Partnering with governments, businesses, and organizations to solve complex challenges through strategy, technology, and innovationfalconode.net Dar es SalaamJoined November 2024
BREAKING: Congolese President Tshisekedi Stuck at Budapest Airport Over Ebola Concerns
President Félix Tshisekedi was held up at Budapest Airport after arriving with a delegation to attend the Champions League final between PSG and Arsenal, sources claim.
Hungarian airport
🚨 UKISIKILIZA mtaani utasikia taarifa kwamba kiwango cha kiungo wa Simba Clatous Chama kinatokana na Mzambia huyo kutaka mkataba mpya, lakini sasa uongozi wa Wekundu hao wa Msimbazi umetoka hadharani na kueleza mkataba halisi wa fundi huyo.
Simba ilimsajili Chama dirisha la Januari 2026 akitokea Singida Black Stars, akirejea Msimbazi baada ya kuondoka mwishoni mwa msimu uliopita 2024-25.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Crescentius Magori, akizungumza kwenye mahojiano maalum aliweka wazi kwamba taarifa kwamba kiwango cha Chama kinatokana na kiungo huyo kutaka mkataba mpya, hazina ukweli. Magori alisema wakati Wekundu hao wakimsajili Chama kutoka Singida, alisaini mkataba unaofikia tamati mwaka 2027 na kwamba Simba HAIWEZI kusajili mchezaji kwa mkataba wa miezi sita.
Lakini kuna namna Bakressa ana entertain udini na hizi movie zake za kina Bey, yan unakuta Bey mmoja muislamu anagusa wakristo hata buku maadui peke yake 😅🚮🚮🚮🚮
TOP 10 YA JEZI KALI ZILIZOTOKA KWA AJKLI YA KOMBE LA DUNIA (WORLD CUP 2026)
NOTE :: hizi jezi zzote ninazo bei yake ni 30K njoo tsup 0756226825 zina beji kabisa.👇
10. Argentina 🇦🇷 (home kit).
Ilikuwa asubuhi tulivu na njema ya mwaka 1977. Baba wa taifa hayati Julius Kambarage Nyerere alipomuita nyumbani kwake msasani-Dar es salaam aliyekuwa Mwanasheria mkuu wa serikali kwa wakati huo Ndg Joseph Sinde Warioba.
Mwalimu akamwambia Sinde Warioba "Nataka unipe majina matatu ya watu wanaofaa kuteuliwa kuwa Jaji mkuu(CJ)."
Joseph Sinde Warioba akampa mwalimu majina hayo huku akiwa hajui nini kitafuatia Kisha akaondoka zake. Ikafika ijumaa ya wiki hiyo, mwalimu akampigia Simu Sinde na kumpa amri akisema "Nataka Jumatatu Nikutane na Francis Nyalali hakikisha Jumatatu awe amefika dar."
Francis Nyalali muda Huo alikuwa ni Jaji wa mahakama kuu Kanda ya Arusha na alikuwa na uzoefu wa Miaka mitatu tu katika kazi ya Jaji. Joseph Sinde Warioba akahaha, kipindi hicho hakuna ndege ya kumuwahisha Nyalali kwani, shirika la ndege la afrika mashariki lilikufa baada ya kuvunjika kwa umoja wa afrika mashariki. Gari lipo Lakini haliwezi kumfikisha Nyalali mapema kwani miundombinu ya barabara haikuwa Rafiki wakati ule.
Genius Joseph Sinde Warioba akatumia akili zake za tabora boys bwana, Akaingia jeshini akaamuru ndege ya kijeshi imfuate Francis Nyalali chapchap. Ndege ikamleta Nyalali hadi airport. Sinde akamchukua Francis Nyalali hadi nyumbani kwa mwalimu.
Walipofika mwalimu akamuita Francis Nyalali faragha, Sinde akaachwa sebuleni akiangalia, Paa na feni zinazopepea. Baada ya muda mfupi Francis Nyalali akatoka faragha akiwa na bashasha kubwa.
Baada ya siku chache Francis Nyalali akaapishwa kuwa Jaji mkuu wa Tanzania. na hapo ndipo mti mbichi ukageuka kuni iliyoivisha chakula pasi kutegemea.
Wapo majaji waliostahili kushika hiyo nafasi kwani walimzidi uzoefu nyalali, Lakini nyalali mbali na uchanga wake aliwapiku kutokana na sifa za Ziada.
Kabla ya kuteuliwa kuwa Jaji mkuu. Nyalali alipokea Barua kutoka Shirika la kazi duniani - ILO kwenda kufanya kazi hukooo ulaya. Mshahara ulikuwa mkubwa kuliko wa Jaji mkuu, maisha ya juu na ya kifahari kuliko ya Tanzania. Yote hayo aliyapiga chini ili alitumikie taifa lake.
Huyu ndiye Jaji Francis Lucas Nyalali. Alizaliwa mwaka 1935 katika Familia duni ya wafugaji huko mkoani Mwanza. Akasoma hadi makerere. Akawa mwanasheria aliyezipalilia Ndoto zake kwa jembe la mkono.
🗣 Leo huwezi kuitaja katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 bila kumtaja Francis Nyalali.
🗣Leo huwezi kuzungumza uhuru wa mahakama bila kumtaja Francis Nyalali.
🗣Leo huwezi kuzungumzia Tume huru ya uchaguzi bila kumtaja Francis Nyalali.
🗣Leo huwezi kuzungumzia mfumo wa usuluhishi nje ya mahakam(Adr) bila kumtaja Francis Nyalali.
🗣Leo huwezi kuzungumzia mfumo wa vyama vingi nchini bila kumtaja Francis Nyalali.
🗣Leo huwezi kuzungumzia mahakama ya rufani ya Tanzania bila kumtaja Francis Nyalali.
Jaji Francis Nyalali alifariki mwaka 2003 kwa maradhi.
Mambo ni mengi kuhusu Francis Nyalali. Leo tuishie hapa. Lakini ondoka na hii;
"katika historia ya nchi hii, Kuna viongozi wawili tu walioongoza mihimili ya dola kwa miaka 23 mfululizo, ambao ni Baba wa taifa aliyeongoza serikali kwa miaka 23. Na Jaji Francis Lucas Nyalali aliyeongoza muhimili wa Mahakama kwa Miaka 23."
Tuliambiwa mashabiki wa Arsenal watasusia sherehe yao pale Viwanja vya Posta kwa sababu tu Mchengerwa ndiye alikuwa mgeni rasmi.
Lakini kilichotokea ni tofauti kabisa. Mashabiki wa keyboard walitangaza mgomo, huku mashabiki wa ground wakafanya kile wanachokijua vizuri zaidi, wakajaza uwanja mpaka pakakosa nafasi! 😂
Kumbe tofauti kati ya kelele za humu na hali halisi ni kubwa kuliko tulivyodhani. Wakati keyboard zikipiga kelele, Viwanja vya Posta vilikuwa vimejaa nyekundu na nyeupe kila kona. 😄⚽
Hii Makala nimeikopi na ku paste na ina mengi ambayo ni worthy taking in katika siku ya leo tunapo adhimisha siku ya Eid Al Adha.
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP-Centre, David Kafulila amesema mfumo wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP) umeleta mageuzi makubwa katika huduma za Hijja nchini Saudi Arabia kwa kuongeza ufanisi na kupunguza adha kwa mahujaji.
Akitoa salamu za Eid al-Adha kwa Waislamu duniani, Kafulila amesema moja ya mafanikio makubwa ya PPP ni maboresho yaliyofanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa King Abdulaziz (KAIA) uliopo Jeddah, unaotumiwa na mamilioni ya mahujaji wanaoelekea Makka.
Amesema kabla ya maboresho hayo, mahujaji walikuwa wakitumia kati ya saa sita hadi 10 kukamilisha taratibu za uwanjani, lakini baada ya utekelezaji wa mradi wa PPP wenye thamani ya dola milioni 249, muda huo umepungua hadi dakika 45 na saa moja.
“PPP imeongeza ufanisi mkubwa sana. Kabla ya mradi huu, uwanja ulikuwa ukihudumia wastani wa mahujaji milioni moja kwa mwaka, lakini sasa unahudumia kati ya abiria milioni nane hadi tisa kwa mwaka,” amesema Kafulila.
Kafulila amefafanua kwamba, mradi huo ulitekelezwa kupitia mkataba wa miaka 20 kati ya Mamlaka ya Anga ya Saudi Arabia (GACA) na kampuni binafsi ya Hajj and Umrah Terminals Development Company, ukihusisha Saudi Binladin Group pamoja na Aéroports de Paris Management huku Shirika la IFC likiwa mshauri mwelekezi.
Mafanikio hayo yanapaswa kuwa somo kwa Tanzania katika kuendeleza sekta ya usafiri wa anga na miundombinu mingine kupitia uwekezaji wa PPP.
“Tusiogope kuwakaribisha wawekezaji kupitia PPP kwenye viwanja vyetu vya ndege ili kuongeza ufanisi wa huduma na kuchochea mageuzi ya kiuchumi,” amesema.
Aidha, amesema tathmini ya usafiri wa anga duniani ya mwaka 2023 inaonyesha kuwa licha ya viwanja vya ndege vinavyoendeshwa kwa PPP kuwa asilimia 14 pekee duniani, vinahudumia karibu asilimia 40 ya abiria wote duniani.
“PPP na ufanisi ni pacha,” amesema Kafulila huku akiwatakia Waislamu wote Eid Mubarak yenye amani na baraka.
PPP IMEIBADILI HUDUMA YA HIJJA MAKKA KWA UFANISI BORA ZAIDI🌙
Leo ni sikukuu muhimu sana kwa Waislamu wote duniani maarufu kama Eid ya Kuchinja / Eid al-Adha.
Hiki ni kipindi ambacho kinawakutanisha Waislamu wengi duniani katika mji wa Makka kama sehemu ya kutimiza nguzo ya 5 ya Uislamu.
Moja ya changamoto kubwa iliyokuwa ikisumbua huko nyuma ni muda mrefu ambao mahujaji walikuwa wanautumia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa King Abdulaziz - KAIA uliopo Jeddah.
Mahujaji walikuwa wanatumia kati ya saa 6 hadi 10 kukamilisha taratibu za uwanjani miaka kabla ya mkataba wa Ubia/PPP kuendesha uwanja huo.
Ili kutatua changamoto hiyo, Serikali ya Saudi Arabia ilitekeleza mradi mkubwa wa kuboresha uwanja huo kwa kufanya upanuzi wa Hajj Terminal kupitia mkataba wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi PPP wenye thamani ya dola milioni 249 uliosainiwa mwishoni mwa mwaka 2006 na kukamilika ujenzi mwaka 2011.
Mradi huu ulijengwa kwa mkataba wa PPP wa miaka 20 kati ya Mamlaka ya Anga ya Saudia GACA na Kampuni Binafsi ya Hajj and Umrah Terminals Development Company - muungano ulioongozwa na Saudi Binladin Group kwa ushirikiano na Aéroports de Paris Management.
Mshauri mwelekezi wa mradi huu alikuwa shirika la kimataifa la IFC, mwanachama wa Benki ya Dunia.
Baada ya 'Terminal' hii kuanza kuendeshwa kwa mfumo wa PPP, ufanisi uliongezeka kwa kiwango kikubwa sana:
#Uwezo kwa saa
Kabla ya PPP: Takriban abiria 1,000-1,500 kwa saa.
Baada ya PPP, Zaidi ya abiria 8,000 kwa saa, - ikijumuisha takriban abiria 3,800 wanaowasili na 3,500 wanaondoka kwa saa
#Uwezo kwa siku
Kabla ya PPP: Takriban abiria 25,000-30,000 kwa siku.
Baada ya PPP: Zaidi ya abiria 91,000 wanaowasili na abiria 84,000 wanaondoka kwa siku wakati wa kilele cha msimu
#Uwezo kwa mwaka:
Kabla ya PPP: Wastani wa mahujaji milioni 1 tu kwa mwaka.
Baada ya PPP: Kati ya abiria milioni 8 hadi milioni 9 kwa mwaka. - kwa mfano, ilihudumia mahujaji milioni 8.8 mwaka 2015
#Muda wa kukamilisha taratibu.
Kabla ya PPP: Abiria walitumia saa 6 hadi 10 uwanjani.
Baada ya PPP: Sasa wanatumia dakika 45 tu hadi saa 1 kukamilisha kila kitu.
Fikiria ufanisi uliosababishwa na PPP! Muda umepungua zaidi ya mara 8 huku uwezo ukipanda mara 8-9.
Mbali na kuwatakia Waislamu wote heri ya sikukuu hii muhimu ya kuchinja, nimependa kuwakumbusha Watanzania kwamba PPP imesaidia pakubwa kuongeza ufanisi katika ibada ya Hijja. Hivyo basi, tusiogope kuwakaribisha wawekezaji kupitia mifumo ya PPP kwenye viwanja vyetu vya ndege hapa nchini ili kuleta mageuzi ya kiuchumi na kiutendaji.
Tathmini ya usafiri wa ndege duniani mwaka 2023 ilionyesha kuwa, wakati viwanja vya ndege vinavyoendeshwa kwa mfumo wa PPP ni asilimia 14% tu duniani, vilitumiwa kuhudumia takriban asilimia 40% ya abiria wote duniani.
PPP na Ufanisi ni Pacha!
Eid Mubarak! 🌙✨
JUST IN: Tanzania’s Prime Minister, Dr. Mwigulu Nchemba, has held talks with AfDB President Dr. Sidi Ould Tah on the sidelines of the ongoing 61st Annual Meeting of the African Development Bank Board of Governors in Brazzaville, Republic of Congo.
"Petro alimwambia Yesu, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata wewe. Yesu akasema, Amin, nawaambieni, Hakuna mtu aliyeacha nyumba, au ndugu waume, au ndugu wake, au mama, au baba, au watoto, au mashamba, kwa ajili yangu, na kwa ajili ya Injili, ila atapewa mara mia sasa wakati huu, nyumba, na ndugu waume, na ndugu wake, na. mama, na watoto na mashamba, pamoja na udhia; na katika ulimwengu ujao uzima wa milele. Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho; na wa mwisho watakuwa wa kwanza."
(Mk. 10: 28-31)
Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya Wizara ya Mambo ya ndani ni kwamba, kwa mwaka wa fedha 2026/27, Serikali inatarajia kuajiri watumishi 10,919 katika vyombo kadhaa vilivyo chini ya hii Wizara.
Taarifa inaeeleza kwamba Kati ya hao 10k ambao tayari vibari vya ajira vishatoka basi watumishi wa Makao Makuu ya Wizara ni 249 watumishi wa Jeshi la Polisi ni 8,040
Zaidi ni kwamba Jeshi la Magereza linatarajia kuajiri wati 1,046; Jeshi la Zimamoto na Uokoaji watu 500; Idara ya Uhamiaji 1,000 na NIDA 84. Kwa hiyo kama una passion na masuala ya kutumikia Nchi kupitia hivi vyombo basi zipo nafasi 10k+ zinakusubiri.
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel:
Ikulu Tanzania na Tovuti: ikulu.go.tz#TanzaniaYetuSote#NchiYetuKwanza#MaendeleoEndelevu
Mkuu Khalifa.
Hii picha original picture yake ni kati ya Mh Rais akiwa na Mh PM. Sijui kwanini umelazimika kutumia picha ya AI to sell whatever narrative ulitamani my brother.
Pili, katika midhania ya habari it would be a great deal to support your fellow Afro Journalist in telling hadithi ya Africa by an African Journalist labda more than the way you supported CNN/BBC etc.
Kwanini umechagua a route to pre-empty documentary ambayo hata kutoka bado BUT you’ve already chosen a side bila kuitazama, kuiskiiza wala kuichambua. WHY ?
If at all the whole idea comes out of “suspicion” kwamba huenda David’s documentary iko sponsored na dola WHY usingesubiri kwanza walau utimize wajibu wa kiuandishi kuitazama, kuichambua na kuja na a balanced take ?
Wewe binafsi una deal na Serikali kupitia POPI/NPC kwenye #DiraMtaani (Ni serikali) along with so MANY OTHER DEALS tunazifahamu je tunapaswa pia tuku judge na ku pre-empty kila kitu out of no merits ? HAPANA.
you scum of a journalist @DavidHundeyin, i want the full details on the premiering of your rubbish ‘documentary’ that seeks to whitewash gov’s crimes in dar. i want a date, time and place of premiering. i want to come and confront you directly, man to man:
Mtu anaomba kibali cha kujenga jengo la gorofa 10 kariakoo haulizwi wageni wake watapaki wapi anapewa kibali.. kwa nini floor moja isiwe mandatory parking?
Under the PPP framework, Tanzania is advancing the proposed USD 60.88 Million Spine & Injury Treatment Rehabilitation Centre (MOI SITRC) in Mbweni, Dar es Salaam.
First ever specialized healthcare infrastructure and national rehabilitation capacity within the Region under PPP.
JUST IN: Tanzania has officially integrated the Port of Dar es Salaam with the Standard Gauge Railway (SGR) network, directly linking the port to the inland logistics hubs of Nala Dry Port in Dodoma and Kwala Dry Port in the Coast Region.
The new connection is expected to accelerate cargo movement by up to 80% compared to transit timelines currently experienced across competing regional trade corridors.
The country’s long-term logistics strategy aims to position Dar es Salaam as the fastest and most efficient maritime gateway in East and Central Africa.
By 2028, the SGR line is expected to extend to Isaka Dry Port in Shinyanga, while full rail connectivity to the borders of Rwanda and Burundi is targeted by 2030.
Once completed, Tanzania intends for transit cargo moving through Dar Port to reach destinations across the East African Community (EAC) corridor in less than 48 hours.
The transformation follows more than $1 Billion in modernization and expansion investments at Dar es Salaam Port led by DP World. As a result, annual cargo throughput capacity has now increased from a minimum of 27.7 million tonnes toward a projected 50 million tonnes.
Performance figures for the 2025/26 financial year already indicate strong growth momentum across the port ecosystem. Container volumes surged by 55%, roll-on/roll-off (RORO) traffic increased by 20%, general cargo rose by 25%, while dry bulk cargo expanded by 22%.
A snapshot of eight mega infrastructure projects currently under implementation through the Public-Private Partnership (PPP) Framework in Tanzania.
These strategic investments span transport, logistics, urban mobility, commercial infrastructure, and more.
#ppp
As Africa marks another Africa Day, the continent’s future will increasingly depend on how effectively governments and the private sector collaborate through the PPP framework to deliver infrastructure, innovation, and shared prosperity under Agenda 2063.
Happy Africa Day 2026.
399 Followers 2K FollowingTunasaidia Kusajili Kampuni (BRELA), Jina la biashara (BRELA), Leseni ya biashara (Halmashauri), Leseni ya mahali pa kazi (OSHA), TIN na TAX CLEARANCE (TRA).
6K Followers 797 FollowingExecutive Director – Public Private Partnership Centre (PPPC) |
Mbunge wa Zamani | RC/RAS |
MUKTADHA: Kueleza Serikali kwa lugha
rahisi.
302 Followers 26 FollowingWelcome to the official X account of PPPC Tanzania. We facilitate impactful partnerships between public and private sectors to drive sustainable development.
753K Followers 92K FollowingDigital Media Strategist and Expert. Election Strategies and Strategic Communications. You are either the source or the Target! Reporting for Duty!
2.4M Followers 9K FollowingHEAD of Presidential Special Projects & Creative Economy
#SystemYaFacts
#RutoPerforms
Home of Ideas
Connecting talent to opportunity
659K Followers 505 FollowingFormer Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA, Former Leader of the Opposition in Tanzania Parliament & Former Chairman of DUA.
1.8M Followers 643 FollowingMother | Proud Grandmother | Senior Counsel| Party Leader, @PLPartyKenya & incoming President 🇰🇪 (PLP) Order my book below 👇
1K Followers 2K FollowingCommitted to social justice /youth work. Challenging socioeconomic systems and structures for the greater good of my/your community(views mine)
16K Followers 171 FollowingGoodwill ambassador @unep ecosystem advocate rapper/presenter. God believer ,God has brought me laughter. This is me Frida amani the great….