SAGE @visible_mind
a teacher & entrepreneur|| knowledge poacher 🧠 ||Simba& #mufc fan || Country🎶 // good & evil starts from family🤔 mobile Joined July 2022-
Tweets382
-
Followers260
-
Following52
-
Likes3K
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 332 Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia Re-Examination Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika. Mhe. Lissu: Uliulizwa kuhusu namna mtandao wa Jambo ulivyorushwa hayo matangazo na ukasema uamuzi wa kurusha Matangazo ulikuwa sio uamuzi wenu bali wa wale waandishi? Katuga: Hatujaelewa swali? Jaji Ndunguru: Hebu rudia aelewa swali. Jaji Kareyamaha: Sisi tumeandika kuwa shahidi alisema suala la kuchapisha ni uamuzi wao wenyewe hakuna anayewalazimisha? Mhe.,Lissu: Kumbe mnaandika vizuri kabisa proceedings. Basi hapo twende. Mimi nashitakiwa na uhaini sina haraka ya chochote. Mhe. Lissu: Sasa uliulizwa kuhusu wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Ukasema utaratibu umekuwa mbaya zaidi kwenye sheria mpya iliyowafanyia marekebisho. Hebu fafanua. Katuga: Hilo hatukuuliza. Mhe. Lissu: Tusomeee. Proceedings hapo Jaji. Zinasomwa na Lissu anasema sasa, ulisema hukutoa maoni yote ya mabadiliko ya Katiba kwenye ile kamati ya Katiba na Sheria. Hebu fafanua. Mnyika: Maoni yote ya kutaka kurekebisha Katiba mathalani ya matokeo ya Urais kupingwa mahakamani, muundo wa tume huru yalikataliwa na mara zote kipaza sauti kilikuwa kinazimwa na hatukuruhusiwa kuyasema na walisema hayataingia kwenye rekodi. Mhe. Lissu: Uliulizwa baada ya maoni yenu kukataliwa huko Bungeni ndio mkarudi kwenye mkakati wenu wa kuzuia Uchaguzi na ukasema hapana ulikuwa ni mkakati wa Chadema toka Tar. 03/12 fafanua. Mnyika: Uamuzi wa No Reforns No Election ulifanyika toka mwezi december kwahiyo uhamasishaji wa wananchi dhdi ya uasi kwa mifumo kandamizi ulianza toka mwezi December, 2024. Haukutokana kabisa na maoni kukataliwa ulikuwa ni uamuzi endelevu hadi mabadiliko yatakapopatikana. Mhe. Lissu: Ahsante. Ulisema hukupiga kura kwasababu hakukuwa na uchaguzi, ulikuwa na maana gani? Mnyika: Hakukuwa na Uchaguzi huru, Haki na Halali. Chama kilifungiwa, hakikushiriki huo uchaguzi na mazingira hayakuwa ya haki. Sasa kuna uchaguzi gani hapo? Nisingeweza nikiwa kama Katibu Mkuu wa Chama kushiriki uchaguzi wa aina hiyo. Mhe. Lissu: Uliulizwa kama nina nina kinga yoyote ya kushitakiwa kama nikivunja sheria na ukasema sina hatia yoyote. Ulikuwa unaendelea hapo na ukaweka lakini sasa.... Katuga: Waheshimiwa hakukuwa na lakini aliishia hapo. Mhe. Lissu: Sasa nisomewe record tafadhali. Mimi sijaja hapa kumsikiliza kila anachosema Wakili wa Serikali. Majaji wanatafuta. Wanasema hebu jibu Shahidi tuone. Mnyika: Nilisema hana kinga kwasababu mara zote amekuwa akishitakiwa na hajawahi kukutwa na hatia yoyote. Mhe. Lissu: Ulisema kuwa Katibu Mkuu ni mteuliwa wa Baraza Kuu la Chama na sio Mwenyekiti? Fafanua. Mnyika: Ni sahihi Katibu Mkuu anapendekezwa na Mwenyekiti lakini anathibitishwa na Baraza Kuu. Hilo Baraza Kuu linaweza kumkataa au kumkubalia. Na utendaji wa Katibu Mkuu anawajibika kwa Kamati Kuu na Baraza Kuu na sio kwa Mwenyekiti. Mwenyekiti wanashauriana tu. Mhe. Lissu: Ulisomewa Katiba ya Chadema ibara ya 4.1.1 na kuulizwa kuwa lengo la Chadema ni kushika Dola na ukasema ndio na sio lengo pekee na muhimu zaidi? Mnyika: Nilikuwa na maana kuwa kushika dola sio lengo pekee. Yako malengo ya kijamii, kisiasa na yote hayo ni malengo ya Chadema ba huwezi kusema lengo fulani ni muhimu kuliko mengine. Ikiwemo kutetea mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania imeiridhia kilele kikiwa ni kuleta demokrasia, uhuru na maendeleo ya watu. Waheshimiwa Majaji sina maswali zaidi ya Re Examination. Jaji Ndunguru: Sasa Shahidi tunakuruhusu ukaendleee na majukumu mengine. Mnyika: Ahsanteni na Mungu awabariki sana. Tunaahirisha kwa muda wa lisaa na nusu. Na upate muda wa kuandaaa mashahidi wako pia. Tukutane saa nane nusu. Naomba Repost yako.
@George_Ambangil @no_Icant_Let_Go natamani kuona notebook yako coach, hakuna vita inakukutaga off guard 😀😀
@George_Ambangil then bang, huku pesa inanukia huku uhondo😀
@MpellyTech1 @kelvin_mkonyi you are a man and she ovulate, so go make peace
@daudi10emmanuel we enjoy the noise, the vibe
Hebu tuwaze nje ya BOX!!🤔 What if, ni mchezo wanautengeneza ili kumfanya VICEnt apate sympathy kwa wapiga kura….kisha ndio iwe next kete yao 2030!!🤔 Yes, coz sio mara yao ya kwanza kuyafanya hayo!! Wameshaitumia sana hii strategy huko nyuma na wakafanikiwa!! Nikurudishe 2017 TAL alipopigwa pyuu pyuu 🔫 wengi walimchukia Banza kwa lile tukio!! Hisia zangu zinanambia #MasterMind aliitumia hii opportunity akamtuma Kizim-Job akampe pole TAL!! sidhani kama ile move ya kwenda kumuona na kumpa pole TAL ilikuwa bahati mbaya ile, huwa always nahisi it was strategically planned na pengine mtoa pole hakujua kama ni mchoro anachorewa, yeye aliamini anatenda utu….but kuna watu behind the scene walipush ile move!! Ili kumjengea sympathy,imani na upendo kwa raia, kwamba kati ya wanachama waandamizi wooote, ni huyu pekee kajitoa kwenda kumuona mgonjwa. Basi huyu ana upendo sana! Basi huyu atatufaa kutuongoza! Huyu sio katili kama Banza!! Kumbe MasterMind anasema huyu Ni next kete yetu tutamtumia siku za mbeleni, tayari anauzika kwa wapiga kura!! Haya miaka imepita…. vipi leo bado sio katili!!?🤔 Sasa nashangaa sana kuwaona baadhi ya wanafamilia wakiingia kwenye huu mtego tena mapema sana, bila hata kuwaza nje ya box!! Tena wengine ni watu senior na very influential kwenye siasa na harakati!! Wanaanza kumpongeza VICEnt kuona huruma, kumfanyia PR na kumu-endorse kwa raia….Pasi kujua kufanya hivyo ni kurudia makosa yaleyale ya kujikuna Nyashi kisha unakata kucha kwa meno!! Ni kweli VICEnt anaonekana kuwa mtu poa currently, lakini shida ni familia ileile!! Iko hivii…..hawa jamaa ni very smart na calculated! Wanajua fika now wako kwenye nyakati ngumu sana kujiuza kwa wananchi kutokana na waliyoyafanya….Nyama ngumu kwelikweli!! Wana changamoto kubwa ya who is next? ambaye wata msimamisha na raia wakampokea na kumkubali bila makwasukwasu yoyote!! Hapo sasa kwenye Who is next, ndiyo nahisi #The_Master_Mind huwa anakujaga na mchoro wa kutafuta exit!! Kwamba watengeneze beef/vita/misunderstandings wao kwa wao ndani kwa ndani, then habari zitoke nje kwa raia….kuwa kuna mpasuko ndani ya chama!! Then ile kete wanayoitaka wao ndio ionekane kwa raia kama ndiyo inaonewa ndani ya chama au kama ndiyo shujaa inasimama na raia!! Na raia tulivyo na mtindio wa ubongo tunajaa kwenye huo mfumo! Tena wakati mwingine #MasterMind anaweza akachezesha huu mchoro bila hata kuwashirikisha wahusika wakuu, yaani main characters wakawa wanapasuana kiukweli, kumbe kuna mtu behind the scene anawachezesha filamu!! Anagusanisha nyaya, anapigisha cheche bila wao kujua…. KUWENI NA MISIMAMO KUWENI NA KUMBUKUMBU WAZENI NJE YA BOX MSIJAE KIZEMBE Nways labda niko wrong na hisia zangu!! Tatizo naangalia sana movies za watu waBad wanavyoRemote Gavoo na Viongozi!! zinaniharibu sana!!
wabongo tungeelewa hili tungekua hatua kadhaa mbali na tulipo. Sasa hivi TAL ndiye mtu nina imani yaye kwenye siasa za hii nchi, not a political party
@Mzungu_pori1 Chama hakihitaji watu wenye Influence kinaitaji watu wenye msimamo kama Rasta wa Ukonga.🔥
@Mika_Obadia @godbless_lema Binafsi huwa nachagua sana mwanasiasa wa kumuamini, kama wananchi waathirika wa siasa tusiweke permanent Trust kwa chama chochote wala mwanasiasa yeyote.
@leodey4u @tjblushes where can i get the whole season
@Jesse_Jayser @mlinganya pasi moja sekunde tisa
This Arsenal win Vs Westham pain me oh, but we continue the hate watch till the end of the season
@George_Ambangil kaka sema kitu kuhusu ile handball ili tulale kwa amani
Eti chanzo cha watu kutekwa ni CHUKI ZA kimapenzi na USHIRIKINA—CHANDE ni KYANDE mamae. Kwamba Mwanangu MDUDE alikuwa anateswa na mapenzi? Kwamba MZEE kibao alikuwa anateswa na Mapenzi? Kwamba Pole pole Alikuwa anasumbuliwa na MAPENZI? Hii RIPOTI imekuja kutonesha vidonda vyetu.
@ByCardoJason sporty odds 7.5 65WBVG kuna bayern huko, cheza kimkakati
William Alitsi @williammwanga
10K Followers 10K Following
Cynthia Martinez @NgyangN
5 Followers 35 Following
ROCKY CAPITAL TRADER ... @caxak89644246
346 Followers 2K Following
RIOROY @officialRIOROY
11 Followers 41 Following
George Bahemu @georgebahemu
3K Followers 7K Following
Zide Tamarakro @ZTamarakro40898
2 Followers 75 Following
Sadizzo Jogolo @sadizzo21
12 Followers 72 Following
Anderson Nyakanka @AndersonNyakan1
124 Followers 582 Following
Rash_Botea @badxphere
35 Followers 482 Following
Kukudabo @kukudabo
2K Followers 1K Following I help poultry farmers acquire more local egg markets using social media
Zeyn Abbas @shahzadyn24
13 Followers 93 Following
Hilal Charles @HilalCharl89014
4 Followers 77 Following
Mandus Mtumba @MandusMtum7273
3 Followers 60 Following
Frank sylivester @Franksyliveste3
394 Followers 2K Following
Jazira Ramadhan @JaziraRama60668
10 Followers 107 Following
Raheem Athuman @AthumanRah97080
4 Followers 77 Following
Aliya🤍 @1Aliyakhan
101K Followers 11K Following Social media influencer || Promoter|| Content Maker|| Create- Eat -Sleep🦥⌚ |☫|
Twahiru Waziri @TwahiruW59435
11 Followers 104 Following
Thomasi Amedeusi @TAmedeusi91699
9 Followers 58 Following
muddygeju 🇹🇿 @muddygeju54445
643 Followers 4K Following
diego mnyama @diego_mnyama
230 Followers 1K Following
Samwel Nnko @nnko_samwe9619
18 Followers 56 Following
SHAIBU SALUMU @ssalumu851
22 Followers 216 Following
Joel peter tz @Joelpetert27530
10 Followers 178 Following
Official_mediyzo_tz @Mediyzo_tz
193 Followers 2K Following Event planner |Future$billionaire| |60% introvert | Future husband and Father A Committed fan of @SimbaSC❤&@ChelseaFC |Stay true_be real_live ur life👏
maurice otieno @maurice08424818
26 Followers 107 Following
Tonny Charles @KigurutonNdumbi
2K Followers 4K Following MBA Leicester Abbey park campus...astute christian,Dad n respector of all.Automobiles trucks,buses n pick-ups.A true democrat.
Kingson @Kingson_Man
63 Followers 236 Following
lameck masige @LameckMasige
162 Followers 607 Following
i.am.quintero @McFandastic
124 Followers 421 Following Cats be connoiseurs of comfort and so do I. Water flows just like what flows, flows. #ZebuKingQuintero #njugumotomoto #GGMU
NASEER @Naseer_Xhaban
668 Followers 665 Following 🙏Mungu~ Heshima~Humble~Juhudi💪 @Simbasctanzania🦁 & @ManCity
Elisa_Ba_3G @3g_ba
74 Followers 661 Following Fighter God is first🙏🇹🇿✍ Young Africans Sports Club 💛💚💚💛
AYOMIDE @HARYOURMEDEY77
29 Followers 226 Following technician🪜🛠. industrial air condition (HVAC). kitchen hood, fresh air and extractor duct. cold room kitchen equipment etc 📞09018330757 WhatsApp 08083420329
SAHIR 😍 @starkidayotz
2K Followers 1K Following Allah akbar 🙏❤ @YoungAfricansSC fans 💚 & @realmadrid 👍
Simba Sports Club @SimbaSCTanzania
2.0M Followers 41 Following The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)
George Ambangile @George_Ambangil
936K Followers 1K Following GeorgeAmbangile|FootballAnalyst|Supersport commentator
millardayo @millardayo
3.1M Followers 478 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]
Clouds Media @CloudsMediaLive
1.9M Followers 43 Following A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.
Mohammed Dewji MO @moodewji
2.3M Followers 133 Following Pan-African Entrepreneur, President @MeTL_Group & @SimbaSCTanzania, Philanthropist @DewjiFoundation, Georgetown Alumni #Hoya
Daktari Wa Manesi �... @McinikaWaLamar
835K Followers 2K Following 💼 Social Media Guru| Influencers Manager | Content Creator | Sensei | Digital Strategist | Master Mind
BBC News Swahili @bbcswahili
2.2M Followers 251 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.
WHYMYCATISSAD @INFLUENCERjr
311K Followers 3K Following Only Person on X who doesn't Claim to be a Social Media Guru. Mwanasheria wangu @MiriamMkanaka
Home of Backshots🍑 @Homeofbackshots
66K Followers 77 Following •Are you a lover of BACKSHOTS?🍑🍆💦• •Follow and Turn On Post Notifications• •Dm for promotion• •NB: we own no content on this page•
Poe @Poemetax
17K Followers 8K Following God First 🙏 | Private Chef 🎂 | Food & Web3 Creator | 🧵 | 🎙️| LFC ⚽ | Lifestyle | Vibes Architect | @Doginaldogs Eater 🐶 | Hot Takes & Banter
Yule. @salum_michael
1K Followers 6K Following Jesus is the way to heaven. John 14:6 Invest what you saved and make your money work for you.
𝕂𝕙𝕒𝕤𝕙�... @Khashout_X
12K Followers 2K Following Less noise, more signal🛜📶||@LFC||•DM FOR ADS & PROMO📥••||No Revenue Share||
39 @39billion
818K Followers 152 Following Billions punter. winning big is the aim..! A win that covers all lost..! Inquiries 📩: [email protected]
Sire Lamar @sire_lamar
942 Followers 880 Following https://t.co/6FJxqZXVgH Political science, UNILORIN | MSc International relations, UI. Student of Data Science (MSc). Political Technology Stan! Hala Madrid 🤍
Emily @Emily_CFA
29K Followers 116 Following 📶Sharing daily strategies and signals Professionally certified financial analysts (CFA, FRM) Telegram: https://t.co/qcRvERCitT #XAUUSD #FX #BTC
The Bullet @blaque_carter
1K Followers 936 Following Into the shadow of the valley of death, I will fear no evil; for You are with me,🙏
SIR TIVA @Sativa255
187K Followers 3K Following Survivor of Head Bullet 27.06.2024 | Human rights defender | PYALA PYALA.
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻... @gabyconscious
18K Followers 4K Following Just passing through, experiencing life as it comes . Entrepreneur | Tech Content Creator|+255694579000
The Alpha Mindset @the_alphamind
53K Followers 13 Following Welcome to the journey of becoming the epitome of success and resilience. Embrace The Alpha Man ethos and transform not just yourself, but the world around you.
Road To Success @_RoadToSuccess_
350K Followers 26 Following Navigate your success path. Daily doses of inspiration, strategies, and real stories.
Leaders 𝕏 Junction @LeadersJunction
398K Followers 33 Following Sharing Insights From the Experience, Timeless Wisdom and Knowledge of all the Greatest Men Ever Existed | Newsletter https://t.co/uke6mCW3B2
One Blood 🇬🇭 �... @Tipster_Blood
191K Followers 794 Following EXPERT IN SPORTS BETTING ⚽️🏀 https://t.co/NKZbc9OJJh Michael Rainey Jnr fan , Bet Responsibly, 18+ only, for promos text me [email protected]
The Better You @TheBetterYou22
206 Followers 119 Following Trainings on Emotional intelligence | Leadership | Team building | Communication | Work life balance
Andrew Tate @Cobratate
10.8M Followers 1K Following Unmatched perspicacity coupled with sheer indefatigability makes me a feared opponent in any realm of human endeavour. Escape Slavery: https://t.co/b2DF1rm9ij
mwalimu wa diploma @DizoFx
8K Followers 6 Following ALIEN MTUPU. click the link for free gold signals
goligani @goligani
77K Followers 2K Following *JESUS IS MY SAVIOUR. *Don't tell me the sky the limit, while there are fingerprint on the moon. *SIMBA & GRANADA SUPPORTER. *SON OF AFRICA.
Moments with Mafole B... @mafolebaraka
56K Followers 4K Following Tech, digital jobs, Marketing and creative economy. Brand collab; [email protected] Whatsapp: +255687360065
Umilla Designs @umilladesigns
276 Followers 420 Following Brand Strategist | Digital Creator | Freelancer
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎�... @Its_elknows
10K Followers 447 Following Media Buyer Expert| Top CPA Affiliate marketer on B2B & B2C Industry | Internet marketer | Lead generation Specialist| Godfather of CPA MARKETING
Joel Osteen @JoelOsteen
9.7M Followers 161 Following Inspiring people to reach their dreams and live their best life. Download the latest episode of the #JoelOsteenPodcast today!
Gillsant v10 @GillsaInt
165K Followers 5K Following I help people start and grow business online. I teach 21st Century Digital Skills. @swahilidigital founder. Advanced Social Media course👇🏾
Confućius @eben98_
831 Followers 264 Following seeing the unseen🤔/ ambassador of Jesus Christ/ socially concerned //professional teacher// #muFC&simbaSC
Maviatu 👞👟🥾�... @BarakaMaviatu
153K Followers 1K Following Entrepreneur | Footwear Specialist School, Safety, Official Shoes 🛍️ 👟👞🥾 | Tech & Accessories 💻 |Movies & Film 🎬 https://t.co/D0rNCR5Bxq |
CNN Breaking News @cnnbrk
60.1M Followers 121 Following Breaking news from CNN Digital. Check @cnn for all things CNN, breaking and more.


































