers 7K Following Phones & Electronics in general | iG: Chengula_iPhone.Store | 📍Mwenge ITV | ☎️0752-992667 | Not affiliated with any Brand.
Alexander @AlesandroJR
34K Followers 8K Following | Philosophy | Theology | Roman Catholic |Ps 20:7| Pray, Hope And Don't Worry |God wins in the end| Uncouth & Impolite get BLOCKED🚫
kasesco☆ @kasesco_tz
70K Followers 9K Following ||Content creator || Football Fanatic ⚽️ || MUFC❤️ || Real Madrid 🤍 || only God , my mom and me || pray , wait and trust 🙏||
Chaurembo 🌹 @FatmahShokat
76K Followers 5K Following Media Personality♤ Chef | Baker👩🏽🍳♡ An ♈⏭ #MaishaYangu Documentary Dstv ⏭#PillowTalkTimesFm ⏭#LalaByEfm CEO of @ChauremboFood & @cakes_empire 🎂
BEBERU BIDEN @WemaKako
133K Followers 3K Following Advocate| Traveller| Challenger| Music Addict. Being myself is all that matters. I never look down on people coz I'm not the author of my path. 🇹🇿 by birth|
Jackie 🍭 @kellenMbwambo
120K Followers 5K Following impossible is possible under God's Control... 🎀just a cupcake looking for a stud muffin.. DirtyMindedWithACleanHeart😊
HeadBoy - SEO @yunusi_jr
48K Followers 2K Following Until a lion learn how to write, Every story will Glorify the Hunter / Blogger & SEO Guru / @yangasc1935 & @fcbarcelona /Visca barça Visca Catalunya
Johnbest Mwahaja @JohnieZeBest
56K Followers 3K Following Procurement and Finance Personel | Digital Personel | #Upendo ❤️ | Captain Ramos. | #MrUnknownCode | #ItsConfirmed 🫶
Kilepi Captain Jr @kilepi_tweve
49K Followers 52K Following #Laiti nyumba zingekuwa Na vinywa zingetoa siri za Wengi. @Bora uanze vibaya ukamalize vyema kuliko kuanza vyema ukamaliza vibaya🤦
Dr Calipso @nulphin
53K Followers 5K Following SDA || Doctor || Psychologist || Family and Marriage therapist || Helping spouse save their marriage. Sharing insights on my 6+ years of happy marriage.
Salomao Mussavele @SMussavele62227
2 Followers 53 Following
Soko @Soko9p
8 Followers 131 Following
Ece Demir @EceDemir034
104K Followers 101K Following Futbol gündemi, maç notları ve sahadan hikâyeler. Spor muhabirliği yolunda. ⚽
aresy mugi @aresymugi
4 Followers 104 Following
John samrt @Johnsamrtnaim
1 Followers 106 Following
Deus Micky @43a3a10a9f6542c
222 Followers 1K Following
D̶̶a̶̶k̶̶t̶̶a... @phan_wa_2
2K Followers 4K Following Clinician || Banter specialist || Against MANJESTA UTD || EPL CHAMPIONS 2025/26 || If i don't make it tell them i did my best.
Adv.Innocent⚖️ @Adv_innocent
10K Followers 9K Following | Arsenal till the end | 📚 |Dedicated in justice.
Elmendy007 @Bravis_elmendy
340 Followers 3K Following
Edward Nsangano jr @JrNsangano58598
5 Followers 298 Following
Choz @Chozchoz84
0 Followers 51 Following
Isaack Lasway @isaack_las91
2 Followers 37 Following
Uledy# @Uledy2
1K Followers 3K Following Processionally in Sales and marketing +Diploma in Procurement and logists, Man U+ Yang Sp
George Bahemu @georgebahemu
3K Followers 7K Following
Mwinyi Karne @KarneMwiny26564
49 Followers 485 Following
Ramadhan Makamba @RMakamba75436
15 Followers 130 Following
KIPEPE RUNGU🇹🇿 @DanfordTun96400
5K Followers 7K Following Think. Learn. Grow. 📈 Positive vibes only ✨ Follow 👉 @DanfordTun96400 https://t.co/9eSoZtDcfy
Michelle Atieno @MichelleAt20989
0 Followers 11 Following
George @George063611424
4 Followers 44 Following
Dr Kwala Liwengo @MankindUwezo
46K Followers 28K Following Man with kindness. I'm here to protect Tz from Gays, lesbians, neo colonialism, public money embezzlement, extravagant etc. MAISHA SIO MPAKA UWE MSALITI KWA NCH
New Jersey @IsaRouhan13797
561 Followers 3K Following أنا لا أخاف من ضجيج الناس، أنا أعرف من أين أتيت.✨
Stephen Ondari @Stephen_Ondari_
0 Followers 13 Following
Akondwa olodarasero @olodarasero
238 Followers 542 Following African politics make me abnorma/ we will never surrender and leave Holligans to lead our nation
jrhangau @jrhangau
520 Followers 2K Following
PaschalSam1 @P_simpleman95
2K Followers 6K Following A good heart atract blessing. ||SimbaSCTanzania & ManUtd ||
Raouf ZANNOU @RZannou56937
2 Followers 56 Following
indisch john @YIndisch40796
99 Followers 363 Following
Captain Ujugu @c_ujugu
0 Followers 85 Following
kumwene sango @KumweneS7678
83 Followers 1K Following
stephen kahoro @StephenKah93651
0 Followers 26 Following
innocent Tshabalala @innocentTs47596
149 Followers 1K Following
Thadei Mhabuka @mhabukat
64K Followers 70K Following Hata ukisema ukweli watakuona mbaya wapate sababu yakukudhuru.
Honnête Musuamba @Mishonetiste
69 Followers 1K Following
Waka mwaka @Fkudeba1999
16 Followers 479 Following
Olaitan Rasaq @OlaitanRas1305
4 Followers 85 Following
Juma Hassan @JHassan11970
121 Followers 3K Following
Denis deusdedith Luga... @LugambwaDe10116
5 Followers 470 Following
Jalilu Zaid @jaliluzaid
145K Followers 839 Following Peace in my heart, Purpose in my work, Principles in my path. Grateful for every opportunity to serve the Public.
Maviatu 👞👟🥾�... @BarakaMaviatu
152K Followers 1K Following Entrepreneur | Footwear Specialist School, Safety, Official Shoes 🛍️ 👟👞🥾 | Tech & Accessories 💻 |Movies & Film 🎬 https://t.co/D0rNCR5Bxq |
Mandua🖤 @ClaraFundi
161K Followers 5K Following Football is my happy place // Yanga - 🏆 Five-Time Consecutive Champions 💛💚 🖤 // Chelsea 💙// Madrid 🤍
The ProCreator @TheProCreatorr
61K Followers 1K Following I share AI tools, tutorials & news. 📩 [email protected]
Kenny Mmari Snr. @KennedyMmari
170K Followers 1K Following Building in East Africa. Thinking about power, systems, and who decides. Essays at https://t.co/v9Q60chKFf Growing @SerengetiBytes | @SerengetiRwanda.
Simulizi Planet @simuliziplanet
156K Followers 3K Following Elimika na burudika kupitia simulizi nzuri za kusisimua kila siku ya j4, Alhamis na Jmosi
Boniface Chengula @bohny_chengula
119K Followers 7K Following Phones & Electronics in general | iG: Chengula_iPhone.Store | 📍Mwenge ITV | ☎️0752-992667 | Not affiliated with any Brand.
Hika Lyimo @iamthatfemale
91K Followers 2K Following A daughter,a sister,relying only on God.i am that female. You need shoes? follow https://t.co/UUedhtk2dK location: https://t.co/355KaXHNkI
kasesco☆ @kasesco_tz
70K Followers 9K Following ||Content creator || Football Fanatic ⚽️ || MUFC❤️ || Real Madrid 🤍 || only God , my mom and me || pray , wait and trust 🙏||
Pasco Nkololo @Nkololotz
88K Followers 8K Following Tax | FDI | Strategic Philanthropic | Special Economic Zones & More |
Vitus Nkuna @VitusNkuna
93K Followers 2K Following Mwanachama wa CHADEMA|| Previous BAVICHA Chairman Nyasa Zone|| Ex- Katibu Bavicha Iringa|| Devotee.🙏✌️
Chaurembo 🌹 @FatmahShokat
76K Followers 5K Following Media Personality♤ Chef | Baker👩🏽🍳♡ An ♈⏭ #MaishaYangu Documentary Dstv ⏭#PillowTalkTimesFm ⏭#LalaByEfm CEO of @ChauremboFood & @cakes_empire 🎂
Dark Impulse @darkimpulse94
35 Followers 242 Following
innocent Tshabalala @innocentTs47596
149 Followers 1K Following
KOFI @nahumu583672
18 Followers 65 Following
Brynah Brian @brynaah19
452 Followers 326 Following Chemistry and biology teacher 🧪⚗️ #simbasportfan❤️@liverpool🥰 and Barcelona 💙
Mossad Commentary @MOSSADil
1.1M Followers 288 Following 🇮🇱 Breaking News & Commentary on Israel. One of the most active Israel-focused accounts on X. UNOFFICIAL. Subscribe to support. Click on notifications.
Life Pad @The_Life_Pad
604K Followers 155 Following Writer sharing hacks on marketing, audience building, Health and wellness DM for ghostwriting services.
Elisonguo Moshi @moshi_elisonguo
360 Followers 2K Following
Uncle Mauja @Captain_almando
3K Followers 1K Following | Land Consultant | | Certified Manchester City, FC Barcelona & Simba SC Fan |
UnjU🕳️ @Unjuneering
15K Followers 9K Following #MWENYEZIMUNGU_NAKUPENDA_ASANTE 🙏🏾 Mkrslim___#ChelSimba
SolarX @solarxchain
53K Followers 81 Following $SXCH 🌞 Layer 1 Blockchain and Solar Powered Crypto Mining - https://t.co/F1zZyMgQUK
Raiinmaker @Raiinmakerapp
187K Followers 2K Following Traiin Video 🦾 Traiin Agent 🤖 Traiin Data Grow your AI Reputation 🚀 Earn Rewards ⛈️ Make it Raiin
Zeuslab AI @zeuslab_ai
24K Followers 195 Following
TARS AI 🤖 @tarsprotocol
133K Followers 39 Following AI Infrastructure Protocol on Solana, recipient of a Solana AI Grant.
Tearful Tadpoles @SWIM_404
13K Followers 24 Following Mission #1: Adopt axolotls. Save the future. Experimental NFT collection of 5,000 unique Tearful Tadpoles created by @SadCreatorTalks, enabled by #DN404.
Ba 👑 @EffectsLerms
4K Followers 3K Following Instagram. @lermseffects_77. #PHOTOGRAPHER whatsapp 0622524454| sports photographer @Spursofficial, @FcBarcelona & @SimbaScTanzania Fan.
TricyLove🦁 @amprincess9
73K Followers 5K Following CALL ME FAVOUR | Social Media Manager | Enterprenuer trainer & consultancy | @TricyDagaa_ | @lfc & 🦁 | Deuteronomy 28:1-19 |
Danford Mgendi @DanfordMge45232
9 Followers 25 Following
KILAZA🤯 @kilazawaTwita
1K Followers 6 Following Me sio content creater,kazi yangu kujichekesha kwenye comments za tweet zenu😂😂 Ukinifollow nakufollow back tit for tat ||@youngAfricansSC💚💛 || @chelseaFc💙|
DAXY PETERSON @NEphrazia29262
156 Followers 522 Following
Kbjofficiel @kbofficiel__
170 Followers 788 Following
baldwinjoseph @Baldwin_Joseph1
147 Followers 21 Following 👉Manchester United 👉God over Everything🙏❤ 👉🏻#GGMU🔥🔥
SADER NATURALS AND BE... @Saadakhassim
2K Followers 2K Following Entrepreneur C.E.O @Sadernaturals 🌹 Skin,Hair and Beard consultant #Selfcarewithnaturalproducts 🌱natural products 📚Teacher 💦influencer 🌺Only Allah🤲🙏
𝕏 official Yarids ... @yarids01_tz
115 Followers 95 Following PRESIDENT 🎌♨️ YARIDSTZ (A PUPPET OF @elonmusk ) LET THE WORLD 🌎 UNDERSTAND WHY I'M SUPPORT @America EN @realDonaldtrump
Aron Robbin @Thugboyfficial1
1K Followers 1K Following God gave us the gift of life; it is up to us to give ourselves the gift of living well.
Hardin @madindula_
1K Followers 3K Following
KITURISTII ✨ @ami_mtk
329 Followers 512 Following
Aneth John @Aneth_john1
402 Followers 647 Following
side bwai @side_bwai
44 Followers 234 Following
geelegal @geelegal1
49 Followers 343 Following
Adeline Daniel @AdelineNzowa
13 Followers 26 Following
Teacher Gonza @ChrissNego90
1K Followers 2K Following | Content Creator | Speaker | Life Coach, Jifunze (you tube @lenzipodcast) # Football # politics Never loose hope. ISAYA 41:10
Hero @AbyEnzoF5
2K Followers 1K Following God is good all the time 🙏 @ChelseaFC & @YoungAfricansSC fan 💙💚💛
Patrick Manamla @P_Manamla
202 Followers 625 Following i beleave in god always in my life https://t.co/KOvRk82DOy
Nize BigFut @nize_23
4K Followers 3K Following ˢᵒⁿᵍ ʷʳⁱᵗᵉʳ/ˢⁱⁿᵍᵉʳ Mmwera pyuuu🎯 Amaah BigFuT🇹🇿 #𝕨𝕣𝕠𝕟𝕘𝕥𝕦𝕣𝕟_𝕓𝕠𝕪 #sungusungu_HQ





















































