"Msilete siasa kwenye corona, hasa nyie Viongozi wa Marekani na China, kama mnahitaji kuona majanga ya corona yanapungua acheni siasa, zipelekeni hizo siasa zenu karantini, hamtakiwi kutumia corona kwenye migogoro yenu ya kisiasa”-Dr.Tedros, Mkurugenzi Mkuu WHO
(📹via CGTN)
“Marufuku kufanya mazoezi mitaani (Gym,kukimbia nk) ni mikusanyiko, fanyia mazoezi nyumbani au chumbani kwako, mimi huwa narudi nyumbani usiku namkuta Mke wangu Mama Janet amelala, ila nakimbiaga kuzunguka chumba, nitawaonesha video ya jinsi ya kufanya mazoezi chumbani”-MUSEVENI
"Bunge la Ndugai hasa nikifikiria walivyomfanyia Tundu Lissu naogopa sana kuona mafanikio, mara amefutwa na ubunge, mara amenyimwa mshahara na anayezungumza hivyo ni Spika, inaumiza kiasi ambacho inanipofusha kuona mambo mazuri ya bunge" Dkt Hellen Kijo Bisimba. #HATUCHUJI
Hongera sana Mbwana Samatta kwa hatua kubwa ambayo umepiga kwenye maisha yako ya soka. Wanasimba tunakutakia kila la kheri kwenye timu yako mpya ya Aston Villa. #NguvuMoja
951K Followers 775 Following🇹🇿Presidential Advisor on Reproductive, Maternal & Child Health & Head of Secretariat, AU Champion for MCH / Minister of Health🇹🇿 2015 - 2020 & 2022 - 2024
600K Followers 11 FollowingBunge la Tanzania ni baraza la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotunga sheria na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake.
1.2M Followers 1K FollowingVisionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, President’s Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadrid
84K Followers 0 FollowingIndependent platform breaking down Africa's economy. Investments, industries & policies shaping the future, built for the serious.
📩 [email protected]
1.2M Followers 663 FollowingWho’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fight
1.5M Followers 792 FollowingOfficial X handle of Kigogo Media I The uncensored,unfiltered and unbiased online news in East Africa I Email: [email protected]
61.8M Followers 1K FollowingIt’s our job to #GoThere and tell the most difficult stories. For breaking news, follow @CNNBRK and download the CNN app ➡️ https://t.co/7PQD7o6fLw
1.7M Followers 139 Following4th President of Tanzania| Chancellor, University of Dar-es-Salaam| Chair, GPE Board| Co - Chair, HLC on #ICPD25| Chair, SADC Panel of Elders (PoE)| Chair, JMKF
1.2M Followers 1K FollowingPolitician/Activist/Member @Chadematz Member of Central Committee , Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and Father