H H Chief @MagettaJ
Love To My Country Tanzania Tanzania Joined April 2018-
Tweets10K
-
Followers1K
-
Following3K
-
Likes15K
#TANZANIA: MAWAKILI WANG'AKA SAKATA LA KUZUIWA KUONGEA NA WANAHABARI KWENYE VIUNGA VYA MAHAKAMA Wakili msomi, John Seka hii leo Julai 20, 2026 amesema wamezuiwa kuongea na Wanahabari katika viunga vya Mahakama, ameiomba Mahakama kuliangalia jambo hili kwani wananchi wanayo haki ya kupata habari. Zaidi: youtu.be/Pz0bsYopLac
TUMEFIKISHA TSH. MILIONI 150 ✌️ Sasa tumebakiza TSh. Milioni 17 pekee kufikisha nusu ya lengo letu la TSh. Milioni 167 Marathon ya kufikia TSh. Milioni 334 inaendelea M-Pesa Namba: 0744446969 Jina: CHADEMA HQ NMB Bank Namba: 22606600140 Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
#UPDATES_KESI_YA_MAWAKILI_WA_MHE_LISSU_DHIDI_YA_MKUU_WA_MAGEREZA Part 1 Maombi haya yanasikilizwa na jopo la majaji watatu ambao ni Mh. A. Mruma, Dr. A. Rumisha na Dr. E. Longopa. Kiongozi wa Jopo hili ni Mheshimiwa A. Mruma. Nawaona waleta maombi wote wapo. Lakini pia Mawakili wao wapo ambapo jopo la mawakili wao linaongozwa na Wakili John Seka, akisaidiwa na Edson Kilatu na Selemani Matauka. Lakini pia Chama cha Mawakili Tanganyika kinawakilishwa na Wakili Emmanuel Ukashu. Namuona Mkuu wa Gereza la Ukonga tayari ameshaingia hapa Mahakamani amekaa nyuma ya mawakili pale. Ni Dingi mmoja mrefu, mweusi amevaa Kaunda Suti na kitambi kile cha maaskari wa magereza. Maandalizi ya majaji kuingia yamechukua muda mrefu sana. Wanaingia sasa imepigwa High Courtttttttttt. Mhe. Lissu hajaingia bado. Majaji ni kama wanashangaa, mbona Lissu hayupo maana hawamuoni kizimbani. Anatoka karani kwenda kuwatafuta magereza kwasababu hawapo kabisa hapa Mahakamani. Wameanza kuingia maaskari magereza wa kutosha. Wanajipanga, muda sio mrefu ataingia Mwenyekiti. Tunamsubiri. Ameshaingia akiwa na na Kombati yake ya Kaki na mifuko yake iliyobeba nyaraka zake, anazitoa taratibu pale anaweka mezani na majaji wanateta. Anasimama Wakili wa Serikali baada ya jalada kusomwa hapa. Naitwa Stanley Kalokola, Wakili wa Serikali nitasaidiwa na Francis Wisdom. Mjibu maombi wa nne yupo mbele ya Mahakama yenu na interested party TLS wapo. Tuko tayari kuendelea na zoezi la DODOSO kwa siku ya leo. Wamehojiwa waleta maombi na pande zingine wote wako tayari. Mhe. Jaji Mruma anasema sasa 4th Respondent usikae kwenye kizimba ukae huku kawaida maana hii ni kesi ya Kikatiba. Mhe. Lissu amesema naomba nikae hapa hapa maana nina meza na nitakaa vizuri nikiwa hapa. Jaji Mruma akasema hakuna shida kaaa hapo hapo. Basi ameitwa mleta maombi wakwanza Maduhu William aanze kuulizwa maswali ya Dodoso na Mhe. Lissu. Jaji anasema ni vema ukaapa kwanza. Wewe ni afisa wa Mahakama unajua kuapa haya apa sasa. Wakili Maduhu: Nina miaka 36 ya kuzaliwa. Mkristu, na anaaapa hapa tena. Jaji: Bwana Tundu Lissu karibu. Mhe. Lissu: shaidi naomba nikuulize maswali kuhusu kiapo ulicholeta mahakamani na kesi uliyoileta Mahakamani dhidi ya sisi walalamikiwa wanne. Waeleze majaji kama hapo ulipo una nakala ya hati ya madai na kiapo chako. Wakili Maduhu: Vyote ninavyo hapa. Mhe. Lissu: Je una nakala ya hati ya viapo kinzani yaani counter affidavit za walalamikiwa wakwanza hadi wanne pamoja na interested party. Wakili Maduhu: Ninazo hizo nyaraka zote. Mhe. Lissu: Tuanze na hati yenu ya madai na kiapo chako katika aya ya kwanza ya originating summons na aya ya pili ya kiapo chako. Angalia Je kwenye hizo aya umesema wewe ni mmojawapo wa mawakili wangu katika kesi ya jinai iliyopo katika mahakama hii. Umesema wewe na wenzako ni mawakili pia wa kesi yangu iliyopo kisutu. Wakili Maduhu: Ni kweli Mhe. Lissu: Naomba uangalie aya ya nne ya hati ya kiapo kinzani ya wajibu maombi wa kwanza hadi watatu na hicho kiapo kilitolewa na Andrew Shaban kilitolewa Tarehe 09/04. Huyu Andrew anasema wewe hujawahi kutambulishwa kwake kuwa ni mmoja wa Mawakili wangu. Wakili Maduhu: Ni kweli huyu Andrew amesema mimi sio Wakili wako. Mhe. Lissu: Ni kweli au si kweli hii kesi iliyopo Mahakama Kuu ilianzia Mahakama ya kisutu ambako ilikuwa ni (P.I) Wakili Maduhu: Ni kweli. Mhe.Lissu: Na hiyo kesi ilikuwa mbele ya Kiswaga pale Kisutu? Wakili Maduhu: sahihi. Mhe. Lissu: Angalia majibu yangu kwenye hili shauri lenu, kwenye majibu yangu kuna viambatanisho kadhaa. Angalia annexure A2N24R umekiona? Wakili Maduhu: Nimekiona. Mhe. Lissu: Nenda Ukurasa wa 19 wa hizo proceedings angalia waliokuwepo Mahakamani tar. 06/05 angalia corum kuhusu mtuhumiwa. Je jina la Maduhu lipo? Wakili Maduhu: Ni kweli lipo. Part 2 itaendelea kwenye post inayofuata.
#UPDATES_KESI_YA_MAWAKILI_WA_MHE_LISSU_DHIDI_YA_MKUU_WA_MAGEREZA Part 1 Maombi haya yanasikilizwa na jopo la majaji watatu ambao ni Mh. A. Mruma, Dr. A. Rumisha na Dr. E. Longopa. Kiongozi wa Jopo hili ni Mheshimiwa A. Mruma. Nawaona waleta maombi wote wapo. Lakini pia Mawakili wao wapo ambapo jopo la mawakili wao linaongozwa na Wakili John Seka, akisaidiwa na Edson Kilatu na Selemani Matauka. Lakini pia Chama cha Mawakili Tanganyika kinawakilishwa na Wakili Emmanuel Ukashu. Namuona Mkuu wa Gereza la Ukonga tayari ameshaingia hapa Mahakamani amekaa nyuma ya mawakili pale. Ni Dingi mmoja mrefu, mweusi amevaa Kaunda Suti na kitambi kile cha maaskari wa magereza. Maandalizi ya majaji kuingia yamechukua muda mrefu sana. Wanaingia sasa imepigwa High Courtttttttttt. Mhe. Lissu hajaingia bado. Majaji ni kama wanashangaa, mbona Lissu hayupo maana hawamuoni kizimbani. Anatoka karani kwenda kuwatafuta magereza kwasababu hawapo kabisa hapa Mahakamani. Wameanza kuingia maaskari magereza wa kutosha. Wanajipanga, muda sio mrefu ataingia Mwenyekiti. Tunamsubiri. Ameshaingia akiwa na na Kombati yake ya Kaki na mifuko yake iliyobeba nyaraka zake, anazitoa taratibu pale anaweka mezani na majaji wanateta. Anasimama Wakili wa Serikali baada ya jalada kusomwa hapa. Naitwa Stanley Kalokola, Wakili wa Serikali nitasaidiwa na Francis Wisdom. Mjibu maombi wa nne yupo mbele ya Mahakama yenu na interested party TLS wapo. Tuko tayari kuendelea na zoezi la DODOSO kwa siku ya leo. Wamehojiwa waleta maombi na pande zingine wote wako tayari. Mhe. Jaji Mruma anasema sasa 4th Respondent usikae kwenye kizimba ukae huku kawaida maana hii ni kesi ya Kikatiba. Mhe. Lissu amesema naomba nikae hapa hapa maana nina meza na nitakaa vizuri nikiwa hapa. Jaji Mruma akasema hakuna shida kaaa hapo hapo. Basi ameitwa mleta maombi wakwanza Maduhu William aanze kuulizwa maswali ya Dodoso na Mhe. Lissu. Jaji anasema ni vema ukaapa kwanza. Wewe ni afisa wa Mahakama unajua kuapa haya apa sasa. Wakili Maduhu: Nina miaka 36 ya kuzaliwa. Mkristu, na anaaapa hapa tena. Jaji: Bwana Tundu Lissu karibu. Mhe. Lissu: shaidi naomba nikuulize maswali kuhusu kiapo ulicholeta mahakamani na kesi uliyoileta Mahakamani dhidi ya sisi walalamikiwa wanne. Waeleze majaji kama hapo ulipo una nakala ya hati ya madai na kiapo chako. Wakili Maduhu: Vyote ninavyo hapa. Mhe. Lissu: Je una nakala ya hati ya viapo kinzani yaani counter affidavit za walalamikiwa wakwanza hadi wanne pamoja na interested party. Wakili Maduhu: Ninazo hizo nyaraka zote. Mhe. Lissu: Tuanze na hati yenu ya madai na kiapo chako katika aya ya kwanza ya originating summons na aya ya pili ya kiapo chako. Angalia Je kwenye hizo aya umesema wewe ni mmojawapo wa mawakili wangu katika kesi ya jinai iliyopo katika mahakama hii. Umesema wewe na wenzako ni mawakili pia wa kesi yangu iliyopo kisutu. Wakili Maduhu: Ni kweli Mhe. Lissu: Naomba uangalie aya ya nne ya hati ya kiapo kinzani ya wajibu maombi wa kwanza hadi watatu na hicho kiapo kilitolewa na Andrew Shaban kilitolewa Tarehe 09/04. Huyu Andrew anasema wewe hujawahi kutambulishwa kwake kuwa ni mmoja wa Mawakili wangu. Wakili Maduhu: Ni kweli huyu Andrew amesema mimi sio Wakili wako. Mhe. Lissu: Ni kweli au si kweli hii kesi iliyopo Mahakama Kuu ilianzia Mahakama ya kisutu ambako ilikuwa ni (P.I) Wakili Maduhu: Ni kweli. Mhe.Lissu: Na hiyo kesi ilikuwa mbele ya Kiswaga pale Kisutu? Wakili Maduhu: sahihi. Mhe. Lissu: Angalia majibu yangu kwenye hili shauri lenu, kwenye majibu yangu kuna viambatanisho kadhaa. Angalia annexure A2N24R umekiona? Wakili Maduhu: Nimekiona. Mhe. Lissu: Nenda Ukurasa wa 19 wa hizo proceedings angalia waliokuwepo Mahakamani tar. 06/05 angalia corum kuhusu mtuhumiwa. Je jina la Maduhu lipo? Wakili Maduhu: Ni kweli lipo. Part 2 itaendelea kwenye post inayofuata. Naomba nisaidie kushare ujumbe uende mbali.
@raiyajenerali Amina. Umenena vema, kweli na haki. Ila hakuna wenye masikio wala macho ya kuona hayo uliyonena!!!
Maridhiano mnayojadili ni kati ya nani na nani? CCM na CHADEMA? CCM iko Polisi, CHADEMA iko Ukonga. Sasa tufanyeje? Tuwafungulie CCM kutoka Polisi na CHADEMA toka Ukonga, ndipo tutapata fursa ya maridhiano ya aina yoyote!
Someone met me in school today, looked at the crucifix on my neck, and asked, "Where is it written in the Bible that Christians should wear a crucifix?" I replied with another question: Where is it written in the Bible that Christians should carry pictures of their pastors, apostles, prophets, or General Overseers in their wallets, display them in their homes, use them as phone wallpapers, wear wristbands with their pastor's face, or print them on calendars and stickers? If we're going to ask, "Where is it written?", then let's apply that same standard consistently. For me, the crucifix is not an idol. It is a visible reminder of the suffering, death, and immeasurable love of Jesus Christ, who gave His life for our salvation. Whenever I look at it, I am reminded of the price He paid for my redemption and the call to carry my own cross and follow Him. Let's stop judging one another's sincere expressions of faith while excusing practices we have normalized in our own circles. At the end of the day, what matters most is not whether someone wears a crucifix or not, but whether they truly know, love, and obey the Christ who died on the cross. May our lives point people to Jesus rather than to endless arguments over symbols. Let us pursue truth with humility, extend grace to one another, and remember that Christ calls us to love before we judge. - Justina-Marie Ken ✍️
‼️Habari mbaya‼️ Huyu kwenye picha anaitwa Kelvin Ndabila ni mwanachama wa CHADEMA kutoka Mkoa wa Mbeya lakini pia ni Mwandishi wa Habari wa Jambo TV. Jana jioni akiwa Mbeya, alichukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni Askari, nimejulishwa kwamba yupo Central Mkoa wa Mbeya lakin mpaka sasa Polisi hawataki kusema kosa lake ni nini. #FreeKelvinNdabila
Someni kwa makini alichoandika Majuto Ngozi. Hii project imekufa kifo cha Mende kama ilivokufa Project ya kuhamisha wanachama wa CHADEMA na kuwapelkeka CHAUMA wakiamini kwamba kwa kufanya ivo ndo CHADEMA itakufa lakin ndo kwanza imekuwa kubwa mara 60 ya ilivokuwa awali. CHADEMA ni dude kubwa.
Ungana na Tundu Lissu kwa kuinua CHADEMA, wanataka kufanya bazara kuu na kutoa maamuzi mazito sana kuhusu TAIFA letu. CHANGIA SASA M-Pesa Namba: 0744446969 Jina: CHADEMA HQ NMB Bank Namba ya Akaunti: 22606600140 Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
ANAANDIKA GODBLESS LEMA Kwa wafuasi wote wa CHADEMA na mageuzi, wapenda haki, ukweli na demokrasia nchini. Baada ya Katibu Mkuu wetu, John Mnyika, kutangaza maazimio ya Chama chetu, ikiwa ni pamoja na kikao cha Baraza Kuu kinachotarajiwa kufanyika siku sio nyingi , vilevile alizindua mpango maalumu wa uchangiaji wa fedha kupitia Tone Tone. Kwa siku kadhaa sasa, kampeni hii imeendelea kwa nguvu kubwa mitandaoni, ikibebwa na viongozi wetu, wanachama, wananchi pamoja na wana harakati mbalimbali. Nawashukuru kwa dhati kabisa wote mlioamua kubeba jukumu hili; kuanzia anayehamasisha michango hadi anayetoa mchango wake. Kila mmoja wenu ni sehemu ya historia inayoandikwa. Hata hivyo, pamoja na shukrani hizi, kuna ukweli ambao hatupaswi kuogopa kuusema. Wakati mwingine ukweli huwa ni sehemu muhimu ya kujitathmini kama taasisi na kama watu wenye maono ya pamoja. CHADEMA ni Chama chenye wafuasi wengi kuliko Chama chochote cha siasa nchini. Wakati wa operesheni ya CHADEMA ni Msingi tulikuwa na kanzidata ya wanachama zaidi ya milioni saba. Kwa tafiti na tathmini zetu za sasa, si jambo la kupindukia kusema kuwa wapenzi wa demokrasia, haki na mabadiliko nchini wanafikia au hata kuzidi asilimia 65 ya Watanzania wazima. Kama tunakubaliana na ukweli huo, basi ni lazima tukubaliane pia na wajibu unaoambatana nao. CHADEMA haipaswi kuwa na upungufu wa fedha za kuendesha shughuli zake. Kama watu milioni moja tu wataamua kuchanga shilingi 1,000 kila mwezi, Chama chetu kitakuwa kinapata zaidi ya shilingi bilioni moja kila mwezi. Katika kampeni hii ya kuhakikisha kikao cha Baraza Kuu kinafanyika, watu laki tano pekee wakichanga shilingi 2,000 kila mmoja, tayari watakuwa wamechangia takribani shilingi bilioni moja kwa Chama chao. Hii ina maana kuwa changamoto yetu siyo idadi ya watu, bali ni kiwango cha dhamira yetu (commitment) katika kuwekeza kwenye kile tunachokiamini. Ni lazima tujifunze kwamba mapambano ya demokrasia yana gharama zake. Haki ina gharama yake. Mageuzi yana gharama yake. Hakuna taasisi inayoweza kuwa huru kama utegemezi wake unatoka mahali pengine isipokuwa kwa watu wake wenyewe. Vyama vikubwa vya siasa duniani vimejengwa kwa michango midogo lakini ya kudumu kutoka kwa wananchi wanaoviamini. Nasi tunapaswa kujenga utamaduni huo. Tusifanye uchangiaji kuwa jambo la misimu au la kusubiri vikao maalumu. Uchaguzi wa mwaka 2025 ulipita na Chama chetu hakikushiriki. Hivyo, hatuna ruzuku tunayoitegemea. Tunachokitegemea ni imani, mshikamano na mchango wa wananchi wenyewe. Huo ndio mtaji mkubwa wa CHADEMA. Ni jambo lisilo na mantiki kusema tuna mamilioni ya wafuasi huku tukishindwa kukusanya fedha za kuendesha shughuli zetu za msingi. Tukitaka kuwa Chama kikubwa, imara na huru, ni lazima tukubali kubeba gharama za ukubwa huo. Tusitarajie wachache wabebe jukumu ambalo mamilioni yetu yanaweza kulifanya kwa wepesi kabisa. Ni rai yangu kwa kila mwanachama, mfuasi na mpenda mageuzi popote alipo, afanye jukumu hili kuwa sehemu ya maisha yake ya kisiasa. Elfu moja yako inaweza kuonekana ni ndogo, lakini inapoungana na elfu moja za wengine, hujenga taasisi kubwa. Michango yetu midogo ndiyo itakayolinda uhuru wa maamuzi yetu na uimara wa Chama chetu. Tusichangie kwa sababu tunaombwa kuchangia. Tuchangie kwa sababu tunaamini katika Tanzania yenye haki, demokrasia na utawala wa sheria. Tuchangie kwa sababu tunaamini kuwa mageuzi tunayoyatamani hayawezi kujengwa kwa maneno pekee, bali kwa kujitoa kwetu kwa vitendo. Your small donation can make a very big change. Nawashukuru sana kwa upendo wenu, mshikamano wenu na imani yenu katika mapambano haya. Historia ya mageuzi huandikwa na watu wanaoamua kufanya zaidi ya kushangilia. Naamini tutafanya zaidi ya tuliyoyafanya jana. Mungu akubariki , asanteni kwa wale wote mliochanga na mnaoendelea kuchanga na ni wito wangu kwa kila mtu kujali kwa vitendo jukumu hili muhimu , tena sio mara moja bali kila wakati. NAMBA ZA KUCHANGIA M-Pesa Namba: 0744446969 Jina: CHADEMA HQ
Pole sana blo’ angu @zittokabwe Mbogamboga walisubiri zambarau muingie nao kwenye ndoa ya mkeka, halafu wakakumanue kwenye kesi ya ubunge. Ndoa imetikisika kabla hata honeymoon haijaanza. Anyways, tulikueleza, MaCCM hayaaminiki hata kidogo. Wewe ukajishaua na kauli za kidalali, “Ah, muhuni hasusiwi. Usipoongozwa utaongozwa. Oktoba linda kura”. Ukaingiza timu kushiriki uchaguzi haramu ili kuhalalisha ushindi feki wa kura 32 milioni (98%) wa MaCCM. Umepigwa kwenye uchaguzi haramu, umepigwa mahakamani. Kulaaaleki. Unashughulikiwa kiulao-ulalo na mcheza kamari. Haki hii ni mambo gani? 😂 💉
Who Is Rev. Fr. Dr. Bonaventure Bosco Gubazire, the New Bishop of Kabale Diocese? Rev. Fr. Dr. Bonaventure Bosco Gubazire, M.Afr., is a Catholic priest, philosopher, educator and missionary of the Missionaries of Africa (White Fathers), whose priestly ministry has taken him to Mozambique, Malawi, the Philippines and Ghana over the past two decades. A native of Kitumba Parish in Kabale Diocese, he has now been appointed by His Holiness Pope Leo XIV as the new Bishop of Kabale Diocese. The appointment, announced by the Apostolic Nunciature in Uganda follows the acceptance of the resignation of Rt. Rev. Callist Rubaramira, who has served as Bishop of Kabale Diocese since 2003 after attaining the canonical retirement age. Born on 3 March 1974 in Karubanda village, Karubanda Ward, Kabale Municipality, Kabale District, Bishop-elect Gubazire began his education at St. Mary’s Primary School, Rushoroza, before joining St. Paul’s Minor Seminary, Rushoroza. In 1994, he entered the Missionaries of Africa, where he began his formation for missionary priesthood. He made his perpetual vows on 7 December 2002 and was ordained a priest on 10 August 2003 at Rushoroza Cathedral Parish. Bishop-elect Gubazire is highly accomplished academically. He holds a Bachelor of Arts in Philosophy from the Philosophy Centre in Jinja, a Bachelor of Arts in Theology from the Institut Catholique de Toulouse in France, a Master of Arts in Philosophy (Ethics) from the Milltown Institute of Philosophy in Dublin, Ireland, a Diploma in ICT System Support from Andiamo Educational Institutions in Malawi, and a Doctor of Philosophy (PhD) from the University of San Carlos in Cebu, Philippines. His priestly ministry has seen him serve in a wide range of pastoral, educational and leadership positions. He began as an Assistant Parish Priest in the Archdiocese of Beira, Mozambique, where he also directed an adult literacy programme. He later served as Professor and Dean of Studies at Lechattois Formation House in Malawi, Child Protection Delegate for the Missionaries of Africa in Malawi, Acting Rector of the formation house, and member of the congregation’s leadership council. In the Philippines, he served as Coordinator and Chaplain of the Friends of Missionaries of Africa, member of the Missionaries of Africa Council for Asia, and Rector of Our Lady of Africa Formation House. Since 2021, Bishop-elect Gubazire has been serving in Ghana as Dean of Studies at Spiritan University College in Ejisu. In 2023, he was appointed Rector of St. Martin of Tours Formation House and also serves on the University’s Academic Board. Since 2025, he has been a Provincial Council Member responsible for the ongoing formation of Missionaries of Africa in the Ghana-Nigeria Province. Besides his pastoral ministry, Bishop-elect Gubazire is an accomplished scholar whose work has focused on ethics, philosophy, education and leadership. He is fluent in English, French, Portuguese, Kiswahili, Chisena, Chichewa, Cebuano, as well as Runyankore, Rukiga and Luganda. The Apostolic Nunciature congratulated Bishop-elect Gubazire on his appointment and prayed for God’s abundant blessings upon his episcopal ministry. It also expressed gratitude to Bishop Callist Rubaramira for his 23 years of dedicated service, noting that he will continue serving as Apostolic Administrator of Kabale Diocese until the Bishop-elect takes canonical possession of the Diocese. The appointment has been warmly welcomed by the clergy, religious and lay faithful of Kabale Diocese, who are looking forward to receiving their new shepherd as he prepares for his episcopal ordination and installation. It also marks the return of a native son whose rich missionary experience, academic excellence and pastoral leadership are expected to further strengthen the Church’s mission in the Diocese. ~ END ~ Nuwamanya Eugine Assistant Resource Mobilizer University of Saint Joseph Mbarara - USJM
Haya ndio maujinga CCM wanafikia wananchi wanaweza angaika nayo, Hivi kwa Taifa ili la leo kweli haya ndio mambo wanaona yanasumbua watu? Kama ni umalaya au tabia zozote mbaya, kuna tabia mbaya kuliko ya kuua watu? Mwenyekiti wao mume wake yuko wapi? Watu wanataka mabadiliko na uwajibikaji
BREAKING NEWS: The Holy Father, Pope Leo XIV has accepted the resignation of Rt. Rev. Callist Rubaramira upon reaching canonical age of 75. He has appointed Fr. Gubazire Bosco Bonaventure, M.Afr. as the new Bishop of Kabale Diocese.
BREAKING NEWS. POPE LEO XVI has Appointed Fr. Gubazire Bosco Bonaventure, M.Afr as the New Bishop Of Kabale Diocese
Sherehe ya kifahari ya usiku wa send-off ya mfanyabiashara mmoja wa madini mjini Katoro, mkoani Geita, imeibua mjadala mzito kitaifa unaofichua namna umaskini na ukosefu wa ajira unavyozidi kuwasukuma wasichana pembezoni. Wimbi kubwa la mabinti mtandaoni wanaoshikilia kaulimbiu ya "Kuelekea Katoro" limeacha kuwa mzaha wa kutafuta umaarufu, huku uchambuzi wa mwenendo huo ukionyesha kuwa asilimia 90 ya wanaohamasika wanafanya hivyo kwa dhati wakitafuta mbinu ya kujikomboa kiuchumi. Uhalisia wa maisha mitaani na mifumo inayozidi kuwakandamiza vijana imetajwa kuwa chanzo kikuu kinachowafanya wasichana wengi kutumia "fursa" hiyo kama mwavuli mpya wa kujisogeza karibu na watu wenye ukwasi wa kifedha. Mlipuko huu wa hamasa unaonyesha namna ukata unavyolazimisha kundi hili la nguvu kazi kuweka kando staha na utu wao, wakikimbilia ukanda wa migodi kwa staili ya kujiuza kisasa ili mradi tu wapate mahitaji ya msingi ya kila siku. Hata hivyo, nyuma ya harakati hizo za kusaka utajiri wa haraka, kuna hatari kubwa ya kiafya inayotishia mustakabali wa maisha yao. Takwimu na ripoti za afya zinaonyesha kuwa miji ya migodi, ukiwemo ukanda huo wa Katoro, inakabiliwa na viwango vya juu vya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU). Kujitosa kichwa kichwa kwa wasichana hao bila kuchukua tahadhari, kunatafsiriwa na wadau wa kijamii kama bomu la kiafya linalochochewa moja kwa moja na ugumu wa maisha.
GIRISHONI amefanya niipakue hii makala, tusikilize wote. Wote sasa tukatazame makala ya BBC AFRICA EYE ya mwaka 2026 inaangazia mapambano ya kisiasa ya Tundu Lissu na jaribio la mauaji dhidi yake la mwaka 2017, ikionyesha juhudi zake zinazoendelea za kudai mageuzi ya mfumo wa uchaguzi nchini Tanzania licha ya kukabiliwa na mashtaka ya uhaini aliyopewa mwaka 2025. Halafu baadae tutapata muda wa kujadili kipeperushi cha Serikali katili ya CCM kilichotolewa na GIRISHONI.
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa onyo kali na ushauri mzito kwa chama kikuu cha upinzani nchini ,Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akikitaka kuacha utaratibu wa kupokea wanachama wapya na wanaorejea bila kufanya uchujaji wa kina. Mwabukusi amesisitiza kuwa chama hicho kinapaswa kuwa na mifumo madhubuti ya usajili ili kulinda usalama na uimara wake wa kisiasa. Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter) leo Julai 15, 2026, kiongozi huyo wa TLS ameweka wazi kuwa mtindo wa sasa wa kupokea kila mtu kwa kisingizio cha "kuhamia au kurejea" unahatarisha mustakabali wa chama hicho kisiasa. "CHADEMA kiwe Makini na kutopokea watu hovyo hovyo kama wanavyofanya kwa kisingizio cha kuhamia au kurejea. Lazima muwe na mfumo madhubuti wa kusajili na kupata wanachama na kwa malengo mahususi. Acheni mambo ya kupokea wanachama, sajilini wanachama kwa uhitaji na kwa kila ngazi." Pamoja na ushauri huo wa ndani, Wakili Mwabukusi amesimama kidete kutetea haki ya uwepo wa chama hicho akieleza kuwa mashambulizi ya kisiasa na kimfumo yanayoelekezwa kwa CHADEMA ni tishio kwa misingi ya demokrasia nchini. Aidha Amesisitiza kuwa kuruhusu chama hicho kikandamizwe ni sawa na kushambulia haki ya kikatiba ya watu kukusanyika na kujumuika kwa mujibu wa sheria.
Weka nadhiri na Chama chako, Chama ambacho kitakuletea maisha bora na kubadilisha maisha yako." Mhe. @HecheJohn
Martin Maranja Masese @IAMartin_
611K Followers 1K Following MMM | Sperm That Won The Race | Cogito, ergo Sum | Patria o Muerte, Venceremos |
Bavicha Kanda ya Kask... @BavichaKaskazin
79K Followers 2K Following
Associate CPA Catheri... @CatherineRuge
163K Followers 2K Following UN -empower women champion for change.. Former Member of Parliament of URT of Tanzania 2017-2020, Human Rights Activist, Proudly Mother of two boys 🧒
Dr Calipso @nulphin
53K Followers 5K Following SDA || Doctor || Psychologist || Family and Marriage therapist || Helping spouse save their marriage. Sharing insights on my 6+ years of happy marriage.
Chriss fundi CDM @ChrissFundi
12K Followers 3K Following WATAWALA WALIPOMALIZA KULA MATUNDA YA UHURU WAKALA UHURU WENYEWE
waukweli13 @My_Lovely_Tz
22 Followers 27 Following Faith makes all things possible... love makes all things easy.
Roslyn Cummerata @cummerata92740
92 Followers 3K Following
🇪 🇸 🇮 🇷 �... @EsirEid
54K Followers 52K Following Website n Mobile Apps Developer,Computer Scientist N a PURE #Mathematician¶© #JKUAT ALUMNI||#TeamArsenal¶ #HalaMadrid¶ ¶ #YANGA $ #TajiriLaKihaya
Jovitha Katarama @JovithaKatarama
6 Followers 64 Following
Click the link on my ... @ceomusk000122
15 Followers 590 Following Entrepreneur Elon Reeve Musk the founder, CTO and CEO-SpaceX🚀 Tesla click on the link let's have a conversation 👇🏼👇🏼👇🏼
Emmanuel Nnko @NnkoEmmanu11676
10 Followers 74 Following
Gaidi Mzalendo🕊️ @hsyanya31
407 Followers 1K Following Mungu mkubwa 🙏 @simbasctanzania @ChelseaFc @FcBarcelona
Uiblauhe @Uiblauhe086260
4 Followers 41 Following
Hamisi Omari @Drhamisiomari
20 Followers 120 Following
Baraka Lenga @lenga2020
878 Followers 428 Following Global Citizen/Climate Justice/SDGs Believer/Community Development/Strategic P& M/Born at 337.37 PPM #AntFossilFuel#TanzaniaNationalCoordinator @GreenFaithTz
sospeter Bujeje @sospeterbujeje
41 Followers 218 Following
masarr @masarr237288
241 Followers 5K Following The Bible says helping the poor is the same as serving Jesus Himself:Whatever you did for one of the least of these bro v and sis, of mine, you did for me 25.40
MIGAWEVM @MigaweVictor
103 Followers 1K Following
Lovethmumbara @lovethmumbara1
139 Followers 1K Following BINANCEFX MARKETING EXCHANGE COMPANY HAS CHANGED MY LIFE COMPLETELY 😊💯💰📌,INTERESTED TO KNOW HOW SEND ME A DIRECT MESSAGE HERE ON XAPP
martha banda @marthaband7386
1K Followers 7K Following WITH GOD ALL THINGS ARE POSSIBLE ☦ kindly send direct message if interested to know how Binance fx company changed my life completely 💯📌
Chusey 🫨 @Chusey36835
1 Followers 16 Following
Ebrima @Ebrima995163
202 Followers 3K Following The Lord is my shepherd; I shall not want.” – Psalm 23:1 “I can do all things through Christ who strengthens me.” – Philippians 4:13
Xooworh @Xooworh8964099
15 Followers 255 Following
Batii Shirima @ShirimaBatii
1K Followers 6K Following
Yon Rugola @YRugola82435
5 Followers 26 Following
Chiboy Mbai @ChiboyMbai
3 Followers 45 Following
okocha @okocha2035608
1 Followers 28 Following
Mwesi Mshumba @mshumba_mw13980
22 Followers 316 Following
Toll Boy @TollBoy13973
0 Followers 16 Following
nusura kassim @NusuraKass32604
1 Followers 24 Following
Lemuel Satterfield @LemuelSatt41078
99 Followers 3K Following
Abubakari. Ibrahimu @AbubakariI27004
7 Followers 28 Following
Victor Politics @Victor_Politics
856 Followers 2K Following CHAIRPERSON CHADEMA YOUTHS WING FOR KINONDONI PARTY REGION
Tussian Tussi @tussian02
3 Followers 43 Following
Liddah @Lida094
797 Followers 831 Following 1+1=2 . Scholar | @uoregon University ||||God ,space&time |Traveller|
mtumishi @kajima85
431 Followers 1K Following Conservative, Logistics & Transportation, Entrepreneur, Civil Engineer
George Saakumi @georgesaakumi
2K Followers 1K Following
Bashiri Abdallah @BashiriAbdallah
1K Followers 2K Following Mtanzania, Mwanasiasa, Nilikuwa Diwani kata ya Nyamisangura, Makamo M/kiti Halmashauri ya Mji Tarime na sasa M/Kiti CHADEMA Jimbo la Tarime Mjini
Farah Omar @FarahOm91196252
2K Followers 5K Following
AnyTime Updates @AnytimeUpdates
172 Followers 948 Following Pata habari mbalimbali ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.
Detroit Red @khalid_mrope
238 Followers 546 Following I can't ignore politics. #Simba&LiverpoolDiehardFan.
Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.2M Followers 1K Following Politician/Activist/Member @Chadematz Member of Central Committee , Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and Father
Martin Maranja Masese @IAMartin_
611K Followers 1K Following MMM | Sperm That Won The Race | Cogito, ergo Sum | Patria o Muerte, Venceremos |
Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.4M Followers 9K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,
Boniface Jacob @ExMayorUbungo
583K Followers 9K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal Council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov. Ubungo councilor 2010-2020 BAEd Udsm CHADEMA CC MEMBER
Hilda Newton @HildaNewton21
955K Followers 2K Following Journalist/Activist/President Of Tanzania 2045
John Heche @HecheJohn
806K Followers 2K Following Vice Chairman Chadema Tanganyika, former Member of Parliament for Tarime rural constituency, a reformer.
Twaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
325K Followers 4K Following .Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) 2019-2025 Prison graduate 133 days in jail. Human rights defender.
Mfanyakazi Online Med... @MfanyakaziNews
462K Followers 0 Following UKWELI NA UWAZI : : [email protected]
fatma karume aka Shan... @fatma_karume
1.2M Followers 663 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fight
millardayo @millardayo
3.1M Followers 477 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]
Tito Magoti @TitoMagoti
285K Followers 11K Following Freedom Fighter. Activist-at-Large. Advocate. PG. Tundu Lissu’s Protégé.
Think Different @lifeofmshaba
455K Followers 4K Following #ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | #ARUDISHULE |Personal Views| God Is Good All The Time
Freeman Mbowe @freemanmbowetz
659K Followers 504 Following Former Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA, Former Leader of the Opposition in Tanzania Parliament & Former Chairman of DUA.
Ayubu Madenge @ayubu_madenge
392K Followers 2K Following Dad|Friend|Citizen|Humble servant of the people
EastAfricaTV @eastafricatv
2.1M Followers 6 Following Official EastAfricaTV (EATV) Twitter Email: [email protected]
John Pambalu @John_Pambalu
310K Followers 1K Following Former BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.
Tundu Antiphas Lissu @TunduALissu
840K Followers 303 Following National Chairman @chademaTZ2 🇹🇿 | Former President of the Tanganyika Law Society | Activist
MWANAMAPINDUZI @MachumuKadutu
8K Followers 366 Following Askofu Maximillian Kadutu|Mwanasiasa na Mchambuzi wa Mambo ya Siasa|Mpenda Haki na Maendeleo
Seneta Wa Bunge La Ge... @SenetaGenZ
894 Followers 105 Following Political Analyst. Sauti ya Gen Z. Mafisadi huchukia ukweli. Machawa hukimbia hoja.
The Presidency 🇿�... @PresidencyZA
2.6M Followers 18 Following This is the official Twitter page of The Presidency of the Republic of South Africa #AWorkingNation 🇿🇦
Fox News @FoxNews
29.3M Followers 284 Following Stay Ahead. Get Breaking News Here First. Download the App.
CHURA MSONOBALI MKALI... @maestrowafact
6K Followers 774 Following Political analyst and prophet extremely non partisan, JPM's disciples i tweet my thoughts and rarely what GOD commands.Zee la utu na mipango 🕊
Roslyn Cummerata @cummerata92740
92 Followers 3K Following
🇪 🇸 🇮 🇷 �... @EsirEid
54K Followers 52K Following Website n Mobile Apps Developer,Computer Scientist N a PURE #Mathematician¶© #JKUAT ALUMNI||#TeamArsenal¶ #HalaMadrid¶ ¶ #YANGA $ #TajiriLaKihaya
☩ 𝕁𝕄𝕋 ☩ @SecretFire79
51K Followers 509 Following ☩ ☧🇻🇦☘️ • Sinner • Roman Catholic • USMC Veteran • Former LEO • Cornell ‘09 • Cherry Coke Zero Enjoyer • Not An Influencer • All Blocks Returned • ☘️🇻🇦☧ ☩
Jovitha Katarama @JovithaKatarama
6 Followers 64 Following
Chadema Tanzania @ChademaTZ2
37K Followers 9 Following The main Opposition Political Party in Tanzania ✌️
Djkid_b_____ @BlessdGrooveKid
4K Followers 971 Following
Antonellah Kakuko(The... @Truepastoralist
6K Followers 311 Following MHS-Kabarak Alumnus|| Political Scientist and Strategist|| Digital Strategist|| UoN Alumnus|| Pastoralists' champion|| Proudly Pokot|| Tiaty Daughter|| Mother||
Larry Madowo @LarryMadowo
3.1M Followers 2K Following International Correspondent, @CNN. African Voices Host, @cnni. Nomad. Past lives in Joburg, London, New York & Washington. Bad jokes, good vibes.
Senate Foreign Relati... @SenateForeign
135K Followers 355 Following News and updates from the U.S. Senate Foreign Relations Committee Chairman, Sen. Jim Risch, R-Idaho.
Agoi George @agoi_george
13K Followers 11K Following Discovering life, acquiring knowledge and learning new things.
Pusha @PushatheTruth
334 Followers 121 Following Activist/Muhaini || Every adversity has a seed of opportunity
Emmanuel Nnko @NnkoEmmanu11676
10 Followers 74 Following
Gaidi Mzalendo🕊️ @hsyanya31
407 Followers 1K Following Mungu mkubwa 🙏 @simbasctanzania @ChelseaFc @FcBarcelona
Jacqueline Lawrence @jackielawrencem
22K Followers 10K Following Highlands FM 🎙 | Using Media For Development | UN Fellow | MWF & Vital Voices Alumna | Laureate Global Fellow | TED speaker| | #NotreDameAlumna #Lastborn
Uiblauhe @Uiblauhe086260
4 Followers 41 Following
Friends_of_Tundu_Liss... @FriendsofTundu
659 Followers 118 Following We are the friends of Tundu Lissu! Presidential candidate 2025 for Tanzania🇹🇿. Political prisoner for more than 365 days. #freetundulissu #noreformsnoelection
Hon. George Peter Kal... @gpdkaluma
289K Followers 11K Following Member of Parliament, Kenya. Human Rights/Governance/Inclusivity, Equality & Pro-Life Advocate. Teacher. Husband. Father. Mentor.
Ahmed Mohamed ((ASMAL... @Asmali77
554K Followers 8K Following Father| PR & Communications | Founder & CEO @AsmaliMedia| @LFC | Humanity First|| Que Sera Sera||
NG’ENDO MURUGU @MRSMuruguu
172K Followers 2K Following Wife || Digital Communications || Founder (Digital Impact Communication Solutions -Africa LTD)|| Human Scientist || Loreto Girl/KU/SPU/ KCA Alumna|| Accountant
Sen. Ledama Olekina @ledamalekina
1.9M Followers 3K Following Senator Narok County Official Account.
H.E William Kabogo Gi... @honkabogo
951K Followers 1K Following Cabinet Secretary, Ministry of Information, Communications and the Digital Economy (MICDE).
Pauline Njoroge @paulinenjoroge
618K Followers 1K Following CEO, Ebony Analytics Africa| Digital Comms Strategist| Political Strategist| History Buff
Mr. Kinuthia Pius. @Belive_Kinuthia
488K Followers 109K Following The Voice of The People|| It's my duty to take part in Nation Building.
KOT OCS👮👮 @WaruiJohn2
551K Followers 2K Following Man Utd fan, football & F1 enthusiast ⚽🏈🏌🏇🎾🚴⛳🤝Brazil🇧🇷Lewis Hamilton fan, Kalle Rovanpera biggest fan too! Fabrizio/Ornstein biggest fan and PSG fan too
Rodgers Kipembe Mpuru @RodgersKipembe
440K Followers 168 Following Official Twitter Account of Rodgers Kipembe Mpuru.
Alinur Mohamed @AlinurMohamed_
310K Followers 998 Following This is the official twitter account of Alinur Mohamed, a politician, husband a father and a life time ARSENAL fan.
Mwemezi Rwiza, PhD @SwahiliBible
86K Followers 2K Following I teach and do research at the Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST), TZ. Science author (https://t.co/ugYmynyQkh…)
George T. Diano @georgediano
200K Followers 6K Following Twitter for Satire & Peasants|| Story teller|| MBA- Operations Management|| Inspired by Wahome Mutahi.
Vatican News @VaticanNews
732K Followers 2 Following Vatican News is a service provided by the Holy See's Dicastery for Communication. Follow us for news about Pope Leo XIV, the Vatican, and the Church.
The Africa Report @TheAfricaReport
305K Followers 1K Following The magazine for African politics, business & culture. Subscribe: https://t.co/CYvLqlUSqh
Fillemon Shikomba @fireshikomba
8K Followers 1K Following Lawyer |World Changer | Editor M21 (The People's Voice) | Adjunct Professor @nyuniversity
Baraka Lenga @lenga2020
878 Followers 428 Following Global Citizen/Climate Justice/SDGs Believer/Community Development/Strategic P& M/Born at 337.37 PPM #AntFossilFuel#TanzaniaNationalCoordinator @GreenFaithTz
Kennedy Wandera @KennedyWandera_
63K Followers 1K Following Postgraduate. @CheveningFCDO Scholar @UniversityLeeds🇬🇧🎓. International Journalist. Board Chair, @FPA_Africa. Building @WMC_Consultant, @SautiyaAfrika_
Ibara ya 8 ya JMT🇹... @laki_0_rick
249 Followers 142 Following
Africa Today Media Gr... @africatodayMG
56K Followers 11 Following Unveiling truth, empowering minds. Your source for unfiltered news and insights. We dig deep, expose facts, and spark conversations that matter. Join us today
sospeter Bujeje @sospeterbujeje
41 Followers 218 Following
MIGAWEVM @MigaweVictor
103 Followers 1K Following
Ebrima @Ebrima995163
202 Followers 3K Following The Lord is my shepherd; I shall not want.” – Psalm 23:1 “I can do all things through Christ who strengthens me.” – Philippians 4:13


























