MLL @MLoreu
Father/ Husband/ Died and rose again with and throughJesus/ social analyst Joined February 2016-
Tweets7K
-
Followers125
-
Following1K
-
Likes2K
WANAOSEMA KUWA KWA SABABU SHAURI LA MHESHIMIWA LISSU LIKO MAHAKAMANI, HAKUNA ANAYEPASWA KUMSHAURI Mhe RAIS ALITAFUTIE UFUMBUZI WANAKOSEA. Hapa inabidi tuelimishane zaidi na kwa uwazi. Tusichanganye dhana mbili tofauti: uhuru wa Mahakama na wajibu wa Serikali. Mahakama zina wajibu wa kutoa maamuzi kwa uhuru, bila kuingiliwa na mtu yeyote hata Rais. Huo ni msingi wa utawala wa sheria na lazima uheshimiwe. LAKINI NI SERIKALI KUPITIA VYOMBO VYAKE NDIYO HUANZISHA NA KUENDESHA MASHITAKA YA JINAI. Katika nchi nyingi zinazofuata mfumo wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth), mamlaka ya mashtaka yanaweza kupitia upya uamuzi wa kuendelea na shauri pale yanapoona kuwa maslahi ya umma au haki yanahitaji hivyo. Kwa hiyo, kumshauri mhe Rais ahimize Serikali yake kupitia upya uamuzi wa kuendelea na mashitaka ya jinai ambayo yanachukua muda mrefu au kuleta sintofahamu katika taifa si sawa na kuiamuru Mahakama iamue kwa namna fulani. Kusema vinginevyo ni kupotosha umma. Kuna wanaofanya hivyo kwa kutokujua. Kuna wanaofanya hivyo kwa hila ovu kama propaganda tu ya upotoshaji. Tusichoke kuelimishana. Hata taarifa ya hivi karibuni ya Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) haikuitaka Mahakama imwachie huru Mheshimiwa Lissu. Badala yake, ilishauri suala hilo "lipatiwe ufumbuzi kupitia njia za kisiasa na kisheria." Hii inaonyesha kwamba hata katika demokrasia zilizoimarika, KUNA WAKATI SULUHISHO LA MIGOGORO YA KISIASA HUPATIKANA KWA KUTUMIA TARATIBU HALALI ZA KISHERIA PAMOJA NA BUSARA ZA KISIASA. Mimi ninaamini athari za kuendelea kumshikilia Kiongozi mkuu wa chama cha upinzani kwa shitaka ambalo kwa mwaka mzima sasa halijakamilika mahakamani haisaidii taifa hili hata kidogo. Mhe Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephen Wassira (MTANI) kweli tulidiscuss. Kwa kuwa umeweka wazi maongezi yetu basi uniruhusu na mimi niongezee ufafanuzi for the record. Kwanza “tulikubaliana kutokubaliana”. Rai yangu kwa mhe Rais siyo shinikizo kwake wala kuingilia Mahakama. Silazimishi chochote kwani ninajua sina mamlaka hayo. Ni ushauri na ombi kwa uongozi wa Taifa kwa ujumla wake kwamba swala la Lissu na wengine wa aina hiyo likamilike. Serikali ndiyo inashitaki huko Mahakamani. Ikiondoa shauri, kama ilivyofanya mara nyingi huko nyuma kwa busara, tutapiga hatua ya mengine yanayotusubiri kuponya majeraha kwa kutenda haki, kuridhiana na kuweza kuandika Katiba Mpya katika hali ya kuaminiana. Mamlaka ya kuondoa shauri mahakamani iko chini ya mhe Rais na Serikali yake kupitia ofisi ya DPP. Ni kwa kutambua hilo ninajielekeza moja kwa moja kwa Mhe Rais. Na ninaendelea kufanya hivyo kwa unyenyekevu mkubwa. The stakes my MTANI are too high. The difference is that some can see the danger, others cannot. The burden of knowledge.
Wamiliki wa project ya kumchafua Heche na tone tone leo wametoka fronti. AIBUUUUU.. KUCHANGIA TUMA PESA: M-Pesa Namba: 0744446969 Jina: CHADEMA HQ NMB Bank Namba ya Akaunti: 22606600140 Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Today Mwanza High Court charged 23 Tanzanians with terrorism. UDOM lecturer Melkisedeki Kaijage was about to walk free on bail, until authorities upgraded his charge to non-bailable terrorism. samia suluhu hassan’s regime doesn’t fight real terrorists. It manufactures them to silence critics. The world must act now, before Tanzania slides into Nicaragua or Iran-level repression. @SenatorShaheen @SFRCdems @SenTedCruz @RepBrianMast @HouseForeignGOP @HouseForeign @EUinTZ @EP_HumanRights @EP_ForeignAff @SenatorRisch @davidmcallister #TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #FreeTunduLissu
Wanachama 23 wa @ChademaTZ2 wamepewa kesi ugaidi! Hivi hawa watu ugaidi wanauchukuliaje? Au ndo kama alivyosema mama yao?!
As of now Makamu @HecheJohn na CHADEMA wana highest level ya human capital na Heche na Chadema Wanaaminika na kusikiliwa. Kubwa kuliko ni kwamba Wanaaminika kwa Umma, kuna watu wengi wapo CCM lakini wanamwamini Heche na wanaiamini Chadema,kuna watu hawana vyama hivyohivyo.
BAD NEWS Viongozi watatu wa CHASO Mkoa wa Mbeya pamoja na vijana wengine watatu waliokamatwa Mkoani Mbeya tarehe 03/07/2026. Baada ya kukaa ndani kwa siku 20, hatimaye leo jioni wamesomewa shitaka la kula njama za UGAIDI katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya. Hatua hii imekuja baada ya wakili wetu kufungua maombi ya kuwataka polisi kuwaleta vijana hawa mahakamani au kuwaachia huru. Inasikitisha ikizingatiwa kuwa vijana hawa walikamatwa wakiwa kwenye maandalizi ya mitihani yao ya mwisho (UE). Imetolewa na: Victor Baleke, Mwenyekiti BAVICHA Kanda ya Nyasa.
‼️BAD NEWS‼️ Viongozi watatu wa CHASO Mkoa wa Mbeya pamoja na vijana wengine watatu waliokamatwa Mkoani Mbeya tarehe 03/07/2026. Baada ya kukaa ndani kwa siku 20, hatimaye leo jioni wamesomewa shitaka la kula njama za UGAIDI katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya. Hatua hii imekuja baada ya wakili wetu kufungua maombi ya kuwataka polisi kuwaleta vijana hawa mahakamani au kuwaachia huru. Inasikitisha ikizingatiwa kuwa vijana hawa walikamatwa wakiwa kwenye maandalizi ya mitihani yao ya mwisho (UE). Imetolewa na: Victor Baleke, Mwenyekiti BAVICHA Kanda ya Nyasa.
Hongereni sana , watanganyika wote na marafiki wa CHADEMA. SIKU CHADEMA ikishika nchi kiwango cha furaha kwa watanganyika kitaongezeka, kipato cha mtu moja moja kitaongezeka , hali kadharika utawala wa sheria utashamiri. Twendelee kuchangia #StrongerTogether
Mhe. Brenda: Mwenyekiti Tonetone imefika Milioni 174.5 mpaka jana usiku Mhe. Tundu Lissu: Waambie waongeze bidii, Baraza Kuu lifanyike CHANGIA BARAZA KUU LA UMMA M-Pesa Namba: 0744446969 Jina: CHADEMA HQ NMB Bank Namba: 22606600140 Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Huu ndo ujumbe ambao Mhe.Lissu kamwambia @AdvMahinyila awafikishieni Watanzania wote.📌
Watesi wa Mhe. @HecheJohn wanakibarua kigumu sana.😂😂😂 TUENDELEE KUCHANGIA. M-Pesa Namba: 0744446969 Jina: CHADEMA HQ NMB Bank Namba: 22606600140 Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Hii video imeniliza.😭
‼️HABARI MBAYA‼️ Nimepewa taarifa kwamba yule Mwalimu wa UDOM ambae alikamatwa kwa tuhuma za Maandamano ya 7/7 na kushikiriwa kinyume cha sheria. Baada ya Mahakama kuamuru apewe dhamana, Serikali ya Nduli Idd Amin Mama imembambika kesi ya Ugaidi.🥹
Watanzania, Lissu anasema tuongeze Moto!!! Haki, napenda mind set ya Lissu. Yani he gets it. Kuwa ni lazma tupambane sio mambo ya lege lege. Ila huyu kiumbe huyu, dah!!!! Mungu alimuumba Lissu specifically for this very moment!!!!!!!!!
@JonMrema Halafu wewe sijawahi kukubali hata siku moja. Kwanza kuzungumza huwezi. Kujenga hoja hamna. CHADEMA ilikuwa inakubeba. Endelea kuropoka.
@JonMrema Unachoweza wewe ni kutengeneza namna ya kubishana na CDM tu. Ebu fikiria unaweka mkeka halafu unafunga comments. Unafikiri @HecheJohn atakujibu??? Yani kikaragosi ujibiwe??.. trush
VIDEO: Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche akiingia Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kwa ajili ya shauri la kikatiba lililofunguliwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dodoma, na Mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu wakilalamikia kunyimwa kumuona Lissu gerezani na kukosa faragha pindi wanapomuona.
Watanzania tusimwangushe huyu baba……….. Angalau akitoka ndani akute tumepiga hatua kubwa kwenye maendeleo. KUCHANGIA TUMA PESA: M-Pesa Namba: 0744446969 Jina: CHADEMA HQ NMB Bank Namba ya Akaunti: 22606600140 Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Fikiria Kitendo Kama hiki!!!! Mwalimu mkuu kwa miaka 28 alipogombea tu kupitia Chadema anaambiwa hajui kusoma na kuandika! Katiba mpya na Free Tundu lissu ndio ajenda yetu.
‼️🚨MUST READ: TANZANIA FUEL SCANDAL LOADING‼️ “Seen by Africa Intelligence, eight of the 20 public contracts awarded this month by the PBPA for the period of September to December 2026 went to Emirati trader Namaro Energy. In just a few months, the company has become one of the main players in a market that had until then been highly competitive: in previous PBPA tenders, it had won only one of the six deliveries scheduled for last March, one of the eight for February, and one of the eleven for January. Those tenders were open” The company Namaro is linked to govt - officials and family Africa Intelligence imethibitisha mikataba minane kati ya 20 ya umma iliyotolewa mwezi huu na PBPA kwa kipindi cha Septemba hadi Desemba 2026 ilienda kwa mfanyabiashara wa Emirati Namaro Energy. Katika miezi michache tu, kampuni hiyo imekuwa mmoja wa wadau wakuu katika soko ambalo hadi wakati huo lilikuwa na ushindani mkubwa: katika zabuni za awali za PBPA, ilikuwa imeshinda moja tu kati ya mikataba sita iliyopangwa kufanyika Machi iliyopita, moja kati ya minane ya Februari, na moja kati ya kumi na moja ya Januari. Zabuni hizo zilikuwa wazi. Mpeni maua yake @HecheJohn na @rose_mayemba kwa kusimamia kidete hii skendo ya ufisadi! Hapo kuna mradi wa familia hizi za kifisadi na tutawafukunyua WOTE! Read: africaintelligence.com/eastern-africa…
Silent Whisper @Whisperpicx
2K Followers 7K Following A riot is the language of the unheard 'Martin Luther King Jr ^
Fadhili Kilewo @FadhiliKil93064
24 Followers 257 Following
Ivan @uremmag
22 Followers 449 Following
Lisa Trader @lisa_fx_trade01
3K Followers 7K Following Business Coach 📊 Forex Trader Mentor 📉 Teacher 🧑🏫
b @limacim
24 Followers 338 Following
Nancy D @ilkinenginn
11 Followers 746 Following iced lattes and identity crises 🥶 mutuals only, i follow back
Mdunguaji @Mdunguaji23
1K Followers 3K Following
Samwel Maganga🇹�... @Samwelmawengaya
1K Followers 5K Following Wisdom🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿our precious heritage
Adamic jr @AdamMtweve
2K Followers 2K Following =Former secretary of bavicha Ludewa =Member of @ChademaTz My Instagram account 👇 👇👉 https://t.co/BaLG8N2NLZ
Tanzania Consulate Ge... @TZCGGuangzhou
4K Followers 2K Following Tanzania Consulate General in Guangzhou, China.
Chacha Nyamhanga @ChachaNyamhan11
1K Followers 7K Following
CHUMUNI @CHUMUNI123
18 Followers 112 Following
Sarafina @Finah_Business
8K Followers 4K Following Wife👩❤️👨 GRUPU LETU https://t.co/nvODEn31DP IG https://t.co/OrSdqs7hRn 📍 RIVERSIDE KARIBU NA MICASA
FREE CODES BETPAWA @mwalimu_jelly
34K Followers 36K Following Be yourself but more like Tems. Be kind. Mind your business. Love God. Make money. Travel. Repeat. ⚽️⚽️🇹🇿🇹🇿
Mtaalamu💉💊 @Mtaalamutz
3K Followers 6K Following Focus❇️Consistency ❇️Make money❇️Enjoy📍WhatsApp 📲 +255 759 533 343
Edwina Walker @EdwinaWindoww
1K Followers 3K Following
Mr_KUWI @kennson_panashe
1K Followers 2K Following | Accountant 🎓| Mr_KuWi |Nihilistic ll Extrovert ll CA_In_Making | Co founder n CEO Of https://t.co/oPbuszWt7D|| Die_Hard_Real_Madrid Fan⚽
Timewearstore @Timewearstore
7K Followers 5K Following Trusted Source For Quality Watches | Phone call +255 762 935 805 | Kariakoo - Dar es Salaam, Tanzania |
bELINDA🎬 @belindaPINDA01
25K Followers 19K Following 🎬 BELINDA Neon Joker of Cinema Movie lover | Series addict | Brutal reviewer If it’s trending, I’m watching. If it’s fire, you’ll know. 10/10 or nothing 🍿
Rose Moshi Makei @RoseMakei
25K Followers 18K Following MWENYEKITI BAWACHA KANDA YA PWANI DIWANI V/MAALUM MSTAAFU MANISPAA YA KINONDON
Msukuma Torori @MNyigita
305 Followers 3K Following
CHUGA COMPANY @ChugaCompany
1K Followers 4K Following ▪ C.E.O CHUGA STORE COMPANY ⚜ MOBILE PHONES DEALER. USED AND BRAND NEW. ☎️📞Call/Whatsapp +255625251545
#FreeLissu @elyneema
9K Followers 5K Following #Combatant,teacher by professional(BAED),Analyst,adovocate(a voice to the voiceless),political figure,young Marxist,Next Mp, Father.
Mzalendo wa Taifa @mzalendo_taifa
2K Followers 2K Following "A true patriot. I believe in justice, accountability, and the development of Tanzania. Nation first, everything else later."
Resipiqusi barinaba @RBarinaba
25 Followers 347 Following
Courtney Davis @CourtneyDa48234
118 Followers 4K Following
locopipo @locopip0
62 Followers 310 Following CEO and father found of #locopipo brand.. contents creator.. An entrepreneur
Shija S.S.Shibeshi @ShijaShibeshi
6K Followers 1K Following Secretary of CHADEMA, Southern Zone🇹🇿 (Lindi,Mtwara & Ruvuma)
good food. good energ... @plantbasedvibes
71K Followers 57K Following the og. encouraging you to make better choices.
Anko @Anko451999
409 Followers 2K Following
Queen Kalunde from Mw... @PATRICIAMAGANGA
3K Followers 6K Following Independent Legal Consultant🇹🇿, Commissioner for Oaths and Notary Public
rw6ooqfiebk8u2ns @eb75073mppb
23 Followers 1K Following Awesome, you can earn 500-5000 usdt every day here, join now telegram:https://t.co/MA6PuFYw4q
Tarci @Blackie91953749
186 Followers 1K Following
Noé Michalon @nmchl
4K Followers 2K Following Award-losing journalist, #EastAfrica correspondent for @Africa_In_EN | PhD cand. @portsmouthuni | Fellow @Opendiplo | Alumni @SciencesPo @UniofOxford. Views=own
Senate Foreign Relati... @SFRCdems
82K Followers 246 Following Official account for U.S. Senate Foreign Relations Committee | Ranking Member @SenatorShaheen
Global Statistics Wir... @stats_wire
179K Followers 1K Following Opportunity. Global Compensation Intelligence. Stats that change lives.
Secretary Marco Rubio @SecRubio
2.1M Followers 16 Following 72nd Secretary of State serving under the leadership of @POTUS Trump.
Wakili.tv @WakiliTv
3K Followers 161 Following WAKILI TV : Televisheni ya Mtandaoni inayomilikiwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa Malengo ya kutoa Elimu ya Kisheria
Somoina Kapeen @SomoinaKapeen
34K Followers 4K Following Holistic Goddess • Advocate of the High Court of Kenya • Chef • Pan-African • 1LP • Projector• Astrologist • Numerologist • Human Design Specialist
ASHANAH @AnnahAshaba
6K Followers 1K Following Political Agitator|Teacher|FEMINIST|Writer/Poet|Cofounder of Laboratory Rats Project| SILENCE ONLY BENEFITS THE OPPRESSOR(S)|Speak UP!!!
Tulsi Gabbard 🌺 @TulsiGabbard
3.9M Followers 1K Following Former Director of National Intelligence, Presidential candidate, Congresswoman. Soldier. NYT bestselling author. (Views do not reflect position of USG/DoD)
Human Rights Watch @hrw
4.8M Followers 19K Following Exposing #HumanRights abuses around the world — join us to help end them! Staff: https://t.co/2JflyBeYHI HRW Social Media: https://t.co/AIpbUxDqR4
N I N J A @Ninja_Damour
6K Followers 2K Following #Arsenal | Mdau Mkubwa wa Soka Wilaya ya Ubungo | Hip-Hopper| Backpacker | 4:20| Ndugu wa @KingLuda18
Barbara Serra @BarbaraGSerra
36K Followers 4K Following Broadcast journalist, documentary filmmaker, author. 📺 Sky News presenter. Film🎬: #FascismInTheFamily Newsletter 📩: #NewsWithAForeignAccent 🇬🇧🇮🇹
Samwel Maganga🇹�... @Samwelmawengaya
1K Followers 5K Following Wisdom🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿our precious heritage
John Kitoka @JohnKitokavo08
3K Followers 1K Following Director of Foreign and Diaspora Affairs. CHADEMA #SamiaToICC #JusticeForVictimsOfTanzaniaMassacres #ConstitutionalReforms #FreeTunduLissu
Adv.Alphonce Lusako @LusakoAlphonce
5K Followers 837 Following |🇹🇿|Human Rights Defender|_Lawyer🇹🇿| Leader|Executive Director of @PLAOtz |Author of 4Books 📚 |Founder HHRJW| 🇹🇿 Mbeya_Son,Southern HighLTanzania🇹🇿
Fouad Makhzoumi @fmakhzoumi
84K Followers 2K Following التغيير قرار. فعلُ إيمانٍ وشعلةُ حقٍ لا يحملها إلا من رأى في وطنه ملاذاً آمناً وأرضاً لا تٌستَبدل مهما اشتدت الأزمات.
LTC Ariella Mazor @LTC_Ariella
93K Followers 508 Following Official account of IDF International Spokesperson Lieutenant Colonel Ariella Mazor
Israeli Air Force @IAFsite
521K Followers 55 Following The Israeli Air Force’s Official Twitter Account: exclusive, live updates and real-time information about the IAF
The White House @WhiteHouse
5.0M Followers 5 Following Welcome to The Golden Age of America. 📱 Text USA to 45470 to receive alerts.
Karoline Gosling @KarolineGosling
56K Followers 111 Following German girl speaking out against feminism and supporting the patriarchy. Orthodox Christian ☦️
Rebecca Mistereggen @RMistereggen
136K Followers 700 Following Norwegian 🇳🇴 Journalist / Creator and host of Raw Report. Help me keep my caffeine levels up, buy me a coffee: https://t.co/H13QwkZomE
Prof. Mohamed Janabi @ProfJanabi
21K Followers 289 Following @WHOAFRO Regional Director | Building a Healthier Africa, Together! Retweets are not endorsements
Adamic jr @AdamMtweve
2K Followers 2K Following =Former secretary of bavicha Ludewa =Member of @ChademaTz My Instagram account 👇 👇👉 https://t.co/BaLG8N2NLZ
Emburara Farm Lodge @emburara
6K Followers 859 Following The #1 luxury eco-lodge in the Pearl of Africa promoting unique cultural tourism experiences on a rich and abundant farmland. #lifeonthefarm is priceless.
Chacha Nyamhanga @ChachaNyamhan11
1K Followers 7K Following
Sanlam Allianz Invest... @SAILinvestTZ
379 Followers 7 Following Kuza utajiri wako na Sanlam Allianz Investments Limited. Fikia malengo yako ya kifedha kwa kufanya pesa zako zikue kwa wakati.
Amnesty Eastern Afric... @AmnestyEARO
49K Followers 1K Following Amnesty International in East Africa, the Horn, the Sudans and the Great Lakes.
Sarafina @Finah_Business
8K Followers 4K Following Wife👩❤️👨 GRUPU LETU https://t.co/nvODEn31DP IG https://t.co/OrSdqs7hRn 📍 RIVERSIDE KARIBU NA MICASA
Benjamin Strick @BenDoBrown
72K Followers 2K Following Open Source Investigator - OSINT|GEOINT|Disinfo Tutorials: https://t.co/jwll4Af0ax
Ismail Omar Guelleh @IsmailOguelleh
138K Followers 5 Following Compte officiel d'Ismail Omar Guelleh, Président de la République de #Djibouti.
Tech Store @Techstore_tz
2K Followers 1K Following iPhone | Apple Watch | iPad | Accessories | MacBook & Gadgets | WhatsApp:0687952601
FlourishWithLaurin @itsmelaurin
51K Followers 37 Following Unshakable mind. Sculpted body. Divine energy. I turn pain into power & truth into transformation. ✨ #FlourishWithLaurin
Swiss Federal Governm... @SwissGov
20K Followers 162 Following Communicating the policies and positions of the Swiss Federal Government. For DE/FR/IT/RM, follow the Federal Council Spokesperson @BR_Sprecher.
Mike Pompeo @mikepompeo
2.1M Followers 283 Following Fmr U.S. SecState & CIA Director | Christian, husband, father, Nonno, Army vet, Kansan | https://t.co/X7MOvwSReP | #🟦
Maverick Aoko @AokoOtieno_
645K Followers 2K Following Mother. Writing is my raison d'etre To Be Able To Think, You Must Risk Being Offensive,- Jordan. B. Peterson
The Kobeissi Letter @KobeissiLetter
2.3M Followers 624 Following Official X account for The Kobeissi Letter, an industry leading commentary on the global capital markets. Email us: [email protected]
Alex Veremeyenko @alex_verem
98K Followers 615 Following i’m obsessed with ai projects for the good of humanity. also know as: @alex_prompter
Joe Wilson @RepJoeWilson
208K Followers 1K Following Official Twitter account of U.S. Representative Joe Wilson serving #SC02.
John Dramani Mahama @JDMahama
2.5M Followers 287 Following Official account of H.E. John Dramani Mahama, President of the Republic of Ghana.
LVBC @EAC_LVBC
1K Followers 167 Following The official account of the East African Community-Lake Victoria Basin Commission Secretariat
Eddy Murphy @habby_athiest
547 Followers 3K Following
Economic Freedom Figh... @EFFSouthAfrica
2.4M Followers 11K Following The official platform for Economic Freedom Fighters to champion radical economic policies in South Africa. It's for Fearless Fighters.
Nice Gisunte @Nice_Gisunte
10K Followers 225 Following Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Ilala I Mweka Hazina Bavicha Taifa 2019 - 2024 | Diwani Kata ya Kitunda 2015 - 2020.































