View a Private Twitter Instagram Account
@Msumari9 Sasa na wale wanao date na wake za watu tuwaiteje
@McinikaWaLamar Una maanisha mwaka mpya upi..huu wa kizungu au ule wetu wa kiislam
@lisaborah Hahahaaa kusimamisha vilivyolala
@NusraDyness Mpe mzee apige viwil usiku utapata tu usingizi
@OfficialNancy2 Du wadanganye vipofu wasoona
@aisha_bint_soud Hahaaaa unakula nnyaaa
@aisha_bint_soud Azonto
@fikishajumbe Akipanda mt.kilimanjaro
@ProfessorJayTz Lazma atage
@officielsalome Du
@meena_ally @dottoimeli Hahaaaaa na ww ni beyonce wa wp?
@shaffihdauda1 Kwa kwl jana nilipata faraja kidogo na timu yangu hata fugerson na yy alitabasamu. Wan alimade my day
@HKigwangalla Hii inaanza lini mpwa?? Nimemiss sana nyama pori mwanamichezo mwenzangu
@shaffihdauda1 Mbn sama hayumo
@OfficialNancy2 Hahahaaaa u made my day
Kama hutaki Left 😅😅😅😅vile uonavyo ndivyo ilivyofanywa 😇INSANITY on fireeee🔥🔥🔥🔥NJIKU &SEIFU
@HKigwangalla Hv katikati ya nchi hakunaga beach eeh...hahahaa nawaza kimya kimya ila ingependeza sana. Saadan ni pazuri
@MiriamMkanaka Samahani kwan ww ndio *Mariam MaBiriani*
@Ester_Tesha91 Kama wewe uliekuwa fala kama ulivyoshindwa hata kuandika neno huna unaandika hupa
Leo ndio siku ya kwanza kati ya tatu zilizoongezwa shime tujitokeza kujiandikisha uchaguzi serikali za mitaa#HakiNaUtawalaBora